Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Kumsaidia mwanamke bila yeye kukupa penzi ni hasara sana coz wao huwa hawasaidii ukipata shida, hata ndogo tu isiyohitaji pesa huwa ni wagumu kujitoa.

Na wengi wao unapomsaidia pesa basi anadhani unamkubali hivyo huwezi kumchomolea.
Ndio maana tunajiweka seh salama ya kudai mbususu kwanza.
Comment makini Sana[emoji106]
 
Ayyaaa amekukula ndio akakupa pesa jamaani pole aisee ndio hivyo bhana ukimpumzisha babaako kukuhudumia ujue utahudumiwa na kukulwa
 
Mimi mwanamke ambae ninaweza kumpa ela bila kumgonga ni yule ambae nikishikwa na genye zangu hua ananipa bila masharti na bila kinyongo.. Yani simu moja tu kashafika getto (tena kwa nauli yake) tunafurahi kisha anasepa (kwa nauli yake pia). Huyu hata usiku wa manane akinipigia ana shida ya laki namtumia. Kwa bahati mbaya wanawake wa dizaini hii tangu nibalehe nimewapata watatu tu (nimewamiss sana Sarah, Anna na Amina [emoji10]).

Siku hizi nawapata hawa ambao ukimchana njoo getto analeta longo longo za nitumie nauli, nywele zangu zimefumuka siwezi kutoka (hapo kama nimebanwa sana na genye natuma tu nauli na pesa ya kusukia) akija getto anachezea mpini-nyama tena nahakikisha namwaga mpaka ubongo [emoji39] akisepa tumemalizana. Sasa mwanamke wa dizaini hiyo hata siku akitaitiwa na shida zake anataka nimpe ela, siwezi mtumia, ni lazima nasisitiza LAZIMA aifate getto...
Sahii kabisa [emoji4]
 
Back
Top Bottom