😂🙌Na wewe acha uongo kutaka kunipa pesa,nikija unaniyeyusha..lol
Kama mlisema haki sawa mnatuomba pesa za nini? Si siku hizi mnasema mnaamka kama sisi? Sasa chanzo cha umalaya ni nini kama siyo hizo shida zenu?Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Kwani lini nyie mmewahi kuwa na utu. Why ukiwa na mpenzi basi ni lazima akupe hela. Nyie ndo mmeifanya imekuwa biashara mapema kabisa sisi tunasawazisha tu.Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Ahahahahaaa.... What can you ofer zaidi ya sex kwenye mapenzi?Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Pango, ada.. etcNyie wenyewe mkiombwa penz
Hapo hapo hujasuka,hujafanya shopping,Una njaa nauli huna
Biashara mmenza wenyewe
Kweli mkuu, rejeaTatizo la wanawake wanajiona wanayo "HAKI YA KUOMBA NA KUPEWA"
yaani yeye anataka akiomba umpe, unapewaje hela kizembe aise?
Kwa heshima kabisa namshukuru Azizi Mussa kwa post yake hii kwenye uzi Mapenzi ya siku hizi ni ya Nipe Nikupe! post namba 2... nimeikopi na kupesti hapa chini...Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Umemjibu vema sana.Kwanza kwanini umuombe pesa?
Wewe ndio chanzo cha tatizo, yaani mkiishiwa pesa mnaamini sisi ndio hatuishiwi.
Hata sisi tuna shida zetu na tunaishiwa, ila sisi Wakinga kuipata pesa yetu utumie akili ya ziada.
Wanasema "no free lunch".Mnavyokuwa wakali, kwa nini mwanaume anakubali kumpa hela mwanzo, akifika mpaka msex...kama hamjaelewa topic ya mtoa mada...
Tatizo la wanawake wanajiona wanayo "HAKI YA KUOMBA NA KUPEWA"Tatizo la wanawake wanajiona wanayo "HAKI YA KUOMBA NA KUPEWA"
yaani yeye anataka akiomba umpe, unapewaje hela kizembe aise?
Kitakwimu wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwanini hiyo 30K usiwaombe wanawake wenzako ?! Kama sio umalaya ni nini ?!Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu