Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Umeona tafiti au unaongea kwa sababu tu umeumia? Kushabikia ukahaba eti kwa sababu bikra unaiona haina maana ni mtazamo w ajabu zaidi. Kwamba single mothers ni strong, hiyo ni misemo ya kwenye social media lakini uhalisia ni tofauti kabisa.
Uhai wa ndoa unakuwa determined na bikra, research zinaonyesha hivyo na sio kauli za walioshindwa kutunza bikra zao. Mwanamke asiyetambua thamani ya bikra yake hafai kuwa mke, I am sorry to say this.
Eti uhai wa ndoa unakua determined na bikira hahaaa ingekua it is that important wanawake woote wangeziacha zibaki mpaka waolewe ili wadumu ndoani, acha kuishi ulimwengu wa kufikirika ndugu! ,,, ni kwa vile tu hatuna alama usoni km huyu ni bikira ama not ila ingekua una alama usoni ukiwa bikira sijui ungefanyaje baada ya kugundua labda dada zako wote hawanazo , bado ungepreach hapa JF ubikira??
Single mothers wako veeery strong eti social media sijui zimefanyaje...uhalisia upi unaoongea?? Si tunaona mitaani wakipambana kuhakikisha wao na watoto wao wanapata chakula.. kuwa strong ni ku FACE RESPONSIBILITIES,,,,
Kisha ukahaba upo sababu jinsia zote mbili zimeridhia unacholalamikiwa in this topic ni kuwalaumu wanawake tu ndio wako responsible, ukweli km wanaume wangebaki bikra then wanawake nao wangebaki bikra end of!
Mwisho research jiongeze mwenyewe kuna watu wanafanya research wakiwa biased,,,anyway I also found this research have a look lol https://www.google.co.uk/amp/s/www.independent.co.uk/life-style/love-sex/ideal-number-sexual-partners-before-settling-down-sex-man-woman-marriage-study-a7717571.html?amp