Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Laana right?? Vipi na wale single mothers wanaohangaika na watoto peke yao hadi mwisho wa siku watoto wao wanakuja kufanikiwa kielimu na kiuchumi??

Halafu tusingewaona wanafiki kama mngekuwa mnawashutumu na hao wanaume wanaosababisha uwepo wa single mothers kwa sababu za kipumbavu

Uko sahihi 100% blaming should be casted kwa wote. ...male & females

To be realistic could be more males maana ndio wanaokimbia nakuzikataa mimba
 
Including sisi tuliokataa kuoa single mothers na tunaendelea kuhimiza wengine wafuate mfano huo. Single mother hapana, hilo nimelipiga marufuku kwenye familia yangu na jamii yangu yote na nasisitiza kwa wote ninaowapenda waepuke hiyo laana.

Hata wanaokunywa madawa ya kulevya watasema Mungu ni wa wote! Kwahiyo endelea kutetea single mothers, sisi wengine tunakataza na kupinga kabisa laana hiyo.

Practically huwezi kusema hapana Single mothers

1. Je wanaojikuta kupeana mimba na baba anafaliki kwa bahati mbaya?

2. Wanaoachwa kwa sababu pengine za msingi na mama kubakia single na mimba yake

3. Wanaobakwa nakujikuta wanabeba mimba zisizotarajiwa

4. Wanaotapeliwa na wanaume kisha kukimbiwa baada ya mimba

A) Single mothers hawawezi kulaumiwa bila kuwepo lawama kwa watia mimba yaani wanaume

B) Binadamu tunamapungufu yetu, hakuna aliyemkamilifu 100%. Kujikwaa kupo na sio kosa la anayebeba mimba tu....usimsahau mtiaji mimba.....

Duniani tuwe na genuine finger pointing than unrealistic one. Sio sahihi mama kubebeshwa lawama za u-single mothers bila kubebisha lawama watia mimba na kuzikimbia au kuzikataa au kuwakataa waliowatia mimba.
 
watetea haki za wanawake jf bado wanaendelea kupambana huku. hizi nguvu mnazotumia kujibizana huku na wanaume mngewapa elimu wenzenu wawe makini wasizae bila mpango.🙌
 
Laana right?? Vipi na wale single mothers wanaohangaika na watoto peke yao hadi mwisho wa siku watoto wao wanakuja kufanikiwa kielimu na kiuchumi??

Halafu tusingewaona wanafiki kama mngekuwa mnawashutumu na hao wanaume wanaosababisha uwepo wa single mothers kwa sababu za kipumbavu
Kuhangaika na watoto inatokana na hiyo status ya single mother ambayo ni ya kujitakia. Laana haimhusu mtoto maana hakufanya hiyo choice ya kuzaliwa na single mother. Mama ndiye alifanya hiyo choice, na consequences zinamhusu.
 
watetea haki za wanawake jf bado wanaendelea kupambana huku. hizi nguvu mnazotumia kujibizana huku na wanaume mngewapa elimu wenzenu wawe makini wasizae bila mpango.🙌
Hao ni watetea haki za single mothers. Wanawake decent wapo wametulia.
Inanikumbusha ule wimbo "Wanawake wazuriwazuri wameolewa yamebaki manung'ayembe yanahangaika".
 
Practically huwezi kusema hapana Single mothers

1. Je wanaojikuta kupeana mimba na baba anafaliki kwa bahati mbaya?

2. Wanaoachwa kwa sababu pengine za msingi na mama kubakia single na mimba yake

3. Wanaobakwa nakujikuta wanabeba mimba zisizotarajiwa

4. Wanaotapeliwa na wanaume kisha kukimbiwa baada ya mimba

A) Single mothers hawawezi kulaumiwa bila kuwepo lawama kwa watia mimba yaani wanaume

B) Binadamu tunamapungufu yetu, hakuna aliyemkamilifu 100%. Kujikwaa kupo na sio kosa la anayebeba mimba tu....usimsahau mtiaji mimba.....

Duniani tuwe na genuine finger pointing than unrealistic one. Sio sahihi mama kubebeshwa lawama za u-single mothers bila kubebisha lawama watia mimba na kuzikimbia au kuzikataa au kuwakataa waliowatia mimba.
Katika yote uliyoorodhesha ni moja tu ina mashiko, hiyo namba 3. Hiyo ni criminal event inayomkumba mtu kama vile unavyoweza kuvamiwa na majambazi, na ina considerations za kipekee. Katika nchi zilizoendelea abortion inaruhusiwa katika mazingira hayo ili kulinda heshima ya huyo binti na kumuepusha na madhara ya kiakili yatakayotokana na kulazimika kulea mtoto wa assailant. Hii siyo choice ya msichana kwa hiyo lazima tumtetee na kumsaidia katika mazingira haya.
Mengine yote hapo ya kubeba mimba nje ya ndoa ni uzembe na ni laana.
 
Wewe kwanini usipambane na sisi wanaume tusiwatie mimba? Au tusiwakimbie au kuwakataa tunapowajaza mimba!
Sawa, usiwatie mimba, hilo pia zingatia sana. Lakini kwa ambao tayari wameshapata mimba msimamo wa waoaji ndio huu unaosomeka kwenye hii thread.
 
Naona mmekosa hoja eti laana.? Laana isimpate aliyempa mimba mtu akamtekeleza mama na mtoto..eti apate aliyezaa,,, Good grief!,,, if anything kuzaa ni baraka,,, tuliambiwa tuzae tujaze dunia...Masingle mothers oyeeeee... hata mkulu alisema tuzae yeye atasomesha..lol
 
...nilivyokuambia dig it yourself sikumaanisha uende kwenye matabloids...again tafuta muda ujiongeze mwenyewe sina muda wa kukaza shingo kumfundisha mtu nyeusi wakati keshakariri ni nyekundu...

Huna cha kunifundisha mimi, tunabadilishana mitazamo tu.

kwamba ni theoretical sio practical..hii sentensi imenionyesha hujui unachoongea..pole sana..you are soo lost..

Pole wewe, hocho unachokiamini huko ulaya na marekani kimeshondwa na sasa wengi wanafanya marekebisho

Muuaji wewe unajificha kwenye kivuli cha kupigania malezi sahihi wakati ume ignore life of a child, a child that has a right to live..inashangaza hurespect life of a child at first bali baadae kwenye malezi ndio unakua uko concerned...mkuu hujitambui….[/B]

Hapa nikushukuru kwa kuniita muuaji. Mimi naongelea single mothers na sababu kwa nini vijana wasijichanganye kuoa wwnawake wa hivyo. Hilo nitalisema tena na tena, sasa wewe unayeamini kuwa kuzaa hovyo bila mpangilio ni sex evolution ndio utueleze kuhusu malezi. Usijaribu kunizungumzia mimi habari hiyo isiyo na mashiko, uzae kwa kiherehere chako (JK) halafu ulalamikie malezi. Hujitambui wewe, umekuwa kama msukuke tu.

Second hayo malezi ya baba na mama mbona hujaweka wanaume kwenye hii topic?

Kwani hii topic inaongelea malezi? Hebu soma tena uelewe. Na kama ningekuwa naongelea malezi kwa baba na mama, basi isingekuwa walio nje ya ndoa. Hao huleta majina mapya kama baba wa kambo na mama wa kambo. Hiyo hoja y kuongelea wanaume anzisha wewe mada yako, mimi naongelea sababu kubwa kwa nini vijana wasioe single moms.

... au hujui wanaume's responsibilities kwenye ku create single mothers?..wanawake wangebaki bikira kama nyie wanaume mngebaki pia na bikira na tatizo la usingle mother lisingekuwepo .Fact!..sema na wanaume wenzio..sababu hili linawahusu,sio sisi!...

Mwanamume hana bikira, hicho kiwambo kimewekwa na Mungu kwenye uchi wa mwanamke kwa maana maalum, ili kjja kuwa ushuhuda wa agano la ndoa na mumewe. Sasa kugawa uchi hovyo huleta maangamizi kwa mwanamke mwenyewe. Mtoto wa kiume hachungwi, anafundishwa tu kuacha matendo maovu ila mtoto wa kike huchungwa. Sasa wewe jiweke kikahaba ukisubiri wanaume wahubiriwe wasiwatongoze makahaba, utakuja jutia na tayari dalili ziko wazi kwamba uko kwenye majuto.

hahaaa eti tumegeuzwa misukule na wamagharibi...mkuu hao wamagharibi wanafananaje??..mtume mmoja huku vikindu nimsalimie..lol..huwezi kuprove lolote Becky nawajua wamagharibi ;)

Endelea kuishi kwenye dunia ya kufikirika...maana hata ukivutwa hujiongezi..lol

POLE SANA, naona hii topic imekuumiza mno, lakini hujachelewa. Jipange tu usonge mbele, hii itawasaidia mabinti unaowwjua ambao hawajanasa kwenye mtego wa usingle mother bado, hata watoto wako mabinti wafundishe haya. Wewe umeshavuka hivyo huna haja ya kuumia sana bali tumia elimu hii kuwakanya wanao kwa ajili ya future zao
 
Uko sahihi 100% blaming should be casted kwa wote. ...male & females

To be realistic could be more males maana ndio wanaokimbia nakuzikataa mimba
Nope, ukweli ni kuwa wanawake wanawajibika kwa makosa yao wenyewe. Angalia biolojia ya mwanamume na mwanamke, mmoja anatamani na ndivyo alivyo, mwingine imempasa kumsaidia mwenzake asianguke majaribuni. Lakini ni kipi kinachoendelea? Wanawake wanajipamba kikahaba wakishindana kutafuta kusifiwa na kupendwa na wanaume, na hivyo wanaume wanaingia mtegoni kwa madhaifu yao. Ikitokea mimba hukimbia mbio kwani halikuwa lengo lao, tamaa ndio iliwavuta kuwalala wanawake hawa wasiojitambua.

Kuna msamiati wa ajabu umetungwa hapa mimba zisizotarajiwa! Wewe ulale na mwanamume ufanye naye [Btendo la ndoa[/B] wakati huna ndoa unatarajia nini? Na Mungu anavyo jibu, mkitumia vidonge vya majira mimba zinakimbia, siku ukitaka kuzaa utaishia kwa waganga ama makanisani kuombewa.

Wanaume wataendelea kuwazalisha na kuwakimbia as long as mnawatengenezea mazingira ya kifanya hivyo, nyie endeleeni kunyoosha vidole.
 
Huna cha kunifundisha mimi, tunabadilishana mitazamo tu.

Pole wewe, hocho unachokiamini huko ulaya na marekani kimeshondwa na sasa wengi wanafanya marekebisho

Hahaaa naona umeishiwa unaanza mipasho....sijaona hoja yoyote kwenye hii post yako...zaidi ya mashudu,,,kama unataka mipasho tuanze rasmi..semaaaa.. sikuogopi babu we! Labda ban ya JF!..unakuja umejificha na kivuli cha ‘umagharibi’..si useme huna la kuongea time waster!
 
Practically huwezi kusema hapana Single mothers

1. Je wanaojikuta kupeana mimba na baba anafaliki kwa bahati mbaya?

Hawa wanaitwa wajane mradi wawe walifunga ndoa, kama hawakufunga ndoa ni matokeo ya ukahaba. Unajua mtoto wa nje ya ndoa anaitwaje kiingereza?

2. Wanaoachwa kwa sababu pengine za msingi na mama kubakia single na mimba yake

Sababu zipi hasa ambazo unaziita za msingi? Kama ni suala la talaka huwa kuna utaratibu wa jinsi ya kulea watoto, huyo sio single mother maadam amezaa ndani ya ndoa.

3. Wanaobakwa nakujikuta wanabeba mimba zisizotarajiwa

Sheria zipo, lakini suala la ndoa haliangalii huyu alibakwa. Narudia, ndoa sio taasisi ya huruma, kuishi na mwenza maisha yako yote si suala la mzaha kwamba umhurumie mtu kwa sababu ya yaliyomkuta. Binti wa namna hii imempasa kujiungamanisha na Mungu ili kwa mwenendo wake apate mume wa kumfaa. Kubakwa ni tendo la mara moja, hivyo isiwe sababu ya kuingia kwenye ukahaba bali kushika mwenendo mwema.

4. Wanaotapeliwa na wanaume kisha kukimbiwa baada ya mimba

Hakuna mwanamke anatapeliwa na mwanaume. Ukiona binti anatongozwa halafu anatoa mzigo kwa kisingizio cha kudanganywa jua huyo hafai kuwa mke, hana msingi bora wa malezi. Binti ambaye ni wife material kamwe hawezi kujiweka kwenye mazingira ya kudanganywa. Aina hii ya mabinti ni wale wanaodanganyana kusaka wanaume wa kuwaoa, hawajui kwamba mwanamume ndiye anayepaswa kusaka mke. Tumia ufahamu huu kupima aina ya mke mwema, kwa wakristu andiko linasema hivi:

Mithali 19
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁴ Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana.

Mithali 31
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁰ Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.

Mithali 18
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²² Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.

>>>> Biblia inasema mke mwenye busara anatoka kwa Bwana, maana yake huyu ni mwanamke mwenye hofu ya Mungu, anaishi maisha ya kumcha Mungu, anasubiri wakati wake ampate mume mwenye kumfaa.

Mume atakaye mpata ni yule atafutaye mke, kwani Biblia inasema apataye mke apata kitu chema, yaani mwanamume hawezi kupata mke labda kama anatafuta katika Bwana. Huyu ni mwanamume mcha Mungu, naye atampata mke huyu aliyejificha katika Bwana. Ndipo Biblia imeuliza ni nani awezaye kumwona? Si mwingine ila yule tu aliye katika Bwana. Si kwa kuombewa na manabii wala kwa kuhudhuria makanisani, huko wamejaa wwnawake waliokosa uelekeo ndipo wakaona wajaribu kutafuta wachumba huko.

Ile kusema "apataye MKE maana yake si kila mwanamke ni afaa kuwa mke. Hao wengine wanaishia kuwa makahaba tu, bali mke halisi w ndoa atatoka kwa Bwana, yaani ni yule mwenye hofu ya kweli ya Mungu. Kumbe ili kuolewa ni lazima uwe na sifa za kuwa mke, kuwa mwanamke sio sifa ya kuolewa, bali ni kuwa wife material.

A) Single mothers hawawezi kulaumiwa bila kuwepo lawama kwa watia mimba yaani wanaume

Hakuna anayelaumu single mother ila tunatahadharisha vijana waepuke kuoa single mothers kama wanaweza. Majuto ni mengi kuliko. Lakini bado tunasema wanawake wanaochagua kuzalishwa hovyo wasitegemee huruma ya jamii, maadam wwmeamua hivyo basi na wawalee watoto wao.

B) Binadamu tunamapungufu yetu, hakuna aliyemkamilifu 100%. Kujikwaa kupo na sio kosa la anayebeba mimba tu....usimsahau mtiaji mimba.....
Mlee mwanao katika njia impasayo naye hatoiacha. Hakuna lugha nyepesi katika hili. Suala la uasherati halina cha mapungufu, ni chaguo. Biblia inasema dhambi zote hufanyika nje ya mwili isipokuwa uzinzi. Ndio maana tunawaasa binti zetu wajieoushe na uzinzi kwani huathiri mwili na roho pia.

Duniani tuwe na genuine finger pointing than unrealistic one. Sio sahihi mama kubebeshwa lawama za u-single mothers bila kubebisha lawama watia mimba na kuzikimbia au kuzikataa au kuwakataa waliowatia mimba.

Ingawa thread haijasema tuwalaumu single mothers bali vijana mjiepushe kuwaoa nitakujibu tu. Suala la usingo mther linamwathiri mwwnamke zaidi ndio maana tunazidi kuwaonya. Wakati wewe unaweza kuhesabika mwenye huruma, lakini ukweli mchungu ndio tuba kwa vizazi vijavyo. Huruma yako ni mbaya na ya kulenga kuwaangamiza mabinti wajao, bali wakijua ukweli kwamba kujichanganya na kuzalishwa hugeuka mateso kwa mwanamke mwenyewe na kubaki kukimbizana na aliyemzalisha. Sasa niambie wewe, busara ni ipi, azae aonewe huruma ama aonywe kwamba asijefanya upuuzi huo?

Na kwa waliokwisha kuzaa, wanahitaji neema ya Mungu na si wanadamu. Kwetu tumeambiwa mke mwema anatoka kwa Bwana, sasa huyu aliyekiuka maagizo na kuzaa nje ya ndoa tumuweke daraja lipi? Akishikamana na Bwana aweza kupata mume pia, lakini sio sahihi kusema vijana oeni single mothers wakati madhara yako wazi kabisa na ndio sababu ya maonyo ya kwenye Biblia.

Nimalize kwa kukuonyesha mstari huu:

Mithali 10
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.

Ndivyo ilivyo hata kwa single mothers, mtoto akiwa mwenye hekima baba atajivunia naye atashikamana naye (ukubwani) lakini akiwa mjinga mjinga basi mama atajibeba na huyo mwanaye. Hivyo masingle mothers jitahidini kuwalea watoto wawe wenye hekima, hakika mtawaona baba zao wakijitokeza vifua mbele.
 
Hahaaa naona umeishiwa unaanza mipasho....sijaona hoja yoyote kwenye hii post yako...zaidi ya mashudu,,,kama unataka mipasho tuanze rasmi..semaaaa.. sikuogopi babu we! Labda ban ya JF!..unakuja umejificha na kivuli cha ‘umagharibi’..si useme huna la kuongea time waster!
Sina haja, mbona umenukuu kipengele kimoja kwenye mada ndefu? Upotoshaji!!
 
Back
Top Bottom