Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Jamani yuko wapi mwanamke mwafrika? huyu alikuwa ni mchapa kazi kweli na mwenye hoja kweli kweli hapa jf lakini siku hizi simuoni nani ana habari zake? Nini kimemsibu?
 
Alilog hapa mara ya mwisho July 4th. Nimemtumia PM jana lakini hajajibu, isipokuwa aliwahi kusema amebanwa na kazi kazini hivyo hataweza kushiriki katika mijadala kama kawaida yake.
 

Wandugu,

Imepita kitambo hapa forum bila kusikia maoni ya mwana Jf mwenzetu Lunyungu. Yametokea mengi hivi karibuni Tanzania, ambayo sikujali kujiuliza kwa nini sijaona mchango wake; lakini hili ya kumpoteza jemadari Chacha Wangwe (rip) pia amekuwa kimya napaa wasiwasi kidogo.

Kuna yoyote mwenye taarifa alipo Lunyungu?

Lunyungu tumekumiss hapa JF, upo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Kuna wengine zaidi,

  1. Tibwilitibwili,
  2. Mwendapole,
  3. Said Yakubu,
  4. Mswahili,
  5. Kazi ndiyo Kipimo cha Utu,
  6. Mugishagwe,
....

Na wengine mnaweza kuongezea!
 
hata mimi nilitarajia nimwone akiriport kwenye msiba wa chacha wangwe kule Dodoma ila wapi. Labda yuko kubeba mabox
 
Nafikiri Asha Abdala, Mpaka kieleweke labda walikuwa kwenye harakati za kutafuta taarifa juu ya msiba husika na huenda wakaja hapa na taarifa za ndani ........
 
Wengi wapo ila wanatumia ID nyingi.Mtu huyo huyo anaandika harafu anajis support kwa ID nyingine.

Hii tabia imeathiri wengi,Sijui tutawasaidiaje kuwatoa huko?inafanya analazimisha hata ambacho haki make sense au ndiyo popoo mbili zavuka mto....
 
Katika kuheshimu sheria za JF, siwezi kumtaja hapa, nitamstahi. Hata kama hivyo kama unahamu sana ya kumjua ni nani, nina tricks nyingi za kumgundua mtu... ukihitaji nitakupa moja (naweza ku charge fee lakini :)!!).

By the way, kuna Mugongomugongo na kuna mgongomgongo, sasa huyo uliyemtaja kama Mgongowamgongo, mimi kwa kweli simjui, sina uhakika kama ulimaanisha yule mugongomugongo aliye mtaja Judy.

SteveD.
Is it SteveD?
How come you are not able to know me now?
But at least you've made my day!
It shows you people care for others.
"Men and Women for others"
I forgot my passwords!
 
Is it SteveD?
How come you are not able to know me now?
But at least you've made my day!
It shows you people care for others.
"Men and Women for others"
I forgot my passwords!

Are the Sunshine - "cc-butter shineshine" that i know? If you are, then my guess had been right from start!! PM pls.

later
 
Back
Top Bottom