Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Rosemary 255 nina 150k hapa haina kazi, kama vp njoo mageton kwangu uchukue yote, me sitakufanya kitu.
Ha ha ha hata Ukraine aliambiwa na NATO hivi hivi kwamba Urusi hatamfanya kitu😂😂😂
It shouldnt be like that, unless mmekubaliana mapema, nakupa unanipa, ila kama ulimuomba akasema anakupa then ukifika anataka sex it means anataka ku take advantage of you.na shida zako.huyo mwanaume muogope sana... mshenzi ndio itakuwa tabia yake hio..kimbia...runnnnnnnnnnnnnn
Sasa mfano uniambie unaomba hela hatujazoeana kihivyo unafikiri ni rahisi kukwambia nawewe utanipa kitumbua miss becky?
 
Umejibu vyema mkuu, niongezee tu hapo kuwa huyo mwanamke ana mahusiano gani na huyo mwanaume, kuna uhusiano wa kirafiki au ushkaji tu, na uhusiano wa mapenzi, sasa kumuomba mwanaume ambaye ni rafiki wa kawaida haina shida, lakini kama ni mpenzi hilo ni tatizo kubwa na linawakatisha wanaume wengu tamaa, ukweli ni kwamba wanaume wengi wanachukia tabia ya kuombwa ombwa hela na wanawake, inabore, kingine pia inategemea huyo anayeombwa hela urafiki/ uhusiano wenu una muda gani, sa unakuta mtu mmefahamiana tu wiki moja unaanza kumuomba hela, lazima ashtuke, maoni yangu hapa ni kwamba wanawake tuache hii tabia ya kuomba omba hela wanaume, tujitaidi kutafuta za kwetu, lakuni tatizo lingine tusiwe na matarajio sana ya kupata pesa kwa mwanaume unapomuomba, naye pia wakati mwingine anakosa, so kwa hili tujerekebishe, lakini kwa upande wa kiumeni, kama hauwezi kumsaidia mtu ni bora uache but sio kumsaidia kwa conditions, unless labda kama kalazimisha mwenyewe, ni bora umwambie sina kuliko umpe hela umuharibie utu na thamani yake.
Kuna mademu ni washkaji, wengine tunapiga kusaidiana kupunguza ugumu ila wako serious na maisha yao. Hawa mademu wa hivi siku ukitaitika kukupa box 2-3 hashindwi. Na wewe siku akiku bom unajua kweli huyu bibie kataitika unampa na mnaendelea kulana kiungwana.

Ila sio hawa madem kama mtoa mada wao mbunye ni mtaji, wakitoa mbunye siku moja tu zinaanza invoice mfululizo hadi unawaza huyu kabla hatujfahamiana aliishije.
 
Huu Uzi wanaume wana hasira mbaya. Pesa imekuwa ngumu
Acha kulenga shabaha upande tofauti, hakuna mwenye hasira ila wanawake wamezidi ubinafsi (na ujinga pia, imagine kila mwanamke anataka apewe kila anachotaka na apewe na mwanaume yeyote. Kuna)
 
Nilishaombwa sana pesa na wanawake na wote walioniomba niliwajibu sina ila nina mchongo wa kazi ambao naweza kuwapa wakapata hiyo pesa wanayoihitaji.
Hahahahahah na kama umesanuka wanaoomba omba hela wengi ni madada duu ambao wao wapo radhi kuuza utu ili kutatuliwa shida zao ila sio kufanya kazi ambazo sio za hadhi au za mauzo kama usemavyo. Mtu yupo Mlimani City kwenye Ice Cream shop analipwa 100K ila huwezi mtoa hapo ukampeleka sehemu local ambayo utampa 10 per day.
 
Halafu wanakazana tu kutuambia, MWANAUME TAFUTA HELA VINGINEVYO WAREMBO UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI... Sasa tukitafuta ili tusiwaite shemeji nayo inakuwa shida kutwa kutulalamikia kuwa tunamegeuza mapenzi kuwa biashara...

BY THE WAY, wanasahau kuwa wanwake wanauoza mbususu ni wafanya biashara pekee wanaouza bidhaa na kisha kuondoka nayo..
Ile sio bidhaa mkuu ni huduma, utility unaipata kipindi unapomwaga wareno pale 😀😀😀 unakunja sura na kukaza vidole sanjari na kubana nnya ile ndio segment inayokufanya ukimaliza ulipie hongo.
 
Ukiwa na shida ya pesa, njoo uniombe mimi, Mm sintakuomba kitu!
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu.

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka.

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi.

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu.

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
 
Huu msumari wa moto.
Japo sikubaliani na hili.
Kumla mtu kisa amekuomba 30k ni sawa na kumbaka au kununua changu.
Atakupa lakini hisia zake hazipo kwako.
Na hio ndio maana ya kununua merchandise😀
Ni kweli wanawake wengi wako hivyo. Anakuomba pesa kama kukupima imani au kukukomesha flani hivi. Ukiona unampa mwanamke hela na yeye harudishi shukrani au hupati unachokitaka ni bora uache tu... kama unataka utamu na mwanamke anakuzungusha kwa kukuomba omba pesa na wewe unatoa ni bora ukaacha. Mwanamke anatoa utamu hata bila hela vizuri kabisa.
Pesa zako mpe mtu anaekupenda, anaeshukuru ama la toa kama unampa rafiki bila kutegemea malipo yoyotel
Hii ndio mantiki sasa. You nailed it on this one ila pia waambie na wenzio mtu ambaye sio mpenzi wako na hajashibana waache kutangaza njaa vinginevyo watalabuliwa kavu kavu waje kuona wajuba ni roho mbaya
 
Back
Top Bottom