ukiwa kama new force au? weka jina sahihi tujue kweli umedhamiliaFedha ,Vitisho na Propaganda zatawala Tuhuma za ubakaji mtoto wa miaka 14 zinazomhusu Prof. Kapuya.
Ndugu Watanzania, tumezoea kusikia mambo makubwa ya udhalilishaji, Unyanyasaji, Uteswaji na Ukandamizaji unaofanywa na watu walioshikilia madaraka, mambo haya hutia hasira sana Jamii na wakati mwingine jamii kujaribu kuchukua hatua mbalimbali za kisheria, mara nyingi matukio haya huvamiwa na wataalamu wa kupotosha wanaotumia Nguvu na fedha nyingi pamoja na vitisho kuhakikisha wanafanya watu wasahau tukio hilo na lisizungumziwe tena na hata lisifanyiwe kazi tena.
Ndugu zangu Watanzania, huu ni ugonjwa ambao tumeulea wenyewe na sasa umetufanya tuamini kwamba ukiwa na mamlaka au na Pesa nyingi hapa nchini kila utakalofanya wewe ni sahihi hata kama ni kosa la jinai.
wote tunafahamu kwamba hata makundi kama MAFIA yalianza baada ya wale wanaokuwa wamekabidhiwa madaraka kushindwa kuyaheshimu mamlaka hayo na kuwafanya wananchi wenye hasira kuanzisha makundi mbalimbali kupingana na mamlaka hizo ili angalau nao wapate haki zao za msingi.
Suala la Ubakaji lililoripotiwa wiki hii kumhusu Prof. Kapuya ni kati ya mambo mabaya kabisa ambayo hayapaswi kuishia juujuu na badala yake sheria inatakiwa kuchukua mkondo wake hatimaye haki itendeke.......
Maswali ya kujiuliza; ni kwanini kuwe na vitisho vingi kama kweli tuhuma hizi si za kweli? kwanini Kapuya asifungue Kesi kama kweli anasingiziwa?, kwanini Kapuya aseme kwamba Simu iliyotumika aliigawa miezi 6 iliyopita bila kumtaja aliyemgawia na ili huyo ndo akamatwe kwa sms za VITISHO?
kwanini maelezo ya Kapuya yameshindwa kuthibitisha kwamba hamjui huyo msichana? kwanini Jeshi la Polisi limeshindwa kukana kwamba huyo msichan na Kapuya walishafanya Maridhiano Oysterbay mwaka 2012 baada ya kumbaka mara ya 2?
kwanini viongozi waandamizi wa CCM waliotajwa kwenye tuhuma hiyo (Mwigullu,Makinda,Kinana, Katibu wa Bunge nk) wameshindwa kukana uhusika wao?
Kuna Mtu anajiita W.J. Malecela, anadai kuomba radhi kwa Kapuya na kueleza kwamba amegundua tuhuma hizo ni za uongo.. Swali, yeye anaomba radhi kupitia Jamii forums kama nani? Mbona kwenye post zake kabla ya kuomba radhi hakuna hata moja iliyokuwa inamhukumu Kapuya sasa anaomba radhi kwa niaba ya nani...
kama yeye hakuwahi kumhukumu kapuya kwenye mtandao, na tangu jana hadi sasa kashaandika post 89 kumtetea Kapuya ,kazi hiyo anaifanya kwa maslahi gani?
wapo wengine wengi wa aina ya malecela wanaojaribu kurudisha nyuma utafutaji haki wa mtoto aliyebakwa, ninachosema mimi ni kwamba suala hili ni la kisheria, sheria ichukue mkondo wake na sio propaganda..kama kweli kapuya hahusiki basi sheria hiyohiyo ndiyo itakayompa haki na sio vitisho anavyovitoa kwa wanaharakati wanaotaka haki itendeke kwenye tuhuma hizi.
mimi binafsi niko tayari kuhakikisha suala hili halizimiki bila kufuata mkondo wa kisheria..leo ni kwa huyu mtoto yatima kesho ni kwa mtoto wako....TAFAKARI...CHUKUA HATUA...
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz
Kuna mambo kadhaa hapa:
1;Ubakaji ni serious ishu sana!Kwa nini usiweke partisan politics pembeni kuhusu hili?propaganda za nini?
2;Hivi ukifanya soul-searching hapa can't you see you are morally wrong kujaribu kupindisha mambo bila kujali maslahi mapana ya mlalamikaji na watoto wa Tanzania kwa ujumla?
3;Unamkejeli mleta uzi ati anapoteza muda?.....aliyepoteza muda na credibilty ni wewe ambaye umejaribu kwa kila namna kuwa mtetezi wa moja kati ya mambo ya aibu na ukatili wa hali ya juu bila kuwa na facts za kutosha mezani kwa kuweka threads nyingi tu!....what interest do you have on the matter?
4;Sio kila ishu ni lazima ukiweke chama mbele...kuna ishu nyingine zichukulie katika context ya kibinadamu tu(Kama hii)...hii attitude ndo inayomaliza kwa kasi hata hicho chama unachokitetea kwa hali na mali
kazi ya tz daima ni kutoa habari na kwa hilli wamefanya vizuri kazi inbaki kwa polisi na wanhrakati. kwa vile wameuza gazeti haimaanishi wanawajibika kumtafutia huyu binti wakili. na wanajificha kwa kuhofia maisha yao ni jukumu la polisi kuwalinda ambao nao hawaamiki maana wanaita personal ishu kitu ambacho hata wewe umeona ni serious offence.Kama umeishawahi kusoma mabandiko yangu mbali mbali utagundua kuwa nimelishutumu jeshi la Polisi nchini mara zote kutokana na utendaji wao mbovu ambapo ukiangalia kiini chake ni inept and corruption huku Waziri wa Wizara hiyo akiwa hafahamu hata misingi na majukumu ya kazi yake.
Kilichokuwa kinatakiwa kwa sasa ni kulisukuma Jeshi la Polisi ili lifanye kile ambacho limeonekana halipendi kukifanya. Polisi kwa sasa walishakuwa ni sugu(refer unsolved incidences) na kutokana na hivyo, kwao hili tukio wanaona siyo serious. Kinachotakiwa ni ku-exert pressure na pressure tu itapatikana kama mawasiliano hayatakuwa yanafanyika kwa njia ya gazeti moja peke yake.
Labda uniambie, what is the role of Tanzania Daima katika hii kadhia.
Kama Tanzania Daima wanaweza kutengeneza pesa kutokana na kuwa na unofficial exclusive right katika kutoa habari za huyu dada, kwa nini wasiweze kumsaidia huyu dada kwa kumtafutia lawyer na wataalamu wa rape victim.
Tumeona mambo kama haya katika nchi mbali mbali ambapo gazeti linachukua jukumu la kutafuta wataalam wa caunselling na wanasheria kwa sababu Tanzania Daima haiwezi kutoa habari kama hii bila kupitia kwa wanasheria wake.
Hii inanipeleka kwenye mzizi wa hoja. Kwa nini mpaka sasa hakuna movement zozote za kisheria kutoka upande wa huyu dada zimefanyika pamoja na kuwa mikononi mwa vyombo vyenye nguvu katika jamii (gazeti na wanaharakati) wakati maelezo yanaonyesha kuna serious offence imefanyika?.
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz
- Polisi wamesema wanasubiri mtu wa kufungua kesi sio Kapuya, soma tena Tanzania Daima la leo!!
Le Mutuz
Kuwanini Kapuya asiende mahakamani kufungua kesi? do you have any idea, what Kapuya's going thro now? do you know this story may break Kapuya's family" Hii habari ni political melt down ya Kapuya. In other word "Kapuya is done" Hivyo kama kuna mtu wa kwenda mahakamani kuhusu hili, Kapuya alitakiwa kuwa wa kwanza. Imagine atokee binti mdogo na story kama hii against John Malecela, where would you keep your big fat belly?- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz
Hii habari ni ya uzushi mtupu na kama mkitaka kuamini kuwa huyo binti ni mzushi, mzandiki na mwongo mkubwa ni kwamba nendeni TULIANI SEKONDARI anakodai anasoma na utakuta hakuna kitu kama hicho hasomi hapo. Huyo ni tapeli kwa kutumia njia za kijinga. Inawezekana alikutana na Kapuya katika kazi yake ya kuuza...... kama ilivyowahi kumtokea kocha Kibadeni kwa muuza uc.... Hiyo inawezekana na sasa anataka kutumia advantage hiyo kujipatia fungu.:disapointed:
Ni kweli mkuu.....kama mtu mzima inabidi uwe na personal ethos,ideals na personal philosophy you believe in.....kuna mambo ambayo hata baba yako akiyafanya(Kama hili ),you don't have to side with kwa sababu tu ni baba yako let alone Chama unachokisapoti!Mkuu katika maisha yangu sikuwahi kuona mtu hovyo kama W.J. Malecela!! Wapo wapuuzi wengine ila yeye ndo kinara wao. Haingii akilini kwake yeye kusimama eti anaomba radhi kwa Kapuya na kuanza kumtetea. Mpaka jioni hii ameshachangia zaidi ya post 70 kuhusu hili sakata na kuwaona wengine hawafai. Kinachonisikitisha ni pale anaposema kwamba huyo binti ni mtu mzima mwenye watoto/mtoto. Haya maneno alielezwa na Kapuya mwenyewe, hakutaka kumtafuta huyo binti ili asikilize upande wa pili! Ila baada ya kumsikiliza Kapuya aliamua kudraw conclusion kwamba huyo binti ni tapeli na mhuni!! Huu ni uonevu hata kama kweli huyo binti ana watoto, je ni haki kwa Kapuya kumbaka na kumwambukiza virusi???
Duniani huku kwa nini wengine wanaonea wengine wanyonge kisa pesa, tena mayatima waliokosa msaada???....Kapuya akumbuke nae ana uzao, ambapo nao wanaishi humuhumu duniani. Je yeye mtoto wake wa kike akitendewa alichomfanyia mtoto wa mwenzake atafurahi???
"Any man who read too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking"! (Albert Einstein). Mkuu Willium sikutegemea wala kuwaza unaweza kuwa too shallow and narrow kiasi hicho!!!! Nashindwa kuelewa utalipwa kiasi gani katika kutetea haya yote hasa pale unaposimama na kuvaa viatu vya Kapuya!!! Kwanini usitumie hiyo elimu yako kwa manufaa ya Taifa kuliko kuwa janga! Ikiwa kama wewe ni miongoni mwa watu wanaowania nyadhifa mbalimbali ndani ya taifa hili, hiki ndicho utakachokifanya, kukutetea hizi shutuma??? Kwanini usimshauri Kapuya kwenda Mhakamani ili haki itendeke????
Willium umekua na uwezo mdogo wa kufikiri kuliko mtu ambaye hata hakuwai kufika darasa la kwanza. Very disappointing with your foolish posts that present your IQ.