Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

Hapana yeye siyo mkufunzi wa watoto ila tabia zake mbaya zaweza kufuatwa hata na watoto/vijana si unajua yeye ni public figure? Hebu fikiria kizee kama kile unanikuta disco usiku kimeshika viuno vya wajukuu wake, haijakaa vizuri sana.

Imeandikwa wapi ni marufuku kwa watu wazima kwenda dansi?
 
Mmmh, tumeanza kupata wasiwasi kwa sasa. Ngoma ikipigwa sana kuna hatari ya kupasuka!.

Wasichana wenyewe wamefichwa utafikiri ni bibi harusi hata mawakili wao hawaonekani zaidi ya kusikia sauti kutoka nyikani.

Ni kweli polisi lazima wafanye uchunguzi lakini pia uchunguzi gani utafanywa wakati hata wasichana wenyewe hawaonekani?.

Hiki kweli ni kizazi za dot.com na katika hiyo, dots zimeanza kuwa ni nyingi kwetu sisi tunaoangalia mambo kwa 3D.

Halafu kama amebakwa mmoja, mbona wanatembea wawili wawili kama media zinavyodai?. Kwa nini kusiwepo tu na jopo la watu wenye utaalamu wa rape counselling ili kumsaidia.

How many days now?.
huwa sipendi sana binaadam wanaofikiria na kuandika juu juu.. Ilishaelezwa hapa kwamba several time walishatinga POLISI, SI MARA MOJA WALA MBILI KWA INSHU HII HII, SASA SIJUI MNATAKA WAJE KITUO GANI CHA POLISI KUSHITAKI..?? AU WASHITAKI MARA NGAPI NDIO MRIDHIKE KWAMBA NI SHTAKA.. WABONGO SOMETIME..!!
 
Hapana yeye siyo mkufunzi wa watoto ila tabia zake mbaya zaweza kufuatwa hata na watoto/vijana si unajua yeye ni public figure? Hebu fikiria kizee kama kile unanikuta disco usiku kimeshika viuno vya wajukuu wake, haijakaa vizuri sana.

hebu mwenye ile picha ya KIKONGWE KAPUYA AKIWA AMENG'ANG'ANIA KIUNO CHA KIJUKUU CHAKE ANIWEKEE HAPA , KUNA UTAFITI NAUFANYA .
 
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz

Wasitufanye wajinga Kapuya anasema kachafuliwa mahakamani haendi, dent kabakwa mahakamani haendi kituo cha polisi kilichoweka maridhiano ya ubakaji hawakanushi huu ni mpango wa kutusahaulisha wananchi na habari za kontena la futi 40 la pembe za ndovu .
 
Fedha ,Vitisho na Propaganda zatawala Tuhuma za ubakaji mtoto wa miaka 14 zinazomhusu Prof. Kapuya.

Ndugu Watanzania, tumezoea kusikia mambo makubwa ya udhalilishaji, Unyanyasaji, Uteswaji na Ukandamizaji unaofanywa na watu walioshikilia madaraka, mambo haya hutia hasira sana Jamii na wakati mwingine jamii kujaribu kuchukua hatua mbalimbali za kisheria, mara nyingi matukio haya huvamiwa na wataalamu wa kupotosha wanaotumia Nguvu na fedha nyingi pamoja na vitisho kuhakikisha wanafanya watu wasahau tukio hilo na lisizungumziwe tena na hata lisifanyiwe kazi tena.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni ugonjwa ambao tumeulea wenyewe na sasa umetufanya tuamini kwamba ukiwa na mamlaka au na Pesa nyingi hapa nchini kila utakalofanya wewe ni sahihi hata kama ni kosa la jinai.

wote tunafahamu kwamba hata makundi kama MAFIA yalianza baada ya wale wanaokuwa wamekabidhiwa madaraka kushindwa kuyaheshimu mamlaka hayo na kuwafanya wananchi wenye hasira kuanzisha makundi mbalimbali kupingana na mamlaka hizo ili angalau nao wapate haki zao za msingi.

Suala la Ubakaji lililoripotiwa wiki hii kumhusu Prof. Kapuya ni kati ya mambo mabaya kabisa ambayo hayapaswi kuishia juujuu na badala yake sheria inatakiwa kuchukua mkondo wake hatimaye haki itendeke.......

