Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Kutoa bila kutarajia lolote ni UONGO,,,,, watu tu wamekuwa Manipulated ili Wazungu watupige.

Hata wale wanasaidia masikini huwa wanatarajia Baraka kwa Mungu,,,Yaani hawatoi kwa ajili ya wanayempa msaada,,,ila wanatoa ili Mungu awaone wametoa then wanatarajia kuongezewa, baraka n.k.. so hawatahitaji kujitangaza kwa binadamu ila wataamini Mungu anawaona...na ENDAPO wakiandamwa na mabalaa hukumbuka yote na kuanza kuona kama Mungu anawalipa tofauti na matendo yao mema(kulalamika).

Msomaji sio lazima uelewe sasa,,, Jipe Muda...
Hapa umetoa funzo kubwa sana ngoja nimtag bidada Rebeca 83 njoo huku
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Kwan bila kupewa pesa huwez fanya naye mapenzi?
 
Kwani Huyo Mwanaume yeye kafanyaje akaipata hiyo Elfu 30 wewe ukashindwa kufanya Hicho kitu na wewe ukaipata hiyo elfu 30? Kujiepusha na Kulaumu watu humu

Je ulishamuomba Mwanamke Mwenzako hiyo elfu 30 akakujibuje.

Pesa hutafutwa ndugu haziombwi. Ukiomba Kubaliana na Masharti ya Uliyemuomba. Hata Nchi Yetu inaomba na Inapewa Masharti kibao na Inawezekana ingekuwa mwanamke basi Ingekuwa Malaya

Kuwa na Chako uone kama utalaumu Wanaume
Hahahaha
 
Tangu utotoni tabia ya kuombaba wazazi hawakuipenda,wewe ulubwani unakuja unaanza tabia ya kuomba hela,ilhali sehemu za kukopesha ni nyingi,nini kinakusukuma hadi ufikirie kuomba na siyo kwenda kukopa sehemu stahki ili ukipata pesa urudishe?
Tena wazo linakupeleka ukakope kwa mwanaume,kwanini mwanaume?
Aisee mtaliwa sana,tena na mshahara ulivyoongezeka pamoja na hela ya safari,ngoja mliwe haswa hadi mkikaa mjisikitikie kwa kuwaza kua kichwa kikokosa akili,sehemu za siri zinaumia.
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Nyie si mnasema haki sawa. Tuitafute hela wote ukitaka kula cha mtu na wewe ukubali kuliwa. Tatizo mnaendekeza shida bila kujua wanaume nao wana shida zao.
 
Ndugu wanaume wenzangu nawashukuru sana, nimechelewa kufika katika hiki kikao lakini mmewakilisha vema kabisa katika kutetea maslahi yetu! Nimefurahi sana na mmeonyesha pamoja na utofauti wetu lakini tunaungana pale tunapoona mambo yanapelekwa hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom