Mtakufa njaa nyie acheni ubishi wakati hela hamnaMjadala mkali sana, mi naona suluhisho kila mtu abaki na chake, wanaume mbaki na pesa zenu na wanawake tubaki na utamu wetu.
Atayetaka cha mwenzie tubadilishane.🤣

1. Nikupatie pesa kama nani ?Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Mtoa mada nahisi ana personal conflict tu!! Kifupi ndio dawa yenu wanaume tumefikia hapo sasa hatuangalii sura , kazi wala history yetu na nyie ukitaka pesa njoo bila pantsMnavyokuwa wakali, kwa nini mwanaume anakubali kumpa hela mwanzo, akifika mpaka msex...kama hamjaelewa topic ya mtoa mada..
Nimesema wanaume msiniquote, kipi usichokielewa nduguMtoa mada nahisi ana personal conflict tu!! Kifupi ndio dawa yenu wanaume tumefikia hapo sasa hatuangalii sura , kazi wala history yetu na nyie ukitaka pesa njoo bila pants
Wanaume wa siku hizi ni wanaume basi......... Sa bora huyo hata anamachine ya kukuingizia unakuta mwanaume anamdomo mchafu muda wote anabwata tu lalalaleleee...... Unakuta mwanaume ety anazila kabisa kabisa..... Unakuta mwanaume ety anaogopa shemeji ake akimfukuza dada ake ye ataenda wapi...... Yani kabisa mwanaume analia ety amechukuliwa mwanamke....... Siku hizi hakuna wanaume wachache sana ety mtu anakuja kutuhadisia amegombania nyama kweny sufuria na mke wake alf bado tumuite ni mwanaume......."Wanawake tujitafutie pesa zetu wenyewe,,"Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Mimi nashangaa sana aya mambo kwasababu hayajawai nikuta labda ila mwanamke akimpenda mwanaume unconditionally hayo yote hapo juu hayawezi tokea tatizo mnaupendo uliojaa mahitaji na kuomba omba wengi wenuWanaume wa siku hizi ni wanaume basi......... Sa bora huyo hata anamachine ya kukuingizia unakuta mwanaume anamdomo mchafu muda wote anabwata tu lalalaleleee...... Unakuta mwanaume ety anazila kabisa kabisa..... Unakuta mwanaume ety anaogopa shemeji ake akimfukuza dada ake ye ataenda wapi...... Yani kabisa mwanaume analia ety amechukuliwa mwanamke....... Siku hizi hakuna wanaume wachache sana ety mtu anakuja kutuhadisia amegombania nyama kweny sufuria na mke wake alf bado tumuite ni mwanaume......."Wanawake tujitafutie pesa zetu wenyewe
Unataka kila kitu bure na ww ndo hua shida akoMimi nashangaa sana aya mambo kwasababu hayajawai nikuta labda ila mwanamke akimpenda mwanaume unconditionally hayo yote hapo juu hayawezi tokea tatizo mnaupendo uliojaa mahitaji na kuomba omba wengi wenu
Huyo mwanaume kuna namna uliujeruhi moyo wake. Jitafakari upya.Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]
Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana
Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?
Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?
Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi
Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
Unakuta mwanamke anaomba omba pesa kama vile yeye ni mlemavu, sasa unajiuliza hii takataka naoa ili kuipeleka wapi mm kijana wa sasa.Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Atamkijitafutia pesa wenyewe hamta badilika kwasababu ya mfumo dume, wanawake waki Afrika tofauti na Wanawake wakizungu wao wanawake wakizungu hawaingii kwenye mapenzi kwaajiri ya kuhudumiwa ila wanawake waki Afrika wanaingia kwenye mapenzi kuwaajiri ya kupata pesa tu. Utakuta mwanamke anakazi yake lakini bado anaomba omba pesa kwa mpenzi wake,Mimi nikipata mtoto wangu wakike nitamjenga kwenye misingi yakutoomba pesa kwa wanaume.Wanaume wa siku hizi ni wanaume basi......... Sa bora huyo hata anamachine ya kukuingizia unakuta mwanaume anamdomo mchafu muda wote anabwata tu lalalaleleee...... Unakuta mwanaume ety anazila kabisa kabisa..... Unakuta mwanaume ety anaogopa shemeji ake akimfukuza dada ake ye ataenda wapi...... Yani kabisa mwanaume analia ety amechukuliwa mwanamke....... Siku hizi hakuna wanaume wachache sana ety mtu anakuja kutuhadisia amegombania nyama kweny sufuria na mke wake alf bado tumuite ni mwanaume......."Wanawake tujitafutie pesa zetu wenyewe,,"
Utakuta anafanya kazi, kwenye akili zao wanachojua sisi wanaume hatuna Mapenzi yakuwapa pesa Wazazi wetu na ndugu zetu ndiyo maana wasichana waki Tanzania %99 hawana maendeleo akili zao zimedumaa kwa ajili yakuombaomba wanamke una mshahara wako na boyfriend wako ana mshahara wake kwanini kila mtu asitumie pesa zake kama wanavyo fanya wazungu wakiwa kwenye mapenzi hawanyonyani wakienda ATM kila mtu anatoa pesa zake.Unakuta mwanamke anaomba omba pesa kama vile yeye ni mlemavu, sasa unajiuliza hii takataka naoa ili kuipeleka wapi mm kijana wa sasa.
Weww ndio unaonekana kutoelewaMnavyokuwa wakali, kwa nini mwanaume anakubali kumpa hela mwanzo, akifika mpaka msex...kama hamjaelewa topic ya mtoa mada...
🤣🤣😂 Ila kupitia huu Uzi wanawake tushushe kiranga cha 50/50, tuelewe kuna Haki Sawa na mfanano wa Haki......mfano Kama kuna watu wawili mmoja ana umri wa miaka 40, mwingine ana miaka 2 na wote Wana njaa, ukiwapa Kwa Haki Sawa utawapa wote mtori nusu bakuli au wali kilo moja moja....hapo umezungumzia Haki Sawa ambapo either mmoja atapunjika au atafaidi zaidi..... Men should be providers!.. this is how it has been!
....In evolutionary terms , it served some purposes...
.....Women get pregnant,raise kids and so could not go to hunt..
...Depended on Males for resources ef Food, Water, etc
,...Its just that with education na Maendeleo ya Dunia, industrial revolution etc
...Women became self-reliant!
...otherwise tungekuwa bado enzi zile bado nyinyi ni providers...
...Sielewi kwa nini mnataka ku divert roles zenu....LOL
....Sielewi huu uchungu wa kutoa hela mmeutoa wapi????
..what's happening guys???
..why ? i mean why???
Nilikuwepo...
Wanaume, hii posti yangu muignore tuuu.....LOL
Mimi nimekopwa Laki mbili toka mwezi January imagine,,,,Bora ningemnyandua nijue moja.Sasa nimekopesha silipwi,kula sijala Kila siku danadanaLabda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Hiyo namba moja ndio imezalisha single mothers wa kutosha na wakiendekeza hiyo wataendelea kuzalishwa na kutumika.sio kweli shida yenu ni kwamba unakutana na mwanaume leo, anakuomba namba, basi ile akishaanza kukupanga kwenye simu ukajua tu anakutaka kimapenzi basi unamwambia "nikwambie kitu?" halafu kitu chenyewe ni mzinga. au unamtangazia birthday huku ukitegemea zawadi au mchango kumbe hiyo ni birthday yako ya 33 ndani ya mwaka huu huu tu.
yaani bado ukurasa wa mapenzi wenyewe hamjaufungua (kwa kufanya mapenzi) wewe tayari ushatangaza shida zako. hapo ndo mwanaume anakuona ni mdangaji tu ndo anakuita mpeane kitu kwa kitu kama wanavyofanya wadangaji.
we ukitaka mwanaume akupe hela kama mpenzi wake fanya yafuatayo:
Moja: Chagua mwanaume mwenye hela kwanza. Mwanaume mwenye hela ni yule mwenye ajira kwenye taasisi inayoeleweka, au mwenye biashara inayoeleweka, na utamuona tu hata ukimtathmini kwa muonekano wake au nzuri zaidi anatembelea gari binafsi. Usitegemee kupewa hela na choka mbaya.
Mbili: Mroge kwa kumpa michezo ya kutosha bila ya kutangaza shida zako. Yaani akikuita nenda akutafune mara ya kwanza hapo atakuwa amekuthaminisha. Subiri akuite tena mara ya pili (hapo maana yake ameikubali nanihii yako), akirudia tena mara ya tatu basi kuanzia hapo unaweza ukaanza kumuomba hela. Na lazima tu kutakuwa na hela ameshakupa yeye mwenyewe bila ya kumuomba kama ulifanya uchaguzi vzr kama nilivyokwambia hapo juu.
Tatu: Kama ndo una shida sana hutaki kutumika kwanza ndo uombe hela, au unaogopa kuumizwa kwa kugongwa mara moja tu halafu asiridhike na mashine yako akakupotezea basi fanya hivi ile siku ya kwanza anakugonga akishamaliza shoo wakati anapumzika mwambie shida yako hapo hapo mkiwa kitandani. Kama hela anayo atakupa tu kwa moyo wote.
Fact.Hiyo namba moja ndio imezalisha single mothers wa kutosha na wakiendekeza hiyo wataendelea kuzalishwa na kutumika.
Ila ndipo unapojua wanawake hawajawahi kujua wao wenyewe wanataka nini, kwa hii 50/50 wanayo ipigania sijawahi kuielewa bali ni mchongo ulioanzishwa na wanaharakati na NGO kupiga hela za wazungu.
So kwa hapo formula inayotumika ni ile mnayoita haki sawa,wewe kama unaona una haki juu ya hela ya mwanaume basi hata mwanaume ana haki juu ya papuchi yako.
Huu ugonjwa wa kuomba omba hela inabidi ukemewe. Unazalisha kizazi kibovu. Mimi mara ya mwisho kuomba hela ilikuwa sekondary huko tena kwa wazazi na ndugu wa karibu. Chuoni boom langu lilikuwa linanitosha, wakati wa likizo nilikuwa natafute kazi ili nipate hela ya ziada. Mpaka sasa nikiwa na shida nakopa na kurudisha kwa wakati. Mwanamke unataka kila baada ya wiki 2 usuke hela za elfu 30, huku huna kupato chochote, unategemewa upewe. Wengine wanaishi nyumba za bei wakitegemea wanaume ambao sio waume zao, unafiri maisha ya baadae yatakuwaje? Utaishia kudanga ukiwa kwenye ndoa. Maisha yamebadilika tuditegemee wanaume wanaweza kubeba mzigo wa familia.Atamkijitafutia pesa wenyewe hamta badilika kwasababu ya mfumo dume, wanawake waki Afrika tofauti na Wanawake wakizungu wao wanawake wakizungu hawaingii kwenye mapenzi kwaajiri ya kuhudumiwa ila wanawake waki Afrika wanaingia kwenye mapenzi kuwaajiri ya kupata pesa tu. Utakuta mwanamke anakazi yake lakini bado anaomba omba pesa kwa mpenzi wake,Mimi nikipata mtoto wangu wakike nitamjenga kwenye misingi yakutoomba pesa kwa wanaume.