Wana JF Hawa Wako Wapi?...

na Jmushi1 amepotea kabisa baada ya yale majibizano makali na ... tunammiss sana.
 

...hivi kuna uwezekano wengine wamevishwa 'straight jacket'?, usifanye mchezo na 'kloriti'!

I believe wanapumzika tu kidogo, si unajua tena 24hrs addiction ya JF mara nyingine inaweza ikakutoa kwenye reality ya maisha!

Ninawakumbuka pia!

Udumu 'udugu' wa JF!
 
.... Mkjj, natumaini huko aliko yu salama; ila inatia wasiwasi, Mwl.Kichuguu kapotea kweli kweli...(isije ikawa nguchiro na michwa wamesiriba matundu yote na kufia humo humo ndani na kichuguu kuishia kudumaa kisirefuke tena.... :) lol )

..... Msanii naye katowekea wapi tena?! Baada ya harusi yake alijitokeza mara kadhaa, ghafla huyoooo.... sijui majukumu katika ndoa.... i don't know, but i hope yu mzima kokote alipo..

Nashukuru mungu bado nahifadhi mchwa na nguchiro bila wasiwasi. Nipo salama salimini, ila pilika pilika za kutafuta mboga ndizo zimekuwa nyingi tu kwa vile mafisadi waliniachia kipande kidogo sana cha mkia wa kasungura ambacho hakinitoshi kabisa.
 
Imepita muda kidogo GT amekuwa MIA...kuna mtu mwenye habari za huyu mtu?
 
sijamuona FD muda mrefu kidogo..........sijui naye kapotelea wapi

FD kwema lakini huko uliko?
 
sijamuona FD muda mrefu kidogo..........sijui naye kapotelea wapi

FD kwema lakini huko uliko?

Mkulu Ogah, FD yupo... karefusha jina tu.... lakini si FikraDuni kama ilivyokuwa awali tena... ;) sasa hivi ni mtu wa 'kucheza kwa usawa na haki'
 
Unajua kunakuwa na baadhi ya wanachama humu ndani lazima usikie kasema kitu kila siku, sasa akipotea ghafla, unaanza kujiuliza, kapotelea wapi, nini kilichomsibu? Ndio hayo ya mkuu Game Theory......Sijamsikia siku kadhaa humu ndani, au ndo mambo ya kubadilisha majina?
MKUU GAME THEORY....Nani kati ya hawa aliyekupiga marufuku tena??? Ili tukuombee ruhusa?
1) Mama watoto (Shemeji mkubwa).
2) Nyumba ndogo (Binti Maringo).
3) Bosi (Unazembea mzigoni).
4) Admin (Unabishana sana)
5) Name change (Uzime mabifu na watu).
 
Unajua kunakuwa na baadhi ya wanachama humu ndani lazima usikie kasema kitu kila siku, sasa akipotea ghafla, unaanza kujiuliza, kapotelea wapi, nini kilichomsibu? Ndio hayo ya mkuu Game Theory......Sijamsikia siku kadhaa humu ndani, au ndo mambo ya kubadilisha majina?
MKUU GAME THEORY....Nani kati ya hawa aliyekupiga marufuku tena??? Ili tukuombee ruhusa?
1) Mama watoto (Shemeji mkubwa).
2) Nyumba ndogo (Binti Maringo).
3) Bosi (Unazembea mzigoni).
4) Admin (Unabishana sana)
5) Name change (Uzime mabifu na watu).


Namba 4 na 5, haziwezi kumpoteza kiasi hicho, labda kapotea jamani UK kubwa na chochote chaweza tokea! Au kapata ulaji kwenye campaign crew ya Obama (itaingia hapo namba 3). Kiukweli hata mie nimemiss na zile picha picha alizokuwa akimwaga humu.
 
Labda kaja Bongo.......matatizo mengi Mizinga,mavumbi kibao,internet low speed, na gasia nyingi.....

Anaonekana Break Point mara kwa mara
 
..... miye nina uhakika hata kama ha-log in hapa, lazima anaangalia. pamoja na "utundu" wake wote, ni mtu ambaye yuko concerned mno na nchi yake!!

..... kuna jinsi ya kumfurumua arudi, nayo naijua.... nipatieni siku kadhaa nitafute topic itakayo mrudisha... lol

..... To GT: dude you ought come back, wananchi are in need of your contributions. abstaining is letting them, your country and your egoistic-patriotic-self down!! We may disagree a lot on our presentation styles, but we do agree in almost every aspect of issues at hand kwa ajili ya kuona nchi yetu inafanikiwa. Be back dawg, no need for 'intergalactic sting op' to capture you!! laters
 
Siku zilizopita niliwahi kumuona akichangia hapa jf. Lakini ni kweli siku hizi haonekani sana ingawa ni mchangiaji mzuri wa jf
 
Heshima Mbele,

siku za hivi karibuni Lunyungu amepotea sana,yuko wapi?
 
Back
Top Bottom