Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz

U r too cheap brother, dont u feel to be used? dont be like condom, Kapuya is guilt till proven innocent though i cant see any means to make him clean!rapist Kapuya is in for it!
 
pa kuanzia kumbe papo kabisa! Kumbe simu (naamini hapa ina maana ya line - namba ya siku) anaitambua kwamba iliwahi kuwa ya kwake..., ila aliigawa?! Huyu (Kapuya) ni mtu wa pili katika umri wangu huu kusikia amegawa line, tena line iliyosajiliwa kwa jina lake..! Watu hugawa handset na si line iliyosajiliwa kwa jina lako. Okey pengine kweli aligawa line, je alifanya hivyo kwa kufuata taratibu za kwenda kwa kampuni husika kubadili usajili wa line hiyo? Au alikuwa anaitumia bila kuisajili kabla ya kuigawa? Na ikiwa alikuwa anaitumia bila kuisajili, ni kwa nini?

Na je huyo binti alijulikanaje kwa mtumiaji mpya wa line hii ya Kapuya? Na huyu bw. Kova mbona alishughulikia kesi ya Lwakatare kwa maelezo kwamba alipata clip ile kutoka mitandaoni kabla ya Nchemba kusema aliwapelekea yeye? Kwa nini isitumike akili ile ile kumtafuta/kumwita Kapuya na kumhoji?

Maswali ni mengi kuliko majibu ni vema sheria ikafuata mkondo ili ukweli ujulikane na haki itendeke ili ikiwa Kapuya anasingiziwa, basi apate haki yake na vivyo hivyo ikibainika ni kweli, binti apate haki yake pia.
 
[h=2]upande wa pili wa shilingi; Ni kweli lema alifanyiwa kitu mbaya?[/h]
Mwanzo ilikuwa tetesi, maneno ya vijiweni lakini mwisho wa siku lema mwenyewe akaibuka jukwaani akinadi picha na video "akifanyiwa kitu mbaya". madai ya lema katika hotuba yake kwa wananchi ni kwamba zile picha ni feki na zimetengenezwa na UVCCM na akataja hadi majina ya baadhi ya watu.

maswali magumu.

1. kama kweli zile picha ni za uongo kwanini lema haendi mahakamani? ameishia kuongea tu na wapiga kura wake, is that enough?
2. kama kweli aliowataja ni wahusika waliotengeneza hizo picha, kwanini hadi leo hawapeleki polisi au mahakamani ili haki itendeke?
3. lema amekuwa akijinadi kuwa yeye ni jasiri na kwamba uoga ni dhambi pekee ambayo yeye hana, je kwa hili kwanini lema ameonyesha woga wa hali ya juu namna hii?
4.kwanini lema alilazimisha kuingia mahabusu kwenye ile skendo ya mgogoro kati yake na uongozi wa serikali mkoa wa arusha?? kwanini alipowekewa dhamana alikataa kudhaminiwa?? kunani mahabusu?
5. ni kweli lema alifanyiwa kitu mbaya? kama ndio kwanini na kama sio kwanini apigwe picha za namna hiyo au kwanini yeye na si mwingine adhalilishwe hivyo?

Namuomba lema kama kweli zile picha ni za uongo, aende mahakamani awashtaki aliowatuhumu ili haki itendeke, na kama hizo picha ni za kweli, lema awe mpole tu akiri udhaifu mana huku mtaani watu wanasema lengo la yeye kutaka kusambaza zile picha na kujitangaza kuwa alifanyiwa hivyo ni namna ya kujitangaza ili apate wateja kiurahisi. kumbuka watu maarufu, wafanyabiashara, wanasiasa na wasanii wakubwa ktk nchi zilizoendelea hujitangaza waziwazi kuwa wao wanashiriki mapenzi ya jinsia moja na hata hufikia kufunga ndoa kabisa.​
 
huyu sio kiongoz mwenye waledi,ashawahi kufuta MITASHUTA,enzi za uwazir wa elimu,huyu ni wa kunyongwa full story
 
Haya yanawezekana tz pekee chini ya mfilisi magamba.
 
Ng'wamapalala ni muathirika barabara wa bendera ya kijani japo huwa anajaribu kuificha. Wenye akili tushamjua. Anajitahidi asionekane mshabiki ila hajui mwarabu hawezi kudanganya rangi yake akaishi kuwa ni mzungu.
Mkuu, mbona umepatia kweli kweli.

Mimi na familia yangu tumeathirika kweli kweli na maamuzi ya CCM kuanzia Vijiji vya Ujamaa mpaka kufunga mikanda na hii imetokea kwa sababu nimezaliwa ndani ya utawala wa CCM huku zikidumishwa fikra za Mwenyekiti na karibu nitazeeka wakati kijijini Bariadi wakiwa bado kwenye utawala huo huo pamoja na kwamba mimi nilibahatika kuukimbia utawala huu kwa kutumia fake bank statement zilizokuwa zinapatikana wakati huo pale mitaa ya Mkwepu na Makunganya zilizonipa admission kwenye vyuo vya nchi za watu. Mengine ni historia.

Heli yako wewe ambaye hujaathirika na maamuzi ya bendera ya kijani lakini nakuomba wakati mwingine inabidi univumilie tu kutokana na uathirika wangu. Jf ni uwanja wa fujo.

Demokrasia ni kukubali usilolikubali wakati ukiwa minority na pia kutenda usilolipenda kutenda wakati watunga sheria wako ni minority.

Usikate tamaa, endelea kunisoma kwa vile ulishafahamu uathirika wangu.
 
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz
Malecela, Nadhani masuala yanayozungumziwa hapa ni ya faragha zaidi na yamevuja na wa kusema neno la kweli ama si kweli ni aliyeguswa na mada. Tukitetea ilihali kila mmoja anatumia bakora yake faraghani na hakuna anayejua, Basi tujue undani wa uhusiano wenu kiasi cha kukakamalia kutetea upuuzi na pumba zisizo za msingi.
Kapuya aite waandishi wa habari, ajibu hoja zilizoko live kwa sasa na hapo tutasema kaonewa. Ila kakaa kimya wengine wanamsemea. Tafakari - Chukua Hatua
 
- Ok for this unamsaidia Kapuya au binti? Maana nilidhani huu ni wakati wa kumsaidia Binti kwa wanaharakati wote kusudi aende polisi kufungua kesi au?

LE Mutuz
 
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz

Na wewe unandoto za kuja kuongoza inji hii? Watanzania siku hizi hawaangalii Umaarufu au historia ya familia katika political career.

Jenga legacy yako

Tafakari chukua hatua!
 
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz

Kesi akafungue mbakaji anayeona amedhalilishwa mbele ya jamii ambayo ameitumia au ameitumikia au imemtumikia kwa miaka mingi ikiwemo kwenda kwao Tabora kwa ndege ya JWTZ na kumiliki vitalu vya madini akiwa waziri. Si kwenye tamko lake kupitia kwa mwanasheria wake Yasin Memba amedai keshafungua kesi, inakuwaje wewe William 'Kapuya' John 'Mtera' unadai hakuna kesi? Umeshapita vituop vyote vya polisi na mahakama nchini ukajiridhisha hakuna yeyote aliyefungua kesi?

Kama hakuna kesi yoyote una maana kwa mara nyingine Kapuya kaudanganya Umma kupitia tamko lake? Alikuwa anatishia nyau?

Kama umetumwa umsafishe, Kapuya "AMEBUGI MEEEN!!!".
 
Kuingia kwenye siasa ni sawa na kwenda kuoga katika bwawa la tope, utaonekana mchafu tu kwa kuwa siasa ni mchezo mchafu, ukicheza mchezo mchafu usitarajie kuwa msafi kwa kuwa unaocheza nao lengo lao ni kukuchafua na wewe lengo lako kuwachafua. Ukichafuliwa ni vigumu sana kusafishika hata kwa mahakama, kwa kuwa mahakamani hukaa watu wasiofika mia moja, kuwa mwanasiasa inahitaji mbinu,mikakati, kuyatangulia matukio, kuwa na timu imara ya kukushauri na kuweka PR nzuri, _ukiwa mbunge wewe ni taasisi, jijenge kila idara, UKIWA MGANGA NJAA HUTAKI KUKAA KITAASISI UTAMALIZWA KISIASA MAPEMA
 
Asumani anamuiga Mbuni.

images
 
Fedha ,Vitisho na Propaganda zatawala Tuhuma za ubakaji mtoto wa miaka 14 zinazomhusu Prof. Kapuya.

Ndugu Watanzania, tumezoea kusikia mambo makubwa ya udhalilishaji, Unyanyasaji, Uteswaji na Ukandamizaji unaofanywa na watu walioshikilia madaraka, mambo haya hutia hasira sana Jamii na wakati mwingine jamii kujaribu kuchukua hatua mbalimbali za kisheria, mara nyingi matukio haya huvamiwa na wataalamu wa kupotosha wanaotumia Nguvu na fedha nyingi pamoja na vitisho kuhakikisha wanafanya watu wasahau tukio hilo na lisizungumziwe tena na hata lisifanyiwe kazi tena.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni ugonjwa ambao tumeulea wenyewe na sasa umetufanya tuamini kwamba ukiwa na mamlaka au na Pesa nyingi hapa nchini kila utakalofanya wewe ni sahihi hata kama ni kosa la jinai.

wote tunafahamu kwamba hata makundi kama MAFIA yalianza baada ya wale wanaokuwa wamekabidhiwa madaraka kushindwa kuyaheshimu mamlaka hayo na kuwafanya wananchi wenye hasira kuanzisha makundi mbalimbali kupingana na mamlaka hizo ili angalau nao wapate haki zao za msingi.

Suala la Ubakaji lililoripotiwa wiki hii kumhusu Prof. Kapuya ni kati ya mambo mabaya kabisa ambayo hayapaswi kuishia juujuu na badala yake sheria inatakiwa kuchukua mkondo wake hatimaye haki itendeke.......

Maswali ya kujiuliza; ni kwanini kuwe na vitisho vingi kama kweli tuhuma hizi si za kweli? kwanini Kapuya asifungue Kesi kama kweli anasingiziwa?, kwanini Kapuya aseme kwamba Simu iliyotumika aliigawa miezi 6 iliyopita bila kumtaja aliyemgawia na ili huyo ndo akamatwe kwa sms za VITISHO?
kwanini maelezo ya Kapuya yameshindwa kuthibitisha kwamba hamjui huyo msichana? kwanini Jeshi la Polisi limeshindwa kukana kwamba huyo msichan na Kapuya walishafanya Maridhiano Oysterbay mwaka 2012 baada ya kumbaka mara ya 2?
kwanini viongozi waandamizi wa CCM waliotajwa kwenye tuhuma hiyo (Mwigullu,Makinda,Kinana, Katibu wa Bunge nk) wameshindwa kukana uhusika wao?

Kuna Mtu anajiita W.J. Malecela, anadai kuomba radhi kwa Kapuya na kueleza kwamba amegundua tuhuma hizo ni za uongo.. Swali, yeye anaomba radhi kupitia Jamii forums kama nani? Mbona kwenye post zake kabla ya kuomba radhi hakuna hata moja iliyokuwa inamhukumu Kapuya sasa anaomba radhi kwa niaba ya nani...
kama yeye hakuwahi kumhukumu kapuya kwenye mtandao, na tangu jana hadi sasa kashaandika post 89 kumtetea Kapuya ,kazi hiyo anaifanya kwa maslahi gani?

wapo wengine wengi wa aina ya malecela wanaojaribu kurudisha nyuma utafutaji haki wa mtoto aliyebakwa, ninachosema mimi ni kwamba suala hili ni la kisheria, sheria ichukue mkondo wake na sio propaganda..kama kweli kapuya hahusiki basi sheria hiyohiyo ndiyo itakayompa haki na sio vitisho anavyovitoa kwa wanaharakati wanaotaka haki itendeke kwenye tuhuma hizi.

mimi binafsi niko tayari kuhakikisha suala hili halizimiki bila kufuata mkondo wa kisheria..leo ni kwa huyu mtoto yatima kesho ni kwa mtoto wako....TAFAKARI...CHUKUA HATUA...

Nikusahihishe tu kidogo... hawapo wengi kama Malecela wanaomtetea Kapuya. Ni Malecela mwenyewe amejisajili kwa id tofauti hapa JF. IP address za wanaomtetea Kapuya zote ni sawa...
 
Hapa ndipo tunapokosea kwa kugeuza JF kuwa mahakama
 
Kwani ye ni mkufunzi wa watoto?

Hapana yeye siyo mkufunzi wa watoto ila tabia zake mbaya zaweza kufuatwa hata na watoto/vijana si unajua yeye ni public figure? Hebu fikiria kizee kama kile unanikuta disco usiku kimeshika viuno vya wajukuu wake, haijakaa vizuri sana.
 
Hii Tanzania sasa ipo mifukoni mwa fulani! Na tusio na mifuko imekula kwetu!
 
Back
Top Bottom