Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,721
- 208,991
Uzi umekaa kiume sana š¤£
Emu nisome miongozo ya kiumeni!
Uzi umekaa kiume sana š¤£
Unataka kufanana na midoli... hahaha...Uzi umekaa kiume sana š¤£
Emu nisome miongozo ya kiumeni!
Ukorofi huo Smart š¤£š¤£Unataka kufanana na midoli... hahaha...
Mmetwangwa kisawasawa kiasi ambacho mjui mtatoka kwenye angle ganiUzi umekaa kiume sana š¤£
Emu nisome miongozo ya kiumeni!
Ukweli ndio huo mkuu japo tunapinga!!Asante bidada kwa kuwa honest
šššš sawa mr. Win winMmetwangwa kisawasawa kiasi ambacho mjui mtatoka kwenye angle gani
Karibu...Ukorofi huo Smart š¤£š¤£
Ngoja nitume VN nalia kwanza.. š©
Emu niwache kwanza nimalize kurecord VN ya kilio⦠kisiposikika vizuri nafuta naanza upya kabla machozi kukauka.Karibu...
Huyu ajengewe sanamu pale mbele ya ikulu mpya dodoma... [emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji23] Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi.
Lakini kwenye mfanano wa Haki kila mtu atapata anachostahili, wa mtori ale mtori wa wali ale wali.
So wanawake wenzangu, we can't beat nature, tulilie mfanano wa Haki, nature inataka tuhudumiwe, tuna Haki ya kuhudumiwa....Ila Haki huambatana na wajibu, ni wajibu wetu kuwa submissive Kwa hawa wanaume watafutaji.....ukiambiwa njoo uifate getto nendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena Nenda Kwa adabu, toa yoteee![emoji2232]
Tena muulize Kama anataka tena, hakuna mwanaume mgumu Kwa mwanamke mnyenyekevu.
Shida tunajifanya ngangari, tunahubiri 50/50 huku pesa zao tunazitaka[emoji23]
š¤£š¤£š¤£š¤£ Kuna mambo hapo umnapaswa kuyachukua kama mnataka kujijenga zaidišššš sawa mr. Win win
Nitakufuta machozi na kiinua mgongo...Emu niwache kwanza nimalize kurecord VN ya kilio⦠kisiposikika vizuri nafuta naanza upya kabla machozi kukauka.
Na ushakuwa āenesisiefuāNitakufuta machozi na kiinua mgongo...
Nataka ufanane na mdoli...Na ushakuwa āenesisiefuā
Ngoja tuone..Nataka ufanane na mdoli...
Sijakataa...Ngoja tuone..
Tunaongea kitu kimoja, ila naona hujapendezwa na suala la kuchagua mwenye hela.Mara chache sana mwanamke kumtegeshea mimba mtu hasiye na kitu (kwa % sizani kama inazidi tano),hivi ushajiuliza kwa nini wanawake wengi wanapenda kuwategeshea mimba watu wenye hela? Ukishajua ndio utajua kwa nini nilisema hivyo na mwisho wa siku hao wenye hela bajeti zao zina hamia kwa mtoto sio mama na kwa akili yao inabaki kwenye urithi utazani waliambiwa na Mungu atakaye tangulia kufa ni mwanaume.
Huu mtego wanasa mabinti wengi tena mpaka wengine kuzaa na waume za watu sababu tu ya tamaa zao za fedha.
Tukishaikuna mbususu wala haituumi kabxa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema mwanaume watalalamika weee ila mwisho wa siku ikifika wakati wa kutoa pesa wanatoa huku wanaumia ila ndo watafanyaje sasa..
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nyongeza..Usipopewa-roho mbaya.
Ukipewa ukadaiwa - msumbufu na vikauli vya hela yenyewe ndogo tu.
Ukipewa utoe penzi - biashara. šššš.
Kwanini utegemee kitu cha bure?
Bwana punguza hasira. Kwani kuwa single mom ndo nini? Mnaona mkimwambia mtu ni single mom atajisikia vibaya eeeh? Mimi ni single mom na nikitaka kuwa tena nitakua. Sipangwingwi.Hiyo mentality ya kuomba kuomba pesa sana ndio inawafanya muwe single mother wengi huyo mwanaume atalipa hizo pesa ila hatokuweka kwenye category ya wife material put it in your mind Wanaume wasasa wanaoa wanawake watakao waoffer something in return kwa maana nyingine wanataka win win situation.