Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

Kapuya alinukuliwa akisema "Watoto wetu wanauza unga hawakamatwi", anamaanisha watoto wa akina nani? Watoto wa Wanyamwezi? Watoto wa viongozi wa serikali? Watoto wa ma Al Haj? Tumalike banyambala.
 
You are right 100%. Vyombo vya sheria vichukue hatua stahiki. Hili si swala "binafsi" tena kama alivyosema Afande Kova; linagusa hisia za wananchi wengi.
 
Hii habari ni ya uzushi mtupu na kama mkitaka kuamini kuwa huyo binti ni mzushi, mzandiki na mwongo mkubwa ni kwamba nendeni TULIANI SEKONDARI anakodai anasoma na utakuta hakuna kitu kama hicho hasomi hapo. Huyo ni tapeli kwa kutumia njia za kijinga. Inawezekana alikutana na Kapuya katika kazi yake ya kuuza...... kama ilivyowahi kumtokea kocha Kibadeni kwa muuza uc.... Hiyo inawezekana na sasa anataka kutumia advantage hiyo kujipatia fungu.:disapointed:
 
Jamani kapuya asichomoke kwa hili madaraka yake si kigezo cha kutoshtakiwa
 
Kwa namna utawala wa hii nchi ulivyo, hili jambo litapita hivi hivi...iwe kweli au iwe uongo!!!
 
Roho zenu mbaya tu na ulevi wa kupenda ushabiki kwa kila jambo hata kama halina ushahidi wa kutosha ili mradi tu mnachukia mtu fulani na hasa akiwa na vijisenti. Njaa itawafanya muwe watumwa wa fikra. Tufanye kazi za maendeleo ili tujikomboe haya mengine tuwaachie wanaoyajua.
 
Kuhus simu usanii utakaotumika hapo utalenga kumuokoa Kapuya kwa kiasi kidogo lakini pia utalenga kumuokoa "aliyegawiwa" simu hiyo na Kapuya.
Kapuya akimtaja huyo aliyemgawia simu, utaandaliwa mpango kumfanya jamaa huyo ionekane kwamba tangu July alianza kuugua ugonjwa wa kichaa. Lengo litakuwa ni kumuokoa kwa matumizi mabaya ya simu aliyogawiwa na Mh. Kapuya ambaye hakika lazima anajua matumizi na masharti ya simu kwamba huwezi kumkabidhi simu mtu mwingine bila kwenda vyombo husika kuitaarifu serikali kwamba kuanzia siku ile wewe si mtumiaji wa simu ile kwasababu umeamua kumkabidhi so and so.

Hivi Kapuya Uprofesa wako unakuridhisha kwamba umesha wadanganya Watanzania??? Shame on you na wapambe wako wanaojitahidi "kukuokoa katika kadhia hili"
MY WORRY!!!!!!
huenda haya yote tunayoyasikia kuhusu huyu bint ni uzushi mtupu, ila kwa sababu tumeji-tune kwamba hapa haki haitatendeka basi hata kama ukitendeka itaonekana imepindishwa... kama KAPUYA kafanya huu unyama, ni wazi anahitaji adhabu stahiki. lakini je ni sahihi kumhukumu saaa wakati hata binti mwenyewe hataki kwenda polisi kutoa maelezo baada ya hii scandle kutoka magazetini..
lingine la kujiuliza,, tangu 2011 huyu dada anamegwa tu kisela. where has she been in these two years????
 
Watenda dhambi zinazofanana lazima watetane tu, kwani unataka kuniambia Kapuya na Le Mutuz wanatofautiana nini? Kwani hawa wote si ni walewale wapenda vidosho
 
View attachment 121915angalia huo mkono wa anayejichechetua kuwa ni waziri mkuu mtarajiwa. Halafu ni mbele za watu. akiwa na hata kibinti cha miaka mitano atafanyaje mumiani kama huyu???? Ndio aina ya viongozi wa serikali ya chama tawala. shame!!!!!
 
Mmmh, tumeanza kupata wasiwasi kwa sasa. Ngoma ikipigwa sana kuna hatari ya kupasuka!.

Wasichana wenyewe wamefichwa utafikiri ni bibi harusi hata mawakili wao hawaonekani zaidi ya kusikia sauti kutoka nyikani.

Ni kweli polisi lazima wafanye uchunguzi lakini pia uchunguzi gani utafanywa wakati hata wasichana wenyewe hawaonekani?.

Hiki kweli ni kizazi za dot.com na katika hiyo, dots zimeanza kuwa ni nyingi kwetu sisi tunaoangalia mambo kwa 3D.

Halafu kama amebakwa mmoja, mbona wanatembea wawili wawili kama media zinavyodai?. Kwa nini kusiwepo tu na jopo la watu wenye utaalamu wa rape counselling ili kumsaidia.

How many days now?.

I can agree with you on this, na pia natofautiana kidogo na wewe.., Kapuya kweli ana makosa pamoja na kumbaka lakini pia yule mtoto ni minor, kesi ya kujibu anayo hilo halina pingamizi. Lakini narudi nyuma kidogo na kujiuliza maswali..., Nasikia mtoto alibakwa mara 2 kwa siku tofauti, swali ninalojiuliza ni moja, kwa nini alirudi tena mara ya pili kama ile ya kwanza aliumia na hakupenda kitendo hicho??? Je ilipotokea mara ya pili alikwenda mwenyewe au alishurutishwa?? wenye data tafadhali ..., kwa sababu kama alienda mwenyewe kwa hiari na akabakwa mara ya pili nashindwa kuelewa ukweli hasa ni upi?
 
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz
hana kibarua chochote hapa mjini,kazi yake ni hiyo ukuwadi kwa waheshimiwa, ndiyo maana hachezi mbali na mashindano ya mamiss na vi binti vinavyojiita superstars katika filamu za kibongo etc

tumsamehe bure hajui atendalo ,hukumu yake ipo kwa Allah
 
MY WORRY!!!!!!
huenda haya yote tunayoyasikia kuhusu huyu bint ni uzushi mtupu, ila kwa sababu tumeji-tune kwamba hapa haki haitatendeka basi hata kama ukitendeka itaonekana imepindishwa... kama KAPUYA kafanya huu unyama, ni wazi anahitaji adhabu stahiki. lakini je ni sahihi kumhukumu saaa wakati hata binti mwenyewe hataki kwenda polisi kutoa maelezo baada ya hii scandle kutoka magazetini..
lingine la kujiuliza,, tangu 2011 huyu dada anamegwa tu kisela. where hav she been in these two years????

Sasa wewe hujui undani wa story unakurupuka na blah blah zako!!fanya kwanza homework ya kujua hii story toka hiyo 2011 hadi sasa ndo uje udandie vizuri treni kwa mbele
 
Mimi nataka nikuulize wewe hizi kwa nini zako nyiingi....Kwa nini humtafuti huyo anayejiita binti aliyebakwa akatoa yake "from horse mount" ...kwa nini baada ya kumsaili huyo binti akakupa na vielelezo usende kwa Profesa na yeye ukasikia upande wake wa maelezo......kwa nini hutaki natural justice i-prevail.....kwa nini umekuwa mwepesi wa kumuamini huyo binti na kumhukumu Profesa.
Tafakari....hizi ni siasa za majitaka tu....na zinapiganwa na walafi wa madaraka wanaoota uwaziri mkuu 2015 na kuwataja washirika wao....
 
I can agree with you on this, na pia natofautiana kidogo na wewe.., Kapuya kweli ana makosa pamoja na kumbaka lakini pia yule mtoto ni minor, kesi ya kujibu anayo hilo halina pingamizi. Lakini narudi nyuma kidogo na kujiuliza maswali..., Nasikia mtoto alibakwa mara 2 kwa siku tofauti, swali ninalojiuliza ni moja, kwa nini alirudi tena mara ya pili kama ile ya kwanza aliumia na hakupenda kitendo hicho??? Je ilipotokea mara ya pili alikwenda mwenyewe au alishurutishwa?? wenye data tafadhali ..., kwa sababu kama alienda mwenyewe kwa hiari na akabakwa mara ya pili nashindwa kuelewa ukweli hasa ni upi?
Mkuu, maswali hayo unayojiuliza ndiyo hayo pia ninayojiuliza lakini kwa vile wahusika wameamua kutengeneza vacuum kwa faida zao wanazozijua basi tunabaki kuja na majibu ambayo wahusika ndiyo wanafahamu vizuri.

Kwa sasa week moja imepita tokea hii kadhia itokee lakini cha kushangaza hakuna maendeleo yoyote kisheria yamefanyika zaidi ya kujaza hili vacuum kwa grapevine na cha kushangaza zaidi, hizi habari zinakuja kutoka source moja tu na hii inaonyesha kuwa Tanzania Daima limeamua kufanya hivyo ili kuuza habari badala ya kumsaidia victim kisheria. Tanzania Daima kwa sasa lina unofficial exclusive right katika habari hii kwa lengo la kutengeneza pesa.

Tanzania Daima wameanza ku-abuse haki ya mtoto kupata haki kwa njia ya delaying tactics ili watengeneze pesa kwanza wakati Prof. Kapuya akiwa yuko mitaani kutengeneza ushahidi na kufukia mashimo ya madhambi yake (lakini kama yapo).
 
Mwenye ushahidi wa kutosha siakafungue kesi mahakamani au polisi hizi kelele kila day hazina mantiki wala msingi wowote.
File limekaliwa Oysterbay polisi, mnataka watoke muwaue Kama mlivyoahidi, auae kwa upanga ataangamia kwa upanga
 
Mmmh, tumeanza kupata wasiwasi kwa sasa. Ngoma ikipigwa sana kuna hatari ya kupasuka!.

Wasichana wenyewe wamefichwa utafikiri ni bibi harusi hata mawakili wao hawaonekani zaidi ya kusikia sauti kutoka nyikani.

Ni kweli polisi lazima wafanye uchunguzi lakini pia uchunguzi gani utafanywa wakati hata wasichana wenyewe hawaonekani?.

Hiki kweli ni kizazi za dot.com na katika hiyo, dots zimeanza kuwa ni nyingi kwetu sisi tunaoangalia mambo kwa 3D.

Halafu kama amebakwa mmoja, mbona wanatembea wawili wawili kama media zinavyodai?. Kwa nini kusiwepo tu na jopo la watu wenye utaalamu wa rape counselling ili kumsaidia.

How many days now?.

Mkuu mbona nakuheshimu sana kwa uwezo wako wa kuangalia mambo katika 3D kama ulivyosema mwenyewe, Hebu soma tena post yako ina maana huu ndio uwezo wako wa kuchambua issue za criminology? Hebu tengeneza post nyingine ubandike hii siyo ya level yako, please!!
 
Mmmh, tumeanza kupata wasiwasi kwa sasa. Ngoma ikipigwa sana kuna hatari ya kupasuka!.

Wasichana wenyewe wamefichwa utafikiri ni bibi harusi hata mawakili wao hawaonekani zaidi ya kusikia sauti kutoka nyikani.

Ni kweli polisi lazima wafanye uchunguzi lakini pia uchunguzi gani utafanywa wakati hata wasichana wenyewe hawaonekani?.

Hiki kweli ni kizazi za dot.com na katika hiyo, dots zimeanza kuwa ni nyingi kwetu sisi tunaoangalia mambo kwa 3D.

Halafu kama amebakwa mmoja, mbona wanatembea wawili wawili kama media zinavyodai?. Kwa nini kusiwepo tu na jopo la watu wenye utaalamu wa rape counselling ili kumsaidia.

How many days now?.

Wamejificha kivipi? Ukiwaona mtaani wewe utawatambua? Kama walishashitaki oysterbay,mwisho wake wakafanyiwa kinyume,unataka tena wakurupuke kwenda kituo gani cha polisi ili wakazimishwe?.acha mwangwi ufike mbali ili uwafikie kwanza watetezi wa ukweli. Umeshaambiwa ametishiwa kuuawa,unataka atembee peke yake badala ya wawili na dada yake kama kampani?. Yan nyie wafuasi wa kapuya mnazidi kujidhalilisha sana kumtetea huyu mzee kwa utetezi mwepesi.
 
Issue ya Kapuya ni Hekaya nyingine, maneno mengi hakuna ushahidi wala alieenda mahakamani..
 
Back
Top Bottom