Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Hautazikwa nazo woooi!

Zitabaki kuibadili dunia,,,, kuliko ziishie kwa Malaya ambaye hio mbunye yake atazikwa nayo... italiwa na Funza...

Enjoy Life Mkuu,,,Choose wisely,,, Nenda uliwe au baki na shida zako.
 
Zitabaki kuibadili dunia,,,, kuliko ziishie kwa Malaya ambaye hio mbunye yake atazikwa nayo... italiwa na Funza...

Enjoy Life Mkuu,,,Choose wisely,,, Nenda uliwe au baki na shida zako.
Wacha we!! Mkitoka hapa mnatuma na za kutolea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mnavyojifanya kuwa bitter sasa!
 
Wacha we!! Mkitoka hapa mnatuma na za kutolea
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Ila mnavyojifanya kuwa bitter sasa!
Mtazamo wako uko sahihi pia,,, Wanaotuma na ya kutolea basi ujue na wao wanapewa papuchi kwa wakati wanaohitaji,, na wanaichakata kwa Style zote 17.....

So Jitahidi utoe,,, na wewe upewe... Otherwise FALSE...
 
Wewe ndio msemaji wao?
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Kwani we ni dada yangu au shangazi yangu hadi nikupe pesa yangu bure? Ww nikikuomba pesa utanipa? Au mnafikiri sie tunaziokota? Tunatoka jasho mjue. Mnapenda vya dezo eeh?

Kwanza mjue tunawastahi sana. Unakuja kwangu nakupa utamu halafu nakupa na hela halafu unaleta nyodo hapa!! Komaaaaaa.,
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Umeona eeehhhhhh!
Ndio maan namm akiniita siendi ila pesa nataka.
Najua atatuma tuh Pesa na nitakavyotoa sababu za kutosha mpk kieleweke Mshiko nachukua na Burudan simpi.
 
.... Men should be providers!.. this is how it has been!

....In evolutionary terms , it served some purposes...

.....Women get pregnant,raise kids and so could not go to hunt..

...Depended on Males for resources ef Food, Water, etc

,...Its just that with education na Maendeleo ya Dunia, industrial revolution etc

...Women became self-reliant!

...otherwise tungekuwa bado enzi zile bado nyinyi ni providers...

...Sielewi kwa nini mnataka ku divert roles zenu....LOL

....Sielewi huu uchungu wa kutoa hela mmeutoa wapi????

..what's happening guys???

..why ? i mean why???

Nilikuwepo...

Wanaume, hii posti yangu muignore tuuu.....LOL
Hizi roles ni permanent no matter what!!
 
Wee ukiona mwanaume ambaye sio ndugu yako anaonyesha kukujali na mwepesi kutoa pesa kukupa jiandae kuliwa tu wanaume tunatoa hela kwa target kama ni mizinguo utaona jamaa ka change gia fasta na hana time na wewe tena.Hela ni ngumu sana kuipata hivyo hamna tupa tupa wa hela.
 
Wewe ndio msemaji wao?
Nawasemea Wanaume TIMAMU Only...

Hao Mazuzu na Ving'asti mnaowachuna endeleeni tu,,, sina la kuwasemea Mkuu,,, wakamueni hadi Makamasi...

Mtu isipomfaa Akili yake,,, utamdhuru Ujinga wake...
 
Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]

Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana

Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?

Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi

Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
Kwendaaaa
 
Nawasemea Wanaume TIMAMU Only...

Hao Mazuzu na Ving'asti mnaowachuna endeleeni tu,,, sina la kuwasemea Mkuu,,, wakamueni hadi Makamasi...

Mtu isipomfaa Akili yake,,, utamdhuru Ujinga wake...
Teh teh teeeeeh!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pambana.
 
Hakuna urafiki kati ya mwanamume na mwanamke. Kama huyo mwanamume ni rijali mtaishia kitandani tu. Mwanamke kumwomba pesa mwanamume ni namna mojawapo ya mbinu za kike za KUJILENGESHA ili aliwe, hivyo akikuacha hudhani kuwa utamdharau. Lazima akutafune tu. Achana na kuomba omba pesa wanaume ambao si ndugu WA KARIBU, watakufanya kitoweo rahisi. Rafiki yako wa kweli wa kiume ni baba mzazi na wakubwa na wadogo, pia kaka zako wa tumbo moja.

Nina jamaa yangu tumesoma wote sekondari, nilushangaa siku mojaananipa mkasa jinsi alivyozini na dada yake wa baba mkubwa. Ati alimwomba ushauri kwamba mumewe hamfanyi kwa muda sasa, wanalala tu, jamaa likahisi dada yake kalipenda ila ameshindwa tu kufunguka. Akamchukua na kumpeleka gesti maeneo ya Buguruni kwa ushauri zaidi. Urafiki wetu umekufa hapo hapo.
Dada wa Baba mkubwa ni binamu, wanaoana vizuri tu, Acha nongwa mkuu
 
Yani wewe unaona "unastahili" pesa toka koka kwa mwanaume sio kaka wala ndugu yako, NA UNAONA NI HAKI YAKO KUPEWA PESA BUREE, qmmae we ni bwege sana. Wewe ulishawahi kuwapa wanaume wangapi pesa wenye shida ?! Stupid prostitute.

Nikushauri kitu kupata hizo hela za wanaume, nenda uwanja wa fisi kajiuze idiot, hiyo pesa unayotaka upewe na wanaume SIO YAKO na hawakupewa. Malaya Jinga.
Hahahaha hii spana ni "Drop Forged"
 
Back
Top Bottom