Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 139
Braza men naye yupo wapi? maana weekend siku hizi zinadorora bila Brothermen
Kada mbona yupo hapa... anakwenda kwa jina jipya la AMJama, napenda kuuliza, members hawa wametowekea wapi? Kuna anayejua...
--KadaMpinzani
Kada mbona yupo hapa... anakwenda kwa jina jipya la AM
Unajua alikuwa akitumia jina gani hapa JF?I suppose somobody Makene
Jama, napenda kuuliza, members hawa wametowekea wapi? Kuna anayejua...
--Mchongoma
--KadaMpinzani
--Pangupakavu
--AmazingFriend
--
Jama, napenda kuuliza, members hawa wametowekea wapi? Kuna anayejua...
--Mchongoma
....
--
ukumbi huu mepoteza haiba yake tokea jemadari wa anga hizi kutoweka.
jamani yuko wapi huyu mkuuu au yuko comoro?
ukumbi huu mepoteza haiba yake tokea jemadari wa anga hizi kutoweka.
jamani yuko wapi huyu mkuuu au yuko comoro?
Anakula uroda Brazil, kwani hakukuaga?
...wapi MSWAHILI!!!!!!!???
Said Yakubu ninavyoona aliamua kujitoa hata JF baada ya kutoa tangazo la kufunga blog yake. Lakini kwa addictive nature ya jf ninavyojua, lazima tu atakuwa anachungulia hapa.... kikubwa ninacho hisi ni kwamba labda sasa hivi anamajukumu aliyopewa na mshirika wake Mhando ya kuchanganua the new TBC!! Nawe lakini si uko huko...mmmmh, kweli huna fununu?! 🙂Yupo wapi kichwamaji?
Nammisi sana Said Yakubu
Mchunguzi inakuwaje??? nilimwona last week mbili hivi na ghafla akatoweka.
Namiss zile articles zake zilizojaa heshima na hekima alizozidediketi kwa White head.
Unajua tukiwa tunatofautiana humu ndipo forum yetu inakuwa tamu zaidi. Ila naamini kuwa vilaza wa kutupwa wapo humu pia.
Nimesoma ktk post moja hapo juu kuwa inawezekana Makene akawa amefariki nadhani labda kweli maana hata ile article yake maarufu ya Kasri la Mwanazuoni imekatwa au imesitishwa ghafla ktk jarida la Mwananchi jumapili na hatujapewa sababu...
Pls mwenye uthibitisho alete jamani maana endapo tunampoteza mtu humu basi apewe heshima yake kama mpambanaji aliyefia uwanja wa vita.