Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

lara 1,
Mungu akuweke lara 1 ....asante kwa kutupa ultimate weapon tunaotaka masingle mom
 
Last edited by a moderator:
Mnawataka kweli au mnataka kukamua kila idara (mafweza, nyonyo...) na kusepa??

Babu DC!!
Comrade kuna faida lukuki za kudate na kuoa single mothers
1. Sio mgumba mpaka hapo, si ana mtoto(wa)
2. Wanawahi kukojoa kwenye mgegedano, according to someguy aliweka hiyo post hapa kwamba wanawake waliozaa wanawahi kucam kuliko ambao hawajazaa.
3. Tayari anajua majukumu ya kulea mtoto, so cv yake inamuuza full maxperience
Nyingine subiri nikafungue manuscript yangu nishasahau....am jus sayin'

 
Unajua Babu DC

Ukishaona mtu anakusumbua sababu ana kitu fulani (Mtoto, mke, nyumba ndogo) achana naye

Sio ambacho roho yako inataka

Sasa siku hizi watu sijui hatujui hata twataka nini, full kujikanganya

Huyu anaona kabisa single mamaz wanamtesa, yeye naye kila siku ndio anaowatafuta, si wehu huo?

Kilicho chakula kwa John, chaweza kuwa sumu kwa Juma

That's my word....

Nakuaminia dada mkuu ingawa wakati mwingine bhangi inakupeleka speed...!!

Kwani wasio na watoto hawaoni??

Babu DC!!
 
Asante

Kuhusu kupenda mtoto, inakuja naturally, hakuna mzazi anataka 'fake love' kwa mtoto wake
Kama mtu anapenda mtoto kikweli, asante. Ila mambo ya kupanga umlaghai mama thru mtoto, maana yake siku ukimwacha utaumiza mama na mtoto, why mtoto aingizwe kwenye game ya wakubwa? (Hapa mama mtoto kulaghaiwa mtoto wake anapendwa bila yeye kujua lazima awe baz.azi)

Hata kuanza kumponda ex wa mtu uliye na mahusiano naye kwangu mie ni BIG NO
Walikuwa na mambo yao, wameshindwana, ni yao. Hata mtu akianza mponda ex wangu nitamshangaa, hajiamini na anajaribu kujikweza kuliko ex kwa maneno. Na akiachana na wewe atakuponda siku moja mahali fulani.

Afu si kila mwanamke yuko after ndoa, kuna wengine wanaachwa wajane at 40's to 50's, bado wanatamani kuwa na mahusiano, lakini ndoa si priority tena ama kuzaa tena kwao sio priority, wanataka kula ki-silencer tu

Siyo rahisi ki hivyo, labda mtu anayetafuta one night stand...!!

Babu DC!!
 
Franky,

Kwa nini usichukue fresh product mkafundishana hayo unayoyataka??

Au wewe unataka wenzio wakutafunie uje kumeza tu.....

I can smell evil here....

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom