Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 51
anaanda ngoma,kwani hamukuliona tangazo,yeye ndio amepewa jukumu la kumfunda mwali
Mwalimu Kichuguu mzima jamani...
Jama, napenda kuuliza, members hawa wametowekea wapi? Kuna anayejua...
--
--
--Pangupakavu
--
--
Atakuwa kaenda nyumbani kusalimia jamaa, unajua ukiwa Bongo internet access ni ya kubahatisha.Kuna member mwenzetu hapa amepotea kwa muda na sijamwona hapa. Masatu uko wapi? mzima lakini?