niko tunduru jamani kwa anayetaka kuja sehemu hizi idara ya sekondari tokea mbinga, songea,njombe au iringa basi tuwasiliane kwa 0682136570.
 
ndugu yangu yupo moshi (v) weruweru idara sec anahitaji kubadili na aliyeko mwanza mjini,moro mjini
 
utafanikiwa tu rafiki shaka ondoa Mungu yupo.
 
Mimi ni mwl. Idara ya sec. Nipo bukoba manicipal nahitaji mtu wa kubadilishana nae ambaye yupo mkoa wa morogo wilaya yoyote kasoro ulanga tuu.
 
Nipo manicipal ya bukoba nahitaji mwl ambaye yupo manicipal ya dodoma nahitaji mwl wa kubadirishana idara sec.
 
Mwalimu anae hitaji kubadilisha kituo kutoka Sumbawanga kuja Manyoni idala ya sekondary wasiliana nami kupitia namba 0769450501
 
Kuna rafiki yangu yupo Mwanza jiji idara ya sekondari, anahitaji kubadilishana na mtu kutoka Bagamoyo au Morogoro mjini. Mwenye uhitaji ani PM
 
naomba nitumie nambari zako za simu kwenye email yangu, tuongee na sidhani kama utapelekwa tofauti na hapo, mie ndo napatwa wasi na huko MORO.
 
Mimi mwalimu npo tanga lushoto halmashauri ya bumbuli natafuta wakubadilishana nae kutoka dar es salaam au pwan kwaalie taray tuwasiliane 0784 647289
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…