mimi ni mwalimu wa sekondari, nimepangwa mkoa wa geita, wilaya ya geita, nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari kutoka mkoa wa Pwani katika halmashauri za kibaha, bagamoyo na rufiji. kwa aliye tayari anitafute kwenye namba hizi 0718 963023 au 0769 836667.
mimi mwalimu wa sekondari katika mkoa wa mwanza wilaya ya misungwi, nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari kutoka mkoa wa mwanza wilaya ya nyamagana au mkoa wa dodoma, dodoma manispa au wilaya ya chamwino. kwa aliye tayari anitafute kwa namba 0718 659923 au 0756 005571.
NJOO DODOMA KONDOA MJINI MIMI NIJE MAENEO HAYA:-
DODOMA MANISPAA
Dsm
MOROGORO MANISPAA
IRINGA MANISPAA
ARUSHA MANISPAA
TANGA TOWN
KIBAHA PWANI
Mbeya city
MWANZA NYAMAGANA
Idara ya sekondari #0753477905 /0716589410