Naomba kujuzwa kuhusu mahali kariakoo vinauzwa vitenge na mashuka ya kimasai kwa bei nafuu bei ya jumla ?
 
Karibuni sans Tunauza asali mbichi kutoka tabora na katavi
Tumia asali mbichi kila siku kwa afya njema
lita moja 12,000
nusu lita 6,000
robolita 3,000

Free delivery DM or 0766185283
Screenshot_20190720-190720.jpeg
 
Shea butter inapatikana west africa (Ghana) na East africa (Uganda) kule ndo inapatikana shea trees ambapo kutokea hapo ndo tunapata Shea nuts and then shea butter so wengi wanaouza hapa Tz huwa wanaagiza huko bei ya jumla kwa Ghana ni 10usd per kg na kwa Uganda nilichukua kwa 450,000ugx kwa ndoo ya ltr 20 (hapa gharama inaweza kutofautiana inategemea na supplier wako)napendelea kuchukua Uganda coz gharama ya usafir sio kubwa haizidi 30k halafu Shea butter ya ug ni laini sana tofauti na ya Ghana ingawa zote zina faida ileile kwa ngozi.kusafirisha kutoka Ghana lazima utumie dhl bei zao kubwa sana,lakin kutokea ug huwa natumia bus (friends) napata mzigo wangu bila usumbufu.
Naja pm mpendwa
 
Habari wapendwa, naomba kujuzwa chimbo la diapers, wipes na vitu vya watoto.
 
Karibu nikutumie chupi kutoka Guangzhou kwa bei ya jumla
Chupi za Cotton 100%
CHUPI ZA WATOTO WA KIKE 1-5yrs 200dozen (2400pcs) Tsh 1,800,000

CHUPI ZA ZA WATOTO 6-12yrs 200dozen Tsh 1,800,000

BOXER ZA WATOTO WA KIUME 2-12 yrs (200 dozens) Tsh 2,300,000


CHUPI ZA WADADA NA WAMAMA NI TSH 2,350,000 kwa 200dozens 100% cotton!

BOXERS ZA WAKAKA NI TSH 3,900,000 kwa dozen 200 zinakuwa 2,400 pieces

( Unaweza kulipia na USAFIRI moja kwa moja au ukalipia pesa ya usafiri mzigo ukifika warehouse.
COST ZA USAFIRI INAPIMWA KWA CBM 1CBM=380$
Chupi inarange kwenye 0.3-0.38CBM inategemea kama ni za wakubwa
Mbona chupi bei za magari? unaagiza kiwandani kabisa?
 
Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio...Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule mnazi mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki.Magauni nayo ingia ndanindani kule congo na aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.
You are the best Charty. Umesaidia watu wengi sana hapa. Naomba kama naweza wasliana zaidi na wewe kwa sim
 
Back
Top Bottom