nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Mkuu wenye nchi hawabaki, wanaobaka ni maskini na wanyonge kama kina Babu seya!
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz
- Ok ninaamini una majibu ya maswali yote uliyouliza sasa kwa nini kupoteza muda na mimi hapa badala ya kumsaidia binti kwenda polisi kufungua kesi maana polisi wanasema hajaenda mtu kufungua kesi au?
Le Mutuz
I can agree with you on this, na pia natofautiana kidogo na wewe.., Kapuya kweli ana makosa pamoja na kumbaka lakini pia yule mtoto ni minor, kesi ya kujibu anayo hilo halina pingamizi. Lakini narudi nyuma kidogo na kujiuliza maswali..., Nasikia mtoto alibakwa mara 2 kwa siku tofauti, swali ninalojiuliza ni moja, kwa nini alirudi tena mara ya pili kama ile ya kwanza aliumia na hakupenda kitendo hicho??? Je ilipotokea mara ya pili alikwenda mwenyewe au alishurutishwa?? wenye data tafadhali ..., kwa sababu kama alienda mwenyewe kwa hiari na akabakwa mara ya pili nashindwa kuelewa ukweli hasa ni upi?
Kama GT jaribu kusoma tena andiko langu alafu acha usahabiki katika kusoma hilo andiko alafu angalia kama ulichojibu kinakidhi nilichoandika. Kwa taarifa tu sipo hapa kushabikia upande wowote mie nataka haki itendeke pande zote mbili na ukweli ufahamike siyo tu kuegemea upande mmoja, pia kwa vile wanaopitia JF si sawa wanaosoma magazeti ama kusikiliza radio, andiko lako la utetezi lingefaa zaidi kupelekwa kwa waandishi wa habari ili kupanua usomwaji wake. Bado narudia, polisi hawatakiwi kusubiri kufunguliwa kesi bali wanapaswa kuanza upelelezi mara moja kutupa ukweli kabla ya kesi haijatinga mahakamani vyovyote itakavyokuwa, iwe ya kuchafuliwa ama ya kubaka. Soma kwaa makini andiko langu alafu linganisha jibu lako kama umetenda haki.- Hata wewe unaweza kuanza kuitisha press kwa nini lazima iwe mimi? Halafu kwa ushahisi ulionao kwa nini usimsaidie huyu binti na taifa zima kwa kumsaidia kufungua kesi polisi kuliko kulia lia hapa maana ni wrong palce for that, au?
Le Mutuz
Hiyo kesi ingefunguliwa vipi wakati wametia ngumu?
Sasa nadhani tumesimama njia moja, kumtetea binti ndiyo jambo la msingi sana, Kapuya ana pesa na ana uwezo na ndiyo maana kakaa kimya, Binti hana wa kumsemea kwa sababu ya unyonge wake, Alioanzisha hili nadhani mwisho wa kutetea utaonekana na ukweli waweza onekana, Msimamo ni kapuya kukubali au kupinga na huu ndiiyo uzalendo wa kweli kwa kila mmoja kujisafisha nafsi pale inapochafuka...- Ok for this unamsaidia Kapuya au binti? Maana nilidhani huu ni wakati wa kumsaidia Binti kwa wanaharakati wote kusudi aende polisi kufungua kesi au?
LE Mutuz
Akili yako ina kutu, kama JF sio mahakama iweje wewe na bichwa lako bovu ukaitumia JF kumtetea huyu mzinzi mwenzako Kapuya?- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz
Sasa nadhani tumesimama njia moja, kumtetea binti ndiyo jambo la msingi sana, Kapuya ana pesa na ana uwezo na ndiyo maana kakaa kimya, Binti hana wa kumsemea kwa sababu ya unyonge wake, Alioanzisha hili nadhani mwisho wa kutetea utaonekana na ukweli waweza onekana, Msimamo ni kapuya kukubali au kupinga na huu ndiiyo uzalendo wa kweli kwa kila mmoja kujisafisha nafsi pale inapochafuka...
Ni aibu sana kwa Kapuya akikaa kimya bila kupinga na ikisemekana na kweli kabisa katenda......
Inanikumbusha Rais Clinton alivyokuwa anakana kuwa na mahusiano yasiyofaa na Monica.
huyu mzee mwaka huu hana jinsi sharti aonje jela
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz