Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

Upotoshaji Mkubwa dhidi ya Ubakaji na Kapuya

- Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz

Vipi yale ya kwako umeyamaliza mkuu?
 
Fedha ,Vitisho na Propaganda zatawala Tuhuma za ubakaji mtoto wa miaka 14 zinazomhusu Prof. Kapuya.

Ndugu Watanzania, tumezoea kusikia mambo makubwa ya udhalilishaji, Unyanyasaji, Uteswaji na Ukandamizaji unaofanywa na watu walioshikilia madaraka, mambo haya hutia hasira sana Jamii na wakati mwingine jamii kujaribu kuchukua hatua mbalimbali za kisheria, mara nyingi matukio haya huvamiwa na wataalamu wa kupotosha wanaotumia Nguvu na fedha nyingi pamoja na vitisho kuhakikisha wanafanya watu wasahau tukio hilo na lisizungumziwe tena na hata lisifanyiwe kazi tena.

Ndugu zangu Watanzania, huu ni ugonjwa ambao tumeulea wenyewe na sasa umetufanya tuamini kwamba ukiwa na mamlaka au na Pesa nyingi hapa nchini kila utakalofanya wewe ni sahihi hata kama ni kosa la jinai.

wote tunafahamu kwamba hata makundi kama MAFIA yalianza baada ya wale wanaokuwa wamekabidhiwa madaraka kushindwa kuyaheshimu mamlaka hayo na kuwafanya wananchi wenye hasira kuanzisha makundi mbalimbali kupingana na mamlaka hizo ili angalau nao wapate haki zao za msingi.

Suala la Ubakaji lililoripotiwa wiki hii kumhusu Prof. Kapuya ni kati ya mambo mabaya kabisa ambayo hayapaswi kuishia juujuu na badala yake sheria inatakiwa kuchukua mkondo wake hatimaye haki itendeke.......

Maswali ya kujiuliza; ni kwanini kuwe na vitisho vingi kama kweli tuhuma hizi si za kweli? kwanini Kapuya asifungue Kesi kama kweli anasingiziwa?, kwanini Kapuya aseme kwamba Simu iliyotumika aliigawa miezi 6 iliyopita bila kumtaja aliyemgawia na ili huyo ndo akamatwe kwa sms za VITISHO?
kwanini maelezo ya Kapuya yameshindwa kuthibitisha kwamba hamjui huyo msichana? kwanini Jeshi la Polisi limeshindwa kukana kwamba huyo msichan na Kapuya walishafanya Maridhiano Oysterbay mwaka 2012 baada ya kumbaka mara ya 2?
kwanini viongozi waandamizi wa CCM waliotajwa kwenye tuhuma hiyo (Mwigullu,Makinda,Kinana, