Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Basi usimpe mkuu. Tatizo mnalalamika kama vile ni lazima mtoe.
Kwani mtoa mada hajalalamika ?! Umeusoma vizuri uzi wake ?! Tunarudi pale pale square one UBINAFSI, wanawajae wao ni s.wa kusema pale wasiporidha ila wanaume wasiseme mabaya ya wanawake.

Wanawake kila watakacho wapewe na wapewe na wanaume yeyote ila mwanaume atakacho asipewe.
 
Kabisa. Akiona ghetto mbali basi kila mtu abaki na kitu chake. Hakuna ulazima kwenye kutoa ulicho nacho. Shida kaka zangu mnalalamika kama vile ni lazima mkiombwa mtoe. Mbona sisi mkituomba game tukiwanyima hatulalamiki mnaomba omba sana.?
Kula tano mkuu. Weww pia unastahili kuingizwa kwenye hiyo list ya kupewa pesa.

Nenda kaupige mwingi bar yoyote ya jirani halafu mwambie counter, bill ni juu yangu 😁
 
Ni kweli wanawake wengi wako hivyo. Anakuomba pesa kama kukupima imani au kukukomesha flani hivi. Ukiona unampa mwanamke hela na yeye harudishi shukrani au hupati unachokitaka ni bora uache tu... kama unataka utamu na mwanamke anakuzungusha kwa kukuomba omba pesa na wewe unatoa ni bora ukaacha. Mwanamke anatoa utamu hata bila hela vizuri kabisa.
Pesa zako mpe mtu anaekupenda, anaeshukuru ama la toa kama unampa rafiki bila kutegemea malipo yoyotel
Asante kwa maelezo mazri. Ila mtu yoyote anaetoa huwa anatarajia kitu fulani baada ya kutoa ama ni furaha baada ya kutoa, ama ni shukurani baada ya kutoa, au kuthaminiwa kwa ule moyo wa kutoa pamoja na kile ulichotoa, au kupata baraka na wengine kupata sex position.

Binafsi nimekua nikijitoa sana haswa kwa wakina dada iwe nina nasaba nao au vinginevyo bila ya tarajio lolote lakini huwa najisikia furaha kubwa sehemu ya kutatua tatizo la mtu, lakini badala yake nimerudishiwa dharau badala ya hata shukrani.
 
Yan watu bana wanapenda kufata mkumbo wa comment za mwanzo, nahs kama mmeichukulia kivingine zaid, kwan mpenz haombwi hela?, ila lakini tutafute tuu zetu kuepusha haya mambo. Kiruuuuu! Ngoja nijifunike blanket chuga n baridi laana
 
Kabisa. Akiona ghetto mbali basi kila mtu abaki na kitu chake. Hakuna ulazima kwenye kutoa ulicho nacho. Shida kaka zangu mnalalamika kama vile ni lazima mkiombwa mtoe. Mbona sisi mkituomba game tukiwanyima hatulalamiki mnaomba omba sana.?
wanawake wamekuwa wanalalamika kuwa sisi niwabahili na kuna wakati wanatususia kabisa ndio maana na sisi sio kwamba tunawalalamika ila tunawaelewesha ingawa wanatuelewa vibaya
 
Nimeelewa hivyo hivyo ulivyo maanisha ila nimekazia kusema hata huo utamu ambao wanawake wanaoutoa hakuna cha utamu wala nini, ni feeling tu na kwa maana hiyo mwanaume ye ndio anapata hasara tu. Huo utamu naweza kupata nje ya mwanamke.
Haya kaupateni sasa kama rahisi

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kilichoko kwenye akili za sisis wanume ni ngono tu. Mwanaume anapo sikia tu sauti ya mwanamke mashine inasimama muda huo huo kuwaza kugongana . Sio kosa lao ila ndio kawaida ya mwanaume kwahiyo jitahidini kuwa samehe wanaume na kuendelea kuwapa mapenzi nyie akina dada
 
Kwani mtoa mada hajalalamika ?! Umeusoma vizuri uzi wake ?! Tunarudi pale pale square one UBINAFSI, wanawajae wao ni s.wa kusema pale wasiporidha ila wanaume wasiseme mabaya ya wanawake.

Wanawake kila watakacho wapewe na wapewe na wanaume yeyote ila mwanaume atakacho asipewe.
Basi tusemaneni tu yaishe na mwisho wa Siku kama mtu hutaki na chako basi usiombe cha mwenzako

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Usimsaidie mwanamke na Mjadala ulifungwa hapo.
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote wabinafsi na hawana shukrani.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)

Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani
 
Huu Uzi nimecheka sana, mbona nilisikia wanasema wanaume huwa mnaona Raha kuombwa pesa.....imekuaje tena?
Gia imebadilishwa angani kwasababu ya Wanawake kugeuka kuwa omba omba kupita maelezo na wamekuwa wabinafsi na wasio nashukrani unamgharamia the end of the anakupiga na kitu kizito kutoka a na hii kadhia tumekubaliana Wanaume kwenye kikao chetu hakuna kutoa hela bure bila kupata mbususu
 
Back
Top Bottom