Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,926
- 20,157
TAHADHARI
Ukitaka Kuoa Single Mother Hakikisha Umeona Kaburi La Baba Mtoto.
I'm Done.
Ukitaka Kuoa Single Mother Hakikisha Umeona Kaburi La Baba Mtoto.
I'm Done.
Kama limbwata limeweza kusurvive Ten yrs nitaenda kurenew mwenyewe kuliongezea mkataba sio kwa raha hizi ninazopata jamani,Sijui mnakwama wapi vijana wenzangu.!We utakuwa umelishwa madawa amekuroga mkuu shtuka inamaana wanawake wameisha au
Kwa hiyo Mna wawekea password single mother wasi olewe c et eeeh!!!Narudia tena kuoa single mother ni sawa na kubeba bomu la nyuklia wana pasha vipolo sana baba watoto zao labda uhakikishe baba mtoto kafa na mwili wake umeuona na umeshiriki kuweka udongo kaburini
Kama uliemuoa haujaikuta bikra,unajisumbua tu kaka. kiporo kinapashwa tu tena muogope sana aliemtoa bikra.Narudia tena kuoa single mother ni sawa na kubeba bomu la nyuklia wana pasha vipolo sana baba watoto zao labda uhakikishe baba mtoto kafa na mwili wake umeuona na umeshiriki kuweka udongo kaburini
aliye mtoa bikra na aliye na mtoto wake weka uzitoKama uliemuoa haujaikuta bikra,unajisumbua tu kaka. kiporo kinapashwa tu tena muogope sana aliemtoa bikra.
Mechi lazima ianze 0:0 ita anzaje 1 au 2 kwa 0Kwa hiyo Mna wawekea password single mother wasi olewe c et eeeh!!!
Sasa alipata suprise gani kutoka kwako!Humu tupo wengi sana tukiacha ushabiki wa mitandaoni,Mimi hapa nawakaribisha wenzangu.
Ukweli jamani sisi tuliooa Single mom tunapata raha sana yaani Haiadithiwi na ndoa zetu zinadumu sana mimi huu mwaka wa 9 sasa.
Nasikitika hao wanaotukandia sie kila siku unasikia wameua au wameuawa na wake zao(Someni Alama za nyakati).
NAKUPENDA SANA SINGLE MOM WANGU!!
Umenichanganya, sijakuelewa. Kama sio kina mama wataitwaje "mom" au "mother".
Mwanamume kuzalisha hovyo nje ya ndoa ni jambo baya na la kukemewa. Mwanamke kuzalishwa hovyo nje ya ndoa ni jambo baya na la kukemewa. Mwanamume mwisho wa siku ndiye mwenye maamuzi ya kuoa ama kutokuoa, mwanamke hana maamuzi juu ya ndoa.Kwani haya mambo ya kuwaponda single mothers yameanza leo?? Mbona wameanza kukanywa tangu karne iliyopita je kuna mabadiliko yoyote kwenye jamii?? Hakuna bali kila kukicha ndiyo wanazidi kuongezeka unajua kwanini?? Ni kwa sababu jamii imeyafumbia macho maovu ya wanaume na kuwatupia lawama zote wanawake kwamba wao ndiyo chanzo cha kila kitu!!
Imagine mtu anasema mwanaume kuzalisha bila ndoa ni sawa ila mwanamke kuzalishwa bila ndoa ni kosa hivyo wanaume wasijitunze wanawake ndiyo wajitunze!! Mtu kama huyu hajui tu ni jinsi gani anavyozidi kuwapa kichwa wanaume na kuwafanya wajione hawana hatia kwa mambo wanayoyafanya eti kwa sababu tu hawapati madhara mwisho wa siku hata wanawake wakisema wajitunze wanaume hawawezi kuacha kuendelea kuwatongoza kwa nia ovu kwa sababu wameshaambiwa wao kufanya hivyo siyo kosa na hawapati madhara
Kwahiyo lazima watatumia kila mbinu kuendelea kuwashawishi hao wanawake wakubali na kumbuka wanawake nao ni binadamu kama ninyi hawawezi kuchomoa kwenye vishawishi vyote kama ambavyo hata ninyi wanaume hamuwezi kufanya hivyo!! Tatizo haya mambo tukisema jaribuni kuzionya jinsia zote mbili ziache maovu hamtaki mnasema tunataka haki sawa (kana kwamba kuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi) yaani mnaleta maswala ya haki sawa hadi kwenye maovu!!
