Inaumiza mno, Ila ulivyounganisha dots na mimi ni hivyo hivyo pia, yule dada aliepiga simu ambae ndie huyo Happiness, atakua ndie aliekua akimegwa na huyo dogo Temba ila nadhani alikua ni mke wa huyo jamaa wa maabara. Hao wengine watakua ndio "killing squad" waliotumwa kumfanyizia Temba huo ukatili wote. Siku hizi kukamata wahalifu si kazi sana maana tracking inaanzia kwenye simu kwa mtuhumiwa wa kwanza, halafu inahamia kwenye miamala, messages na movement za location. Na kuna simu zingine zina camera zinajirecord automatilly bila hata mwenye simu kujua only sisi vijana wa Mossad ndio tuna utaalam huo. Kifo cha huyu dogo kimeniuma sana sana. Innaihlayhi wainnaihyi rajioun. RIP.