Mimi nataka kujua wapi naweza kwenda kunyonya movies mpya kwenye external hard drive zangu, pia ningependa kufaaham chimbo la chaji za simu, makava, flashi, protector
Chimbo lake ni pale pembeni ya kituo cha mwendokasi msimbazi B unapandisha moaka barabara ya uhuru kwote huko kumetapaa hizo bidhaa mkuu.
 
Jaman msaada wanakouza vifaa vya sm like chaji, betri, cover, memory na flash, headset kwa bei poa kkoo n sehem gan
 
wapi ntapata chimbo la frame za mbao kwa ajili ya printing
 
Mawasiliano yake tafadhali. Na hii 700k mpaka 800k ndiyo laki 7 mpaka 8 bila shaka!!

Na pia naomba msaada wa picha za mashine za kuprint yale mabango ya kidigital. Ikiwezekana na bei zake. Ninaipanga kuingia kwenye hii biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…