Maswali ya kujiuliza; ni kwanini kuwe na vitisho vingi kama kweli tuhuma hizi si za kweli? kwanini Kapuya asifungue Kesi kama kweli anasingiziwa?, kwanini Kapuya aseme kwamba Simu iliyotumika aliigawa miezi 6 iliyopita bila kumtaja aliyemgawia na ili huyo ndo akamatwe kwa sms za VITISHO?
kwanini maelezo ya Kapuya yameshindwa kuthibitisha kwamba hamjui huyo msichana? kwanini Jeshi la Polisi limeshindwa kukana kwamba huyo msichan na Kapuya walishafanya Maridhiano Oysterbay mwaka 2012 baada ya kumbaka mara ya 2?
kwanini viongozi waandamizi wa CCM waliotajwa kwenye tuhuma hiyo (Mwigullu,Makinda,Kinana, Katibu wa Bunge nk) wameshindwa kukana uhusika wao?

Kuna Mtu anajiita W.J. Malecela, anadai kuomba radhi kwa Kapuya na kueleza kwamba amegundua tuhuma hizo ni za uongo.. Swali, yeye anaomba radhi kupitia Jamii forums kama nani? Mbona kwenye post zake kabla ya kuomba radhi hakuna hata moja iliyokuwa inamhukumu Kapuya sasa anaomba radhi kwa niaba ya nani...
kama yeye hakuwahi kumhukumu kapuya kwenye mtandao, na tangu jana hadi sasa kashaandika post 89 kumtetea Kapuya ,kazi hiyo anaifanya kwa maslahi gani?

wapo wengine wengi wa aina ya malecela wanaojaribu kurudisha nyuma utafutaji haki wa mtoto aliyebakwa, ninachosema mimi ni kwamba suala hili ni la kisheria, sheria ichukue mkondo wake na sio propaganda..kama kweli kapuya hahusiki basi sheria hiyohiyo ndiyo itakayompa haki na sio vitisho anavyovitoa kwa wanaharakati wanaotaka haki itendeke kwenye tuhuma hizi.

mimi binafsi niko tayari kuhakikisha suala hili halizimiki bila kufuata mkondo wa kisheria..leo ni kwa huyu mtoto yatima kesho ni kwa mtoto wako....TAFAKARI...CHUKUA HATUA...
.
Bandiko Zuri, ila hapo ulipomweka kama reference huyo jamaa hapo tu umekosea, kama ni nguvu umepoteza bure pole, Huyo mtu mie siwezi hata kuccoment wala kujishughulisha naye in any case. nashangaa watu wanaomweka akilini. huyo si mtu mwenye akili timamu, ni mjingajingaflan mropokaji. unajua nikwambie madawa ya kulevya hata kama huyatumii unapodeal nayo lazima kichwa kiwe fyatu-fyatu. nilipoteza muda wangu kujaribu kusoma bandiko lake akimtetea profesa 'bandika-bandua'. badala ya bandiko lake kulielekeza kumtetea mweshimiwa yeye kamnanga na kummalizia kumdumbukiza shimoni. ukimtuma chizi akutetee unategemea nini?. kwa maneno yake nayaita ya uchizi akasema ati ni kweli "Professa Kapuya alikuwa na uhusiano na huyu binti lakini wa hiari" mjinga sana huyu ,, hiari ya 14years old. Kuna hiari kwa mtoto, ati miaka 14 ni hiari. utembee na mtoto wa miaka kumi kisha useme tulikubaliana ntampa pipi.?? niliona ni uchizi, hakumtetea mweshimiwa bali alimwangamiza kabisaa.. mchangiaji mmoja alisema kweli kwamba Mungu hakupi vyote, anakupa mwili mkubwa ila akili unanyimwa..

nadhani ile post YAKE MZEE KAPUYA akiisoma presha itapanda zaidi. mijitu migine inakera.. inaudhi.. ah.
 
huwa sipendi sana binaadam wanaofikiria na kuandika juu juu.. Ilishaelezwa hapa kwamba several time walishatinga POLISI, SI MARA MOJA WALA MBILI KWA INSHU HII HII, SASA SIJUI MNATAKA WAJE KITUO GANI CHA POLISI KUSHITAKI..?? AU WASHITAKI MARA NGAPI NDIO MRIDHIKE KWAMBA NI SHTAKA.. WABONGO SOMETIME..!!
Hivi ni lini alienda huko polisi? Siku gani? Mwezi gani? Mwaka gani? Alienda na nani? Alionana na nani?
Nikikuuliza mimi peke yangu unaweza kujenga hoja nyingine nje ya mantiki. Siyo mimi tu ninayependa kufahamu.

Naomba unieleweshe vizuri.
 
Professor Juma Othman Kapuya kala mzigo live na hana kesi ya kijibu. Huyu binti ni mzoefu na ameanza kuliwa siku nyingi..! Isitoshe hii sehemu tuliyotokea ni tamu sana, hata baba paroko asingeiacha..!
 
Kuna kingine cha kujiuliza kwanini ana ikana namba na bado anaiweka kwenye waraka wake.
 
Nikikuuliza mimi peke yangu unaweza kujenga hoja nyingine nje ya mantiki. Siyo mimi tu ninayependa kufahamu.

Naomba unieleweshe vizuri.
......kupelekwa kituo cha polisi kufunguliwa mashtaka, lakini akiwa polisi alipoelezwa mkasa wote, Polisi walilazimika kumwita Kapuya na wakawasuluhisha kwa makubaliano kwamba Kapuya atakuwa anamlipia ada, na kumpa pesa za matumizi sh. laki tatu kila mwezi, jambo ambalo amekuwa akilitekeleza kupitia simu yake ya mkononi 0755993930.

................ ... ....

........................................ walienda polisi ili kesi ipelekwe mahakamani kumshtaki kapuya.

Polisi wa Oysterbay walikubali kulipeleka tatizo hilo kwa Katibu wa Bunge, ambaye alimwita mwanafunzi huyo na mdogo wake waende Dodoma kukutana na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ingawa walipofika Dodoma walikaa na kamati ya hiyo kwa maelezo kuwa Kapuya hakuwepo hadi Bunge lilipoisha walirejeshwa Dar es Salaam.
LABDA NIPE JINA LA MAELEZO HAYA au ni barua za posa..
 
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz
Umejibu vyema, sasa nakuomba baadaala ya kutumia JF, itisha Press Conference kuongea na waandishi wa habari juu ya huu utetezi ama lipia air time TBC au Star TV ili kutoa haya yote unayoyasimamia ili haki itendeke, nadhani wewe ni msemaji unayetegemewa na muhimu katika hili kwa upande mmoja, kumbe ukishatoa haya yote basi utakuwaa umeujulisha umma wa Tanzania juu ya unachojua juu ya sakata hili. Polisi kusema hakuna aliyefungua kesi, ni kujitetea ninavyojua utendaji wa kipolisi hii ilikuwa ni tip ya kuanza kuipeleleza na kumtia hatiani atakayehusika , kumbe kungojea mtu afungue mashtaka ndipo waanze kupeleleza naisikia hapa Tanzania tu, kama hivyo hakuna sababu ya kuwa na idara ya upelelezi ya polisi na kama ingekuwa mfumo ndio huo mpaka mtu aende mahakamani ndipo upelezi uanze, hakika watu wachache sana wangekuwa magerezani. Busara inatakiwa sana katika jambo hili ili haki itendeke kwa pande zote katika sakata hili, vinginevyo wanyonge ambao hawana hata mtetezi kama wewe watapata taabu sana na kuona kama hawastahili haki katika nchi yao wenyewe bali kuna tabaka fulani ambalo lina haki. Ningefurahi kama ungemtafuta hata huyo msichana ukaenda naye katika Press Conference naye ajibu anayofahamu.
 
Daa william j malecela anasema binti alikuwa girlfriend wa kapuya na kapuya mwenyewe ana sema hamfahamu huyo binti.

Sasa hapo nani mkweli?hahahaha.

KAPUYA ANASEMA NAMBA ALISHAIGAWA KWA MTU JAPO AJASEMA NI NANI LAKINI CHA KUSHANGAZA NAMBA HIYO HIYO KAIWEKA MWISHO WA TAMKO LAKE NA KWENYE KUMBU KUMBU ZA BUNGE
HAHAHAHAHA

CC
Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz

Kwenye post yako umesema huyo binti sio mtoto, mbona hujasema ana umri gani na alipokua anaanza na Mheshimiwa alikua ana umri gani. Pia umesema binti ana mtoto, kwani kuwa na mtoto ni kigezo cha utu uzima? Mbona hujasema kama mheshimiwa sana ana VVU au hapana? Mbona hujasema kama kamuambukiza mtoto wa watu VVU au hapana?

WJM mnafanya propaganda za kitoto sana, mnaweza kufanikiwa kubadili upepo lakini hamuwezi kufuta ukweli kuwa jamaa ni mbakaji na kwamba kamuambukiza mwenzake VVU. Pamoja na umalaya wake huyo mtoto, lakn mheshimiwa hakutakiwa kutembea na huyo mtoto kwa umri wake na kwa nafasi yake katika jamii.

Mambo aliyoyafanya mheshimiwa si ya kuungwa mkono na mtu yeyote na hayafai kutetewa kwa namna yote ile. Ni ajabu kwa nafasi yake na umri wake, mambo kama hayo yangefanya na wewe WJM hakuna ambae angeshangaa.
 
Umejibu vyema, sasa nakuomba baadaala ya kutumia JF, itisha Press Conference kuongea na waandishi wa habari juu ya huu utetezi ama lipia air time TBC au Star TV ili kutoa haya yote unayoyasimamia ili haki itendeke, nadhani wewe ni msemaji unayetegemewa na muhimu katika hili kwa upande mmoja, kumbe ukishatoa haya yote basi utakuwaa umeujulisha umma wa Tanzania juu ya unachojua juu ya sakata hili. Polisi kusema hakuna aliyefungua kesi, ni kujitetea ninavyojua utendaji wa kipolisi hii ilikuwa ni tip ya kuanza kuipeleleza na kumtia hatiani atakayehusika , kumbe kungojea mtu afungue mashtaka ndipo waanze kupeleleza naisikia hapa Tanzania tu, kama hivyo hakuna sababu ya kuwa na idara ya upelelezi ya polisi na kama ingekuwa mfumo ndio huo mpaka mtu aende mahakamani ndipo upelezi uanze, hakika watu wachache sana wangekuwa magerezani. Busara inatakiwa sana katika jambo hili ili haki itendeke kwa pande zote katika sakata hili, vinginevyo wanyonge ambao hawana hata mtetezi kama wewe watapata taabu sana na kuona kama hawastahili haki katika nchi yao wenyewe bali kuna tabaka fulani ambalo lina haki. Ningefurahi kama ungemtafuta hata huyo msichana ukaenda naye katika Press Conference naye ajibu anayofahamu.

- Hata wewe unaweza kuanza kuitisha press kwa nini lazima iwe mimi? Halafu kwa ushahisi ulionao kwa nini usimsaidie huyu binti na taifa zima kwa kumsaidia kufungua kesi polisi kuliko kulia lia hapa maana ni wrong palce for that, au?

Le Mutuz
 
Daa william j malecela anasema binti alikuwa girlfriend wa kapuya na kapuya mwenyewe ana sema hamfahamu huyo binti.

Sasa hapo nani mkweli?hahahaha.

KAPUYA ANASEMA NAMBA ALISHAIGAWA KWA MTU JAPO AJASEMA NI NANI LAKINI CHA KUSHANGAZA NAMBA HIYO HIYO KAIWEKA MWISHO WA TAMKO LAKE NA KWENYE KUMBU KUMBU ZA BUNGE
HAHAHAHAHA

CC
Nyani Ngabu.

That's why the whole story is so fcuked up to conclude anything.
 
Kwenye post yako umesema huyo binti sio mtoto, mbona hujasema ana umri gani na alipokua anaanza na Mheshimiwa alikua ana umri gani. Pia umesema binti ana mtoto, kwani kuwa na mtoto ni kigezo cha utu uzima? Mbona hujasema kama mheshimiwa sana ana VVU au hapana? Mbona hujasema kama kamuambukiza mtoto wa watu VVU au hapana?

WJM mnafanya propaganda za kitoto sana, mnaweza kufanikiwa kubadili upepo lakini hamuwezi kufuta ukweli kuwa jamaa ni mbakaji na kwamba kamuambukiza mwenzake VVU. Pamoja na umalaya wake huyo mtoto, lakn mheshimiwa hakutakiwa kutembea na huyo mtoto kwa umri wake na kwa nafasi yake katika jamii.

Mambo aliyoyafanya mheshimiwa si ya kuungwa mkono na mtu yeyote na hayafai kutetewa kwa namna yote ile. Ni ajabu kwa nafasi yake na umri wake, mambo kama hayo yangefanya na wewe WJM hakuna ambae angeshangaa.

- Ok ninaamini una majibu ya maswali yote uliyouliza sasa kwa nini kupoteza muda na mimi hapa badala ya kumsaidia binti kwenda polisi kufungua kesi maana polisi wanasema hajaenda mtu kufungua kesi au?

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom