Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Kwani Huyo Mwanaume yeye kafanyaje akaipata hiyo Elfu 30 wewe ukashindwa kufanya Hicho kitu na wewe ukaipata hiyo elfu 30? Kujiepusha na Kulaumu watu humu

Je ulishamuomba Mwanamke Mwenzako hiyo elfu 30 akakujibuje.

Pesa hutafutwa ndugu haziombwi. Ukiomba Kubaliana na Masharti ya Uliyemuomba. Hata Nchi Yetu inaomba na Inapewa Masharti kibao na Inawezekana ingekuwa mwanamke basi Ingekuwa Malaya

Kuwa na Chako uone kama utalaumu Wanaume
[emoji16][emoji16][emoji419][emoji16]🥱[emoji848]
 
Halafu huo utamu unaosemekana mpo ni upi huo, pipi ni tamu ok lakini utam wa pipi na mate ya mtu, so huo utamu sio kutoka kwenu bali ni hisia binafsi za mtu. Hakuna mwenye utamu bali ni hisia tu, na ndio maana unaweza kusikia utamu wa aina ule ule ambao ungeusikia ukiwa na mwanamme au mwanaume nje yao.
Labda hujaelewa... utamu ni sawa na useme kufanya mapenzi/kukulana. Sikumaanisha ulivyoelewa
 
Tunaomba ujengewe sanamu tumtoe yule askari wa Posta uwekwe wewe na tunaomba pia ikiwezekana comment yako tukuwekee lamination nakuhifadhiwa pale makumbusho kwaajili ya faida ya vizazi vitakavyokuja shukrani umetisha sana bidada [emoji179][emoji179]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu msumari wa moto.
Japo sikubaliani na hili.
Kumla mtu kisa amekuomba 30k ni sawa na kumbaka au kununua changu.
Atakupa lakini hisia zake hazipo kwako.
Kama kaamua kujisikia hivyo ni sawa tu ila katimiza lengo lake
 
Shida sio kutuomba shida wamekuwa omba omba sisi wenyewe tuna majukumu mengi ya Wazazi, ndugu zetu wa karibu na mimi binafsi sasa nikiwekeza sana kwako mafanikio ya maisha nitayapataje, siri ya kuwa na maisha mazuri ni lazima uwe mchumi sometime kumbuka tupo kwenye level ya mahusiano tu sio mke wangu kwanini ni risk kiasi hicho
Basi usimpe mkuu. Tatizo mnalalamika kama vile ni lazima mtoe.
 
Hiyo imeandikwa wapi? Mimi kinachonifurahisha wadada wa kibongo ni maadvocate wa 50/50 lakini wanaishi tofauti na hiyo ishu.

Mwanamke anayestahili pesa ni mke na mama tu wengine tulishakubaliana kuna mchongo nausikizia au njoo uifuate ghetto.
Kabisa. Akiona ghetto mbali basi kila mtu abaki na kitu chake. Hakuna ulazima kwenye kutoa ulicho nacho. Shida kaka zangu mnalalamika kama vile ni lazima mkiombwa mtoe. Mbona sisi mkituomba game tukiwanyima hatulalamiki mnaomba omba sana.?
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Money is a reward after solving somebody's problem. Sasa wewe nani uombe tu pesa upewe unconditionally. Ukiwa na shida na pesa fanya kazi upate zako, ukipenda kitonga no way out lazima uliwe nundu!!.
 
Wanawake ndio mmeifanya hiyo biashara kuwa juu. Utamu tunapata wote kuna uwezekano mwanamke ndio anapata zaidi,lakini bado anataka na hela juu.
Sio kuna uwezekano, utafiti unasema sisi ndo tunaenjoy zaidi (orgasm ya mwanamke lasts for 13seconds while ya mwanaume 8seconds kama sijakosea hizo namba) ila cha ajabu nyie ndo mnagharamika zaidi sijui kwanini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Nakusabahi sana we mwanamke mrembo sana na mzuri sana Mzigua90
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
sio kweli shida yenu ni kwamba unakutana na mwanaume leo, anakuomba namba, basi ile akishaanza kukupanga kwenye simu ukajua tu anakutaka kimapenzi basi unamwambia "nikwambie kitu?" halafu kitu chenyewe ni mzinga. au unamtangazia birthday huku ukitegemea zawadi au mchango kumbe hiyo ni birthday yako ya 33 ndani ya mwaka huu huu tu.

yaani bado ukurasa wa mapenzi wenyewe hamjaufungua (kwa kufanya mapenzi) wewe tayari ushatangaza shida zako. hapo ndo mwanaume anakuona ni mdangaji tu ndo anakuita mpeane kitu kwa kitu kama wanavyofanya wadangaji.

we ukitaka mwanaume akupe hela kama mpenzi wake fanya yafuatayo:

Moja: Chagua mwanaume mwenye hela kwanza. Mwanaume mwenye hela ni yule mwenye ajira kwenye taasisi inayoeleweka, au mwenye biashara inayoeleweka, na utamuona tu hata ukimtathmini kwa muonekano wake au nzuri zaidi anatembelea gari binafsi. Usitegemee kupewa hela na choka mbaya.

Mbili: Mroge kwa kumpa michezo ya kutosha bila ya kutangaza shida zako. Yaani akikuita nenda akutafune mara ya kwanza hapo atakuwa amekuthaminisha. Subiri akuite tena mara ya pili (hapo maana yake ameikubali nanihii yako), akirudia tena mara ya tatu basi kuanzia hapo unaweza ukaanza kumuomba hela. Na lazima tu kutakuwa na hela ameshakupa yeye mwenyewe bila ya kumuomba kama ulifanya uchaguzi vzr kama nilivyokwambia hapo juu.

Tatu: Kama ndo una shida sana hutaki kutumika kwanza ndo uombe hela, au unaogopa kuumizwa kwa kugongwa mara moja tu halafu asiridhike na mashine yako akakupotezea basi fanya hivi ile siku ya kwanza anakugonga akishamaliza shoo wakati anapumzika mwambie shida yako hapo hapo mkiwa kitandani. Kama hela anayo atakupa tu kwa moyo wote.
 
Huna ndugu mpaka uombe watu Baki?

Mbona wanaume hawawaombi ninyi?

Acha kujidhalilisha na kuuvua utu wako na thamani yako kama mwanamke!

Muombe Mumeo pesa, omba wazazi pesa, omba ndugu zako pesa hasa mliozaliwa wote au ndugu za Baba au Mama yako.

Hakuna upendo kwenye kuomba omba watu Baki.

Mwanamke anayeomba pesa mtu asiye mume wake huwaga wanaume tunakuwa tunamchukulia Kwa namna ya kupekee
Hebu muandikie thread yake kabisa kaka
 
Hiyo imeandikwa wapi? Mimi kinachonifurahisha wadada wa kibongo ni maadvocate wa 50/50 lakini wanaishi tofauti na hiyo ishu.

Mwanamke anayestahili pesa ni mke na mama tu wengine tulishakubaliana kuna mchongo nausikizia au njoo uifuate ghetto.
Hiyo aya ya mwisho umemaliza kila kitu mzee baba umeupiga mwingi mno
 
Labda hujaelewa... utamu ni sawa na useme kufanya mapenzi/kukulana. Sikumaanisha ulivyoelewa
Nimeelewa hivyo hivyo ulivyo maanisha ila nimekazia kusema hata huo utamu ambao wanawake wanaoutoa hakuna cha utamu wala nini, ni feeling tu na kwa maana hiyo mwanaume ye ndio anapata hasara tu. Huo utamu naweza kupata nje ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom