Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
384
2,525
Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake.

Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu.

Akimpenda sana bwana wake atazuia mawasiliano ya yeye na ex wake ambae ni baba wa mtoto wake maana hakuna mwanaume anapenda kuona mke au girlfriend wake anakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na baba wa mtoto wake hii connection wote tunajua ni hatari.

Huu ni mtihani ambao single mothers unawasumbua sana wanajikuta kama wapo kifungoni kwenye magereza mawili tofauti.

Kama binti unataka amani kwenye ndoa yako hapo baadae jitahid usizae nje ya ndoa.
 
Shida nyingine ya single mother wana psychological damage kutokana na kutendwa wanakuwa hawaamini mwanaume kwa asilimia kubwa so inapelekea kutokupa mapenzi ya dhati atapretending mwanzoni wa mapenzi baada ya hapo anarudi kwenye uhalisia wake
Huu ni ukweli ambao nimewahi kuuishi. Yule dada ali show love sana. Yalikuwa mahaba mazito. Ghafla tu ikabadilika, akaanza kuwa analala mzungu wa nne. Nikamla umeme sitaki ujinga
 
mwanamke aliye zaa na mwanaume mwingine si alali yako hili limeshaelezwa na wanazuoni toka enzi
Wewee ukikua hii kauli utaiacha...ma single mama wengne wana faida..unakuta single mama kesha ji establish unamwachaje...kwasie tulio nje ya nchi unakuta mama wa kizungu kakupenda ana mtoto wake..unamwachaje..unampa mashine anavyotaka...anakupa urahis wa maisha ughaibun...

Kwahyo ndugu yangu kua uyaone.
 
Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake.

Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu.

Akimpenda sana bwana wake atazuia mawasiliano ya yeye na ex wake ambae ni baba wa mtoto wake maana hakuna mwanaume anapenda kuona mke au girlfriend wake anakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na baba wa mtoto wake hii connection wote tunajua ni hatari.

Huu ni mtihani ambao single mothers unawasumbua sana wanajikuta kama wapo kifungoni kwenye magereza mawili tofauti.

Kama binti unataka amani kwenye ndoa yako hapo baadae jitahid usizae nje ya ndoa.
Dawa ya single maza mzalishe nawew watoto wako..
 
Wewee ukikua hii kauli utaiacha...ma single mama wengne wana faida..unakuta single mama kesha ji establish unamwachaje...kwasie tulio nje ya nchi unakuta mama wa kizungu kakupenda ana mtoto wake..unamwachaje..unampa mashine anavyotaka...anakupa urahis wa maisha ughaibun...

Kwahyo ndugu yangu kua uyaone.
WANAZUONI WALITUTADHARISHA KABLA LAKINI

itoshe kusema hayo.
 
Back
Top Bottom