Habari wanajamiii forum! .....NAITWA MWALM OSWARD HENRY (BIOLOGY& GEOGRAPHY ) WA TURIAN MVOMERO NATAFUTA MTU WA KUBADILISHANA NAE KITUO CHA KAZI YEYE AJE MVOMERO MIMI NIJE IFAKARA MJI idara secondary .....KWA MAWASILIANO 0655911200,0787272142 or mtelekeh@gmail.com
 
Njoo nzega mjini mimi nije rungwe ,mbalali ,kyela ,Dodoma jiji, makambako , morogoro. idara msingi kwa mawasiliano
0753874371
0765550546
 
Nilisikia kuwa kuna namna ya kuapply uhamisho online kwenye website ya utumishi.je ni kweli kama mti anajua afunguke hapa maana halmashauri mtihani kweli.
 
Nilisikia kuwa kuna namna ya kuapply uhamisho online kwenye website ya utumishi.je ni kweli kama mti anajua afunguke hapa maana halmashauri mtihani kweli.
Huo mfumo wa online upo tayari hivi sasa??embu ulizia vizuri huko uliposikia mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…