Basi sawa mimi naomba jamii iendelee kumshikia bango mwanamke peke yake huku ikimsifia mwanaume kwa ubaharia wake na kumuambia kuwa aendelee kufanya anavyojisikia kwa sababu yeye ndiye mwenye ndoa na yeye ndiye anayemiliki dunia (utadhani kajiumba mwenyewe)!! Halafu tuone labda ipo siku hizi juhudi zitakuja kuzaa matunda mimi huo unafiki ulishanishinda kwa kweli siwezi kushikia bango jinsia moja kwenye maovu ambayo jinsia zote mbili zinahusika ila tatizo ukisema hivyo ndiyo utaambiwa unataka haki sawa (maana ndiyo utetezi uliobaki kwa wanaume)!! Okay mimi kwani nina tatizo basi ninyi endeleeni kuwaponda single mothers hivyo hivyo ipo siku wataisha wote yaani wanaume waacheni kabisa msiwaguse kwenye hayo mambo maana hawahusiki na hawapati madhara!!
Kuwaka tamaa kwa mwanamume ni sababu za kimaumbile, ukitambua hilo utaelewa ni kwa nini wanawake imewapasa kuacha kuwashawishi wananume kwa faida yao wenyewe. Mwanamke akitengeneza mazingira ya kumshawishi mwanamume ni rahisi kumdhibiti na ndivyo ilivyokuwa tangu kale.Sijui kama tunaelewana,, sijasema tusiwaelimishe kabisa watoto wa kike bali nimesema tunawapoelimisha watoto wa kike tusisahau kuwaelimisha na watoto wa kiume yaani kwa kifupi ni kwamba tuwaelimishe watu wa jinsia zote..
Halafu mbona umeongea kana kwamba mwanaume kuwaka tamaa ni jambo jema au lililoruhusiwa?? Yaani bado tunarudi pale pale kwamba mwanaume kuwaka tamaa na kutongoza hovyo mnaona ni haki yake na siyo kosa lake ila labda nikuulize swali kwani dunia hii hakuna wanaume wanaojitunza??
Chanzo ni hii hii jamii ambayo inampangia mwanamke umri wa kuolewa na akifika umri huo hajaolewa inaanza kumnyooshea vidole sasa unadhani mwanamke wa aina hiyo atafanyaje??Kuwaka tamaa kwa mwanamume ni sababu za kimaumbile, ukitambua hilo utaelewa ni kwa nini wanawake imewapasa kuacha kuwashawishi wananume kwa faida yao wenyewe. Mwanamke akitengeneza mazingira ya kumshawishi mwanamume ni rahisi kumdhibiti na ndivyo ilivyokuwa tangu kale.
Tatizo wanawake wameacha nafasi yao na kugeuka kuwanyooshea vidole wanaume, mambo ya chumbani wameyaleta mitaani na kuwasha tamaa za wanaume kwa makusudi. Wamewekeza kwenye kuteka hisia za wanaume, wakiwaonyesha maumbike yao, halafu wanawalaumu kwa kuwatongoza. Tafakari
Ni lugha za kujitetea. Jamii kumpangia mwanamke kuolewa hakupelekei aamue kuanza vitendo vya kikahaba. Mwanamke anayeanza vitendo hivyo hupunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata ndoa, hivyo si kweli kwamba jamii ndio inasababisha hayo.Chanzo ni hii hii jamii ambayo inampangia mwanamke umri wa kuolewa na akifika umri huo hajaolewa inaanza kumnyooshea vidole sasa unadhani mwanamke wa aina hiyo atafanyaje??
Siku mkitambua ya kwamba ndoa inapangwa na Mungu na siyo wanadamu basi mtaacha kuwasimanga wanawake waliochelewa kuolewa na kuwaona hawafai kwenye jamii!!
Mkuu sijui unaishi kwenye jamii ya aina gani lakini ukijaribu kufuatilia vizuri utagundua kuwa hiki ninachokiandika ndiyo uhalisia uliopo hasa kwenye jamii za kiafrika.Ni lugha za kujitetea. Jamii kumpangia mwanamke kuolewa hakupelekei aamue kuanza vitendo vya kikahaba. Mwanamke anayeanza vitendo hivyo hupunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata ndoa, hivyo si kweli kwamba jamii ndio inasababisha hayo.
Nahisi sijakuelewa, unamaanisha tatizo la single motjers ni ndoa za mapema? Pia mbona jamiii ya kisasa haina hozo mila za kuwaoza mabinti mapema na hicho ndicho mojawapo ya sababu za mabinti kuingia mapema kwenuye vitendo vya ngono!!Mkuu sijui unaishi kwenye jamii ya aina gani lakini ukijaribu kufuatilia vizuri utagundua kuwa hiki ninachokiandika ndiyo uhalisia uliopo hasa kwenye jamii za kiafrika.
Acheni kuwalazimisha wanawake waolewe mapema kama ambayo mnawaambia waache kuzaa bila ndoa halafu muone matokeo yake tatizo lenu hamtaki kubadili mbinu kila siku mnakazania mbinu moja tu hata kama imefeli kwanini msijaribu mbinu zote halafu muangalie ipi itazaa matunda.
Nafikiri haujamwelewaOohh sawa sawa kwahiyo wanaume wanaowafanyia wanawake hayo yote wako sahihi si ndiyo??