Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

BM kumbuka Kesi ya Zombe ,Mke wa Msuya na Ya Mjeda Nyundo.

Hizo Kesi Main Characters - Walioandaa Mchongo na kuwatuma watu - Wote hawajakutwa na hatia wamechomoka.

Zombe -Alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa DSM(ACP) - Aliandaa mchongo na kuwatuma maaskari wakapore pesa na madini ya wafanyabiashara wa morogoro ,wakawateka Sinza na kwenda kuwapiga risasi katika msitu wa Pande ,yeye kama yeye alichomoka ila waliotekeleza ndiyo walikutwa na hatia ,zombe yupo huru ila waliotekeleza wamehukumiwa kunyongwa.

Mke wa Msuya - Nadhani hii unaijua vizuri jinsi mke wa msuya alivyochora raketi na kuwakodisha wakora wakaja kumuua Aneth Msuya Kibada Kigamboni ,now Mke wa Msuya yupo Huru ametoka.

Afande Nyundo(JEI WII) - Huyo alikodishwa na Mama kwenda Kumfanyiazia ukatili Mchepuko wa Mumewe ,Mama katika hiyo kesi hajashitakiwa sehemu yeyote ingawa yeye ndiyo aliwatuma hao vijana.

Simtetei Ofisa Maabara ila Mambo ya sheria kuna loopholes nyingi sana za kujinasua katika issue kama hizo ,ndiyo maana Kamanda muliro wapo kukusanya vielelezo ili viweze kuwatia hatiani wahalifu kwa ushahidi usio kuwa na shaka ambao ni wa DNA tu.
Mkuu kuratibu marder ni jinai na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Rejea mauaji ya Mirembe huko Geita, Naifat aliratibu mauaji nae akahukumiwa kunyongwa

Hao waliochomoka walipata ka upenyo wakaenda
 
Kwenye mambo ya kesi ni loopholes tu ,unaweza usiwe umefanya kosa ila kuna vitu vikakuingiza kwenye 18 na inawezekana ukatenda kosa na ukachomoka bila hatia.

Sijaifatilia zaidi ni nini kilimuingiza Naifat Mke wa mirembe kwenye 18 akalamba hukumu ya kunyongwa.
 
Kuratibu mauaji ni sawa umekuwa
Naifat yeye aliratibu alilipa wauaji, miamala na SMS zilikamatwa naye akala nyundo

Nadhani mke wa Msuya alimpata wakili Kibatala akatumia loophole kumchomoa.
 
Yule nai alimrubuni mirembe kwamba wale wauwaji ni wataalam(waganga) wa jadi.
Hivyo alikubaliana na nai wafanye zindiko kwenye jengo la mirembe.
Siku ya zindiko mirembe alitakiwa awepo wakati zoezi linaendelea. Kumbe mpango ilikuwa ni kumuua.

Ndo maana kwenye ile kesi Nai alipatikana na hatia coz alihusika direct kwenye mpango wa mauaji.
 
Bushmamy issue ni jinsi watakavyo andaa mashitaka. Kama kesi ya kuua ni tofauti na kesi yakuhusika katika mauaji. Akina Zombe waliponyoka kwa vile ilikuwa ni kesi ya kuua.
Hivi kuua na kuhusika katika mauaji Kuna tofauti Gani?
Swala sio CHARGE SHEET, imeandaliwaje vinginevo bahasha itembee,
Vip una chochote Cha kuongelea kuhusiana na Ile kesi ya Babu seya?
 
Kwenye mambo ya kesi ni loopholes tu ,unaweza usiwe umefanya kosa ila kuna vitu vikakuingiza kwenye 18 na inawezekana ukatenda kosa na ukachomoka bila hatia.

Sijaifatilia zaidi ni nini kilimuingiza Naifat Mke wa mirembe kwenye 18 akalamba hukumu ya kunyongwa.
Kuratibu mauaji ni sawa umekuwa
Naifat yeye aliratibu alilipa wauaji, miamala na SMS zilikamatwa naye akala nyundo

Nadhani mke wa Msuya alimpata wakili Kibatala akatumia loophole kumchomoa.
 
Hivi kuua na kuhusika katika mauaji Kuna tofauti Gani?
Swala sio CHARGE SHEET, imeandaliwaje vinginevo bahasha itembee,
Vip una chochote Cha kuongelea kuhusiana na Ile kesi ya Babu seya?
KWa bahati mbaya mimi sina ujuzi wowote wa sheria. Ila nilikuwa na interest na kesi ya zombe. Ilibidi nifanye utafiti kwa nini aliachiwa maana kama siku zile ulikuwa Mfuatiliaji, zombe alikuwa anatamba sana.

Nilichogundua ile kesi ilikuwa kuhusika katika mauaji, watu wakawa wanalalamika kuwa zombe ni muuaji na kweli chargesheet ilabadilishwa na kuwa mauaji. Watu wakasherehekea. Kilichotokea ni zombe kuonekana hakushika bunduki kuua, hivyo hakuwa na hatia. Bageni ikamlamba.

Kuua ni Kitendo cha kutoa uhai na kuhusika katika mauaji ni process. Kama jamaa anavyosema huyo Lab technician au Lab scientist, sijui which is which, kama hakuwa Dar wakati wa mauaji, atakuwa hajaua, ila ameshiriki katika mauaji. Tusubiri charge sheet ipoje.

Angalizo, mimi si Mtaalam wa sheria bali mtafiti.

Kuhusu Babu Seya, sijui kwa kweli ila tunaweza fanya utafiti na bahati nzuri rafiki yangu AI yupo na ni msaidizi wetu wa hali na Mali.
 
Mnahangaika Bure mkuu kesi ya ushirikina hii sio mapenzi
 
Hiyo Iko wazi mkuu
Kuratibu mauaji ni kutenda marder sawa na aliyeshika kisu kukata kichwa.
Unaweza ukawa Moshi lakini ukaratibu au kufadhili Kwa kutumia pesa n. K

Naifath Yuko jela Kwa hukumu ya kunyongwa hadi kufa Kwa kuratibu mauaji ya Mirembe

Bagenyi alitoa order ya kuuwa alikutwa na hatia

Ukisikia kina Laurent Nkunda, Jihad John, OSAMA n. K ni most wanted sio kwamba wao walishika bunduki kuuwa Bali waliratibu mauaji
 
Hivi kuua na kuhusika katika mauaji Kuna tofauti Gani?
Swala sio CHARGE SHEET, imeandaliwaje vinginevo bahasha itembee,
Vip una chochote Cha kuongelea kuhusiana na Ile kesi ya Babu seya?
Kesi ya babu Seya ni kweli walikuwa wanabaka wale watoto. Ushahidi ulinyooka! Achana na hizi rumous za mtaani kuwa alibambikiwa!
 
Ile kesi haikuniingia akilini
Yani kwamba Baba na wanae wakiwa pamoja wawalawiti watoto, hii ni ngumu kimaadili
Umaarufu wa Papy Kocha kipindi hicho asingekosa mahala pa kutolea nyege
 
Kitu ambacho kipo wazi ni kuwa mtu anayelawiti au kubaka watoto, shida siyo kukosa wanawake wa kulala nao. Ubakaji wa watoto ni kama tabia hivyo mtu anaweza kuacha hata wake watatu ndani na akaenda kubaka. Ile kesi kuna watu wengi wanasema babu Seya hakutenda kwa kutumia hisia na siyo ushahidi. Mtu anayelawiti watoto tayari hana maadili na pengine anaongozwa na imani za kishirikina. Mimi kesi nilifuatilia tangu anakamatwa. Ushahidi ulinyooka kama umepimwa na rula.
 
Hapa siwezi bisha zaidi
Labda na Mimi nitakuwa natumia tu hisia.
Kwakuwa nikisikia tu kesi na hukumu.
Kuwa ushahidi ulinyooka?
Ushahidi wa video?
Ushahidi wa Daktari?
Waliolawitiwa?

Baba na wanae kitanda kimoja wakilawiti watoto?

Ni ngumu mpaka kesho hii hukumu kuniingia akilini
 
Kesi ya babu Seya ni kweli walikuwa wanabaka wale watoto. Ushahidi ulinyooka! Achana na hizi rumous za mtaani kuwa alibambikiwa!
Yan wafanye aina Ile ya unyama halafu Rais wa nchi awaachie kweli?
Ile niliipitiaga Wala hata haikuniingiaga akilini.
 
Magufuli akili zake si ulikuwa unazijua? Hebu fikiria: aliwapa msamaha halafu akawakaribisha ikulu. Rais unakaribisha ikulu ma-ex convicts wabakaji? NB; nadharia ya kusema ni njama za sijui Kkwete hazina mantic! Hata angekuwa na kisasi naye angechanganya watoto ambao hawakuwa na hatia?
 
Hivi Watanzania wakoje?
Hao ni watuhumiwa sio wahusika..

Mimi bado nina imani ni wasio julikana.
Polisi wameconfirm issue mbili katika mauaji ya James Temba.

1.Ushirikina - Kwasababu Kichwa kimekutwa kwa Mganga kimefukiwa ,hapa Mganga anaingia matatizoni kwasababu wale wauaji inaonekana wamekula kotekote ,wamekula Dili kwa Ofisa Maabara kutekeleza mauaji ya Mshukiwa wake aliyekuwa anamtafuna Mpenzi wake(James) na pia wamekula Dili kwa Mganga ambaye na yeye alikuwa anahitaji kichwa cha mtu kwa ajili ya issue zake za utapeli/ushirikina wa kiganga.

2.Mapenzi - Tulishaeleza mapenzi katika page ya kwanza.
 
Back
Top Bottom