Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Kwanza kwanini umuombe pesa?
Wewe ndio chanzo cha tatizo, yaani mkiishiwa pesa mnaamini sisi ndio hatuishiwi.

Hata sisi tuna shida zetu na tunaishiwa, ila sisi Wakinga kuipata pesa yetu utumie akili ya ziada.

Kupaaaaao!! In mwaisa voice [emoji16]
 
Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]

Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana

Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?

Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi

Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
 
Mnavyokuwa wakali, kwa nini mwanaume anakubali kumpa hela mwanzo, akifika mpaka msex...kama hamjaelewa topic ya mtoa mada...

Anhaa
Kwahyo kumbe akifika nmpe hela kwanza afu ndio nmuombe sex
 
Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]

Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana

Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?

Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi

Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
Chai ya usiku au kahawa?
 
Tafuta pesa zako dada, tafuta pesa huone ni jinsi gani ni Raha kuzila bila kupangiwa... Pesa ya mtu anayeitwa mwanaume ni lazima akitoa ilipwe tu, akikusaidia basi ujue ana expect something from you. Wachache Sana ndiyo husaidia mwanamke bila kutegemea kitu, lkn wanaume wengi akikusaidia ujue jiandae kutoa mbususu, atakusumbua tuu... Mwanaume ambaye ukimuomba hawez tegemea kitu Toka kwako ni baba, kaka.na ndugu wengine. Lkn siyo asiye ndugu yako Tena awe anaisaka Kwa jasho haswaaa[emoji16] utaisoma namba.

Akikusaidia basi ujue ana expect something from you
 
Utu haulazimiswi wala huwezi kumlaumu mtu, kwenye uchumi wa kibepari “There’s no free lunch”!

Mleta mada unajaribu kuishi kijamaa ndani ya mfumo wa soko huria! Haiwezekani!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Anaishi kijamaa kwenye Capitalist World..haiwezekani asilani.
 
Uzuri wanalijua vizuuuuri hata wakakamae vipi hiyo iko pale paleeee.
Hahaha ninyi si ndiyo mnasemaga ati wanaume pesa zao hazijashikana na roho haya mmeona majibu yao leo

Wengi kama siyo wote wakikupa ni wanataka pale kati na wakipakosa wanaumia which means hawatoi kwa upendo

Hakuna cha mwanamke wala mwanaume wote tu pesa zetu zimeshikana na roho maana siyo kwa malalamiko haya
 
Mimi mwanamke ambae ninaweza kumpa ela bila kumgonga ni yule ambae nikishikwa na genye zangu hua ananipa bila masharti na bila kinyongo.. Yani simu moja tu kashafika getto (tena kwa nauli yake) tunafurahi kisha anasepa (kwa nauli yake pia). Huyu hata usiku wa manane akinipigia ana shida ya laki namtumia. Kwa bahati mbaya wanawake wa dizaini hii tangu nibalehe nimewapata watatu tu (nimewamiss sana Sarah, Anna na Amina [emoji10]).

Siku hizi nawapata hawa ambao ukimchana njoo getto analeta longo longo za nitumie nauli, nywele zangu zimefumuka siwezi kutoka (hapo kama nimebanwa sana na genye natuma tu nauli na pesa ya kusukia) akija getto anachezea mpini-nyama tena nahakikisha namwaga mpaka ubongo [emoji39] akisepa tumemalizana. Sasa mwanamke wa dizaini hiyo hata siku akitaitiwa na shida zake anataka nimpe ela, siwezi mtumia, ni lazima nasisitiza LAZIMA aifate getto...
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Kwani bila kukupa pesa huwezi kufanyanae mapenzi
 
Mvivu wa kufikiri.kwani.huyo.wanaume ni kikoba au sakosa.kwanini.usiende.wanakotoa.hela? Kila mtu anashida ww ya hela yeye ya mapenzi no free lunch in America.
 
Sikutegemea kwakweli [emoji3064][emoji3064]

Nilimkuta kapuku, hakuwa na pesa, nikam offer mpaka pesa ya chakula na nauli kutoka kazini kwake kwa miezi miwili, alikuwa ni wa kuniheshimu sana, kiukweli nilimpenda sana

Sasa amepata vicent, anashindwa hata kurudisha fadhira, anahitaji tufanye mapenzi ili anipatie pesa zake alizozitengeneza kwa msingi wangu, najua leo kwangu kesho kwake, kwani nami kipindi cha nyuma nilikuwa hivi?

Mbona penzi nilimpatia bure kabisa? Tena kwa upendo wote? Tena kwangu? Leo hii kumuomba pesa kwa dharura ananipa masharti ya kwenda kwake na jua lote eti tufanye mapenzi kwanza? Kwani kigeni kwake kutoka kwangu ni kipi mpaka awe na tamaa ya ajabu kiasi icho? Kwani haniamini tena? Thamani yangu anaifananisha na nini kwa sasa? Mwanaume pekee niliempenda, nimeacha wangapi mimi mwenzenu, nimekataa wangapi ili kumtunzia heshima? Na ninyi mnafungua midomo yenu kutetea upuuzi?

Sasa napata kuamini kuwa hakuna mwanaume mwaminifu, hata hawa ninaowaona mtaani wakijifanya kuniulizia na kunitupia macho ya tabasamu na bashasha wananidanganya, huenda wamo humuhumu na ndio wachangiaji wakubwa kunitusi na kunikebehi

Nilimpenda bure jamani, hakuwa na kitu, leo hii nakatiliwa namna hii? asante mungu, ipo siku [emoji24][emoji24]
Rosemary 255 Kwani wewe na Huyo mpenzi wako mna mahusiano ya muda gani? Na mahusiano yenu yako vip friendly au uncomfortable? Nianzie hapo kwanza nimekuuliza maswali mawili naomba yajibu yote
 
.... Men should be providers!.. this is how it has been!

....In evolutionary terms , it served some purposes...

.....Women get pregnant,raise kids and so could not go to hunt..

...Depended on Males for resources ef Food, Water, etc

,...Its just that with education na Maendeleo ya Dunia, industrial revolution etc

...Women became self-reliant!

...otherwise tungekuwa bado enzi zile bado nyinyi ni providers...

...Sielewi kwa nini mnataka ku divert roles zenu....LOL

....Sielewi huu uchungu wa kutoa hela mmeutoa wapi????

..what's happening guys???

..why ? i mean why???

>>> again mtoa mada, kama hamkukubaliana nipe nikupe, then anataka kutake advantage of you, ndio mchezo wake kutake advantage of women, shida zao anaona apate sex, again mwanaume wa hivi muogope sana hata kama ulikuwa unamfikiria awe boyfriend wako jua hio ni red flag,,,,,

Nilikuwepo...

Wanaume, hii posti yangu muignore tuuu.....LOL
 
Back
Top Bottom