TzPride
JF-Expert Member
- Nov 2, 2006
- 2,616
- 1,171
Mchango wa Zitto si wakubeza hata kidogo, kwa sasa aachwe aingie ndani kwenye swala la madini ili akiibuka aibuke kitu chenye mshiko..hawezi aka anaingia JF kila siku ati kutu-brief..it doesn't work like that. Naamini Zitto kwa sasa yuko very busy na details za mining. E bwana Zitto usiache kum-consult bwan Tundu Antipas Lissu maana anauzoefu mkubwa na mambo ya kisheria katika mining sector