Kitubio ama msamaha wa waziri?

Kitubio ama msamaha wa waziri?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
372,606
Reaction score
863,353
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Patrobasi Katambi akitoa wito kwa baadhi va watu kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili, baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Katambi amekuwa akijitokeza hadharani na kutangaza msamaha kwa watu hao kwa hoja kwamba walalamikaïï wamekubali kusamehe, kama Wakili na Afisa wa Mahakama nimekuwa nikijiuliza maswal yafuatayo:

(1) Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka Kikatiba na kisheria kutoa wito kwa ntuhumiwa kujitokeza mbele yake kwa mahojiand juu va tuhuma zinazomkabili?

II) Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana nvestigave machineriea za kufanya uchunguzi wa tuhuma za kijnai?

(Ill) Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa tuhuma za kijinai?,

IV) Je, Tuhuma za kijinai zikisharipotiwa kwenye vyombo vya dola kama Polisi, aliyeripot tuhuma hizo ana mamlaka kisheria kuzifuta au kusamehe juu ya tuhuma hizo?

V) Msahama wa Waziri unaishia wapi?

Naomba nianze (kudadavua) na swali la Kwanza kama ifuatavyo:-

Je, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka Kikatiba na kisheria kutoa wito (summons) kwa mtuhumiwa kujitokeza mbele yake kwa mahojiano juu ya tuhuma zinazomkabili?

Naomba tukubaliane kwamba Nchi yetu ni Nchi inayoongozwa kwa utawala wa sheria kama livvoanishwa katika Ibara ya 3, 4 na 8 za Katiba ya Jamhuri va Muungano wa Tanzania, hivyo vipa vyombo vilivyopewa mamlaka kisheria va kushughulika na jinai kulingana na aina ya jina yenyewe...

Kwahiyo ndugu Katambi anafanya kazi zisizo zake kutokana na ukweli kwamba zipo mamlaka za Kikatiba zenye jukumu hilo * Swali la Tatu Je, Waziri wa Mambo va Ndani va Nchi ana mamlaka kisheria kutoa msamaha dhidi ya tuhuma za kijinai?

Nimeona waziri Katamba akitangaza msamaha kwa waliotii wito wa kufika mbele vake, swali ni, ana mamlaka hayo?, jibu ni kwamba hata Jeshi la Polisi halina mamlaka hayo kisheria pale tuhuma zinapokuwa zimefikishwa kituo cha Polisi na kufunguliwa jalada la uchunguzi.

Kwahiyo si Waziri Katambi wala Jeshi la Polisi wenve mamlaka hiyo, mtu pekee mwenye mamlaka na yeye si kutoa msamaha bali kufanya muamuz wa kesi husika kutopelekwa Mahamani kwa ama kuagiza upelelezi zaidi ufanyike kutokana na shauri husika kutokuwa ni pale ambapo lavan ltakuwa imekwishafikishwa Mahakaman kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu cha 92 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa va Jina ni DPP tu.

Swali la Nne Je Tuhuma za Kijinai zikisharipotiwa Polisi aliyeripoti tuhuma hizo ana mamlaka ya kuzifuta?

Tuhuma zikisharipotiwa Polisi jukumu la Jeshi la Polisi inakuwa ni kufunqua jalada la uchunguzi na kupeleleza tuhuma tajwa na hatimaye kupeleka file kwa DPF kwa hatua zaidi

Kwahiyo si Polisi au mlalamikaji wenye mamlaka ya kuamua kufuta tuhuma hizo kisheria isipokuwa DPP

Kwahivo niliteqemea kuona kama kweli wote walioitwa na Waziri Katambi wana tuhuma za kiiinai wawe wamehoiiwa na Polisi, ialada kupelekwa kwa DPF na wawe wamefikishwa Mahakamani tofauti na hapo naona ni siasa.

Swali la Tano na la Mwisho Msamaha wa Waziri Katambi unaishia wapi Kisheria?
Hapa sitopoteza muda pia kutokana na ukweli kwamba ndugu Katambi hana mamlaka ya kutoa msamaha kisheria kwa wananchi
1788598225446.jpg
 
Hapa sitopoteza muda pia kutokana na ukweli kwamba ndugu Katambi hana mamlaka ya kutoa msamaha kisheria kwa wananchiView attachment 3663767
Watu mmesoma aisee sisi wamatumbi lingepita hivi hivi
 
Kiongozi utapoteza tu muda na kuumiza kichwa.Hii nchi tafsiri ya sheria na miongozo yote ipo kwa mwenye nguvu.

Hii nchi ukishakuwa kiongozi mkubwa tayari unakuwa ndio kila kitu.Kiufupi hii nchi haileweki kama ni nchi ya kidemokrasia,ya kifalme au inaongozwa kijeshi.Hii nchi ni moja ya uncivilised society kuwahi kutokea baada ya primitive ages katika historia.
 
Nakubali 📌
 
Haya mambo yalianza zama za jiwe , Jiwe katuharibia sana Nchi pumbavu zake

Anacho kifanya huyo katambi ni marudio tu hayo siyalisha fanywa na makonda alipo kuwa DC wa dar , Na watu wakipiga kelele sana kulaani hicho kitendo lakini jiwe akabariki ili tu waweze kumkamatq manji !! So unaweza kukuta hapo Kuna mtu ana atafutwa ila hao wengine wanaitwa tu as Minding games
 
Labda hakukuwa na haja hadi mahakama, lilikua ndani ya uwezo was waziri.
Ndani ya uwezo wake kivipi kwahiyo hii nchi sheria na taratibu ni za kazi gani sasa?

Mambo yaliyo ndani ya uwezo wake ni ya kifamilia tu.Hii nchi sio ya bwana mkubwa kutoka Bariadi huko.Waziri mamlaka yake yana ukomo ndio maana kuna utawala wa kisheria.Otherwise hii nchi inaendeshwa kwa akili za wakubwa tu(ndio maana kuna muda nasema hii nchi ni uncivilised)
 
Kwa sasa Ku operate kwa ukimya ni faida Sana Kuliko hiyo popularity ya media all in all hao walimuweka hapo asihisi kama wanampenda sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom