Aisee sikutegemea hii qoute nimecheka sana mama you made my day 😂😂😂Slay queen wanaamini wanaume wanatakiwa wawape tuuuuuuu na wanaume wanaamini mapenzi sio kumpa mwanamke pesa.
Hii vita ni ngumu wakuu cha muhimu kila mtu ashinde mechi zake.
View attachment 2257130
Weeeeee..!!! Naijua hiyoo..!!Ntakuwa jentomen nitampa vocha tu ajiunge kifurushi apendacho bila kumla mkuu 😀😀😀
Ona sasa..!! Kama anamuuliza kwamba huyo bwanaako wa kazi gani kama hakupi hela, maana yake kuchapwa nao ndo kunafanya apewe hela na vile vile baharia aitwe bwanaKuna mwanamke anampaga mwenzie hela? 😀 Zaidi atamuuliza sasa huyo bwana wako wa kazi gani kama hakupi hela 😁😁😁
😀 😀 😀 😀 utamtuliza kimazihara na moto utazima tuPoa, inakuja..
Natumaini mnajuana out of here🤣
Asije akaniwashia moto..
Nimefurahi nimefanya simh yako kuwa njemaA
Aisee sikutegemea hii qoute nimecheka sana mama you made my day [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa we kuweza?Mh wanaume hawapendi kuombwa wakati na wao wanaomba. Basi jamani tusiombane kila mtu apambane na hali yake.
Hata walioko mashuleni nao utawasikia .. MIMI KUNA MTU ANANISOMEA HUKOO..!!! Yaani kimtu kipo form two eti kinasomewa na mwanaume huko aliko..!!Atamkijitafutia pesa wenyewe hamta badilika kwasababu ya mfumo dume, wanawake waki Afrika tofauti na Wanawake wakizungu wao wanawake wakizungu hawaingii kwenye mapenzi kwaajiri ya kuhudumiwa ila wanawake waki Afrika wanaingia kwenye mapenzi kuwaajiri ya kupata pesa tu. Utakuta mwanamke anakazi yake lakini bado anaomba omba pesa kwa mpenzi wake,Mimi nikipata mtoto wangu wakike nitamjenga kwenye misingi yakutoomba pesa kwa wanaume.
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu.
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka.
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi.
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu.
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Nilishazoea kupambana na hali yangu so wala hainisumbui....Kuwa we kuweza?
Sisi hatujakataa, ila mzifuate getho.... Men should be providers!.. this is how it has been!
....In evolutionary terms , it served some purposes...
.....Women get pregnant,raise kids and so could not go to hunt..
...Depended on Males for resources ef Food, Water, etc
,...Its just that with education na Maendeleo ya Dunia, industrial revolution etc
...Women became self-reliant!
...otherwise tungekuwa bado enzi zile bado nyinyi ni providers...
...Sielewi kwa nini mnataka ku divert roles zenu....LOL
....Sielewi huu uchungu wa kutoa hela mmeutoa wapi????
..what's happening guys???
..why ? i mean why???
Nilikuwepo...
Wanaume, hii posti yangu muignore tuuu.....LOL
Kuna mwanamke anampaga mwenzie hela? 😀 Zaidi atamuuliza sasa huyo bwana wako wa kazi gani kama hakupi hela 😁😁😁
Lol na mobile money transfer zina kazi gani??Sisi hatujakataa, ila mzifuate getho
Afu we Nakadori wewee..!!!Nilishazoea kupambana na hali yangu so wala hainisumbui....
Ila kwa wenzangu wa kike na wa kiume ambao wanaona hawawezi kuhudumia na kwa ke ambao hawajiskii vyema wanapoliwa bila huduma basi kila mtu asiombe cha mwenzake. Case iwe closed until further notice kama asemavyo lemutuz nation
Kwa hiyo kila mtu anabaki huko aliko ila mimi nitume tu hela..!!! Sasa kinachofanya nitume hela si ni mahusiano tuliyonayo??? We JK alishasema kula uliwe banaaaaLol na mobile money transfer zina kazi gani??
Kwani ni kila ukituma hela ni lazma ule? Jamani si itakuwa kuuziana huko. Na pia sio lazima utoe hela mara tu unapokula tunda la mwenza wako...Kwa hiyo kila mtu anabaki huko aliko ila mimi nitume tu hela..!!! Sasa kinachofanya nitume hela si ni mahusiano tuliyonayo??? We JK alishasema kula uliwe banaaaa
Unajua pengine hatujaelewana tusichoelewana..!!! Wewe kila ukiwa na shida ya hela mimi nitoe.. Lakini na mimi nikiwa nataka mbususu huji, mara ule nauli.. Sasa unadhani ntatumia njia gani kukunyandua?Kwani ni kila ukituma hela ni lazma ule? Jamani si itakuwa kuuziana huko. Na pia sio lazima utoe hela mara tu unapokula tunda la mwenza wako...
Penye maelewano hawezi kuacha kuja...basi ukiona hivyo huyo atakuwa tapeli kwa kigezo cha chiu... na utahudumiaje mtu ambaye sio mpenzi au mtu wako??Unajua pengine hatujaelewana tusichoelewana..!!! Wewe kila ukiwa na shida ya hela mimi nitoe.. Lakini na mimi nikiwa nataka mbususu huji, mara ule nauli.. Sasa unadhani ntatumia njia gani kukunyandua?