Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Ile sio bidhaa mkuu ni huduma, utility unaipata kipindi unapomwaga wareno pale 😀😀😀 unakunja sura na kukaza vidole sanjari na kubana nnya ile ndio segment inayokufanya ukimaliza ulipie hongo.
Yaani hayo yote ni majina tu ya kujifariji mkuu..Kimsingi mimi natoa hela, iwe huduma au bidhaa, the fact kwamba natoa hela kote kote hainipi utofauti kwenye kuzitoa...
 
Na hio ndio maana ya kununua merchandise😀

Hii ndio mantiki sasa. You nailed it on this one ila pia waambie na wenzio mtu ambaye sio mpenzi wako na hajashibana waache kutangaza njaa vinginevyo watalabuliwa kavu kavu waje kuona wajuba ni roho mbaya
Hii imekaa ki-Gangstar zaidi! Wa Tanga wanasema "Kwa Mwali kuliwe, na kwa Kungwi pia kuliwe!"
 
Kwanza kwanini umuombe pesa?
Wewe ndio chanzo cha tatizo, yaani mkiishiwa pesa mnaamini sisi ndio hatuishiwi.

Hata sisi tuna shida zetu na tunaishiwa, ila sisi Wakinga kuipata pesa yetu utumie akili ya ziada.
Mapembelo Nkhojo
 
Sio kuna uwezekano, utafiti unasema sisi ndo tunaenjoy zaidi (orgasm ya mwanamke lasts for 13seconds while ya mwanaume 8seconds kama sijakosea hizo namba) ila cha ajabu nyie ndo mnagharamika zaidi sijui kwanini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hahahahaha nahisi itakuwa zaidi kwenu ila kwetu just 5 secs tu. Kitu ikishatema wazungu tu shughuli imeisha. Wazungu wenyewe rythm ya sekunde zisizozidi 5!

Ila hapo kiumbe pinzani kitakukaba kwa dakika hata kadhaa hakitaki uchomoe mtalimbo😀😀😀
 
Falsafa ya haki sawa huwa inaishiaga kwenye matumizi ya pesa kwa hawa wenzetu. Kote watapambana haki iwe sawa lwenye kufanya kazi, kufanya majukumu ya kifamilia ila likifikia stage ambayo hela ziwekwe mezani utaskia wewe ndio baba inabidi uhudumie familia lakini😀😀😀

Hawa matapeli akina hawa nimewashindwa hapo tu!!!
Nyie si mnasema haki sawa. Tuitafute hela wote ukitaka kula cha mtu na wewe ukubali kuliwa. Tatizo mnaendekeza shida bila kujua wanaume nao wana shida zao.
 
Kitakwimu wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwanini hiyo 30K usiwaombe wanawake wenzako ?! Kama sio umalaya ni nini ?!

Hiyo 30K unataka upewe kana kwamba ni yako, uliiweka kwa huyo mwanaume ?! Ukweli pia ni kwamba wanawake hawana akili ?!
ETI KAMA SIYO UMALAYA NI NINI..!! DAH..!! WAMEPIGWA ZA USO WALLAH
 
Atamkijitafutia pesa wenyewe hamta badilika kwasababu ya mfumo dume, wanawake waki Afrika tofauti na Wanawake wakizungu wao wanawake wakizungu hawaingii kwenye mapenzi kwaajiri ya kuhudumiwa ila wanawake waki Afrika wanaingia kwenye mapenzi kuwaajiri ya kupata pesa tu. Utakuta mwanamke anakazi yake lakini bado anaomba omba pesa kwa mpenzi wake,Mimi nikipata mtoto wangu wakike nitamjenga kwenye misingi yakutoomba pesa kwa wanaume.
Huo ndio utaratibu sahihi kabisa binti ajitambue tu yeye ni nani na anatakiwa kufanya nini katika maisha. Ni elimu nzuri pia kumpatia ili aweze kuwa responsible na maisha yake with full independece ili asije akaingia kwenye mahusiano kwa lengo la kuvuna pesa bali upendo.
 
Huu ugonjwa wa kuomba omba hela inabidi ukemewe. Unazalisha kizazi kibovu. Mimi mara ya mwisho kuomba hela ilikuwa sekondary huko tena kwa wazazi na ndugu wa karibu. Chuoni boom langu lilikuwa linanitosha, wakati wa likizo nilikuwa natafute kazi ili nipate hela ya ziada. Mpaka sasa nikiwa na shida nakopa na kurudisha kwa wakati. Mwanamke unataka kila baada ya wiki 2 usuke hela za elfu 30, huku huna kupato chochote, unategemewa upewe. Wengine wanaishi nyumba za bei wakitegemea wanaume ambao sio waume zao, unafiri maisha ya baadae yatakuwaje? Utaishia kudanga ukiwa kwenye ndoa. Maisha yamebadilika tuditegemee wanaume wanaweza kubeba mzigo wa familia.
Huku ndiko kujitambua ambako nakusemea mimi big up sana mamii! Wenzako wanataka waishi ki star wakae prime areas apartments ikiwa hawana kazi wala biashara rasmi za ku sustain hio aina ya maisha. Matokeo yake atajilengesha kwa mume wa mtu ili wagawane matumizi na mke mkubwa 😀😂😂!

Mwisho wa siku ni kujiharibia maisha tu na kuishia kulalamika kama hivi.
 
Back
Top Bottom