King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,786
Nimetokea background yenye unyanyapaa wa hali ya juu kwa single moms (seriously, kuna mpwa wangu anadate single mom, kila siku tunajadili vumbi la kusema anaoa. Uzuri he is 38, ana ubavu wa kukomaa). Sipendi kuona a single mom anabaguliwa. Kwa sababu single dads wako happy and proud. Kama mwanamke ambae hana mtoto anaweza kuishi na mtoto wa mwanaume wake, why not vice versa?
Last edited by a moderator: