Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Mwalimu Kichuguu mzima jamani...

.... Mkjj, natumaini huko aliko yu salama; ila inatia wasiwasi, Mwl.Kichuguu kapotea kweli kweli...(isije ikawa nguchiro na michwa wamesiriba matundu yote na kufia humo humo ndani na kichuguu kuishia kudumaa kisirefuke tena.... :) lol )

..... Msanii naye katowekea wapi tena?! Baada ya harusi yake alijitokeza mara kadhaa, ghafla huyoooo.... sijui majukumu katika ndoa.... i don't know, but i hope yu mzima kokote alipo..
 
Tabasamu + Jasusi nao sijui wapo salama?.....wakuu jitokezeni angalau kusema hi
 
Ab-titchaz, hivi Kenyan-Tanzanian yuko wapi?! au ndiyo hivyo tena....kashapewa ubunge wa kuteuliwa na ODM...... :)
 
Kuna member mwenzetu hapa amepotea kwa muda na sijamwona hapa. Masatu uko wapi? mzima lakini?
 
au yupo kwa jina tofauti. ninyi wana CCM kwa kubadilisha majina tu hatuwawezi.
 
Kuna member mwenzetu hapa amepotea kwa muda na sijamwona hapa. Masatu uko wapi? mzima lakini?
Atakuwa kaenda nyumbani kusalimia jamaa, unajua ukiwa Bongo internet access ni ya kubahatisha.

Ni vigumu kuwa on-line marakwa mara ukiwa Bongo, mara nyingi tunaingia internet caffe kusoma u lakini muda wa kukaa na kuchangia hautoshi. Mkiona na wengine tumepotea basi mjue tuko nyumbani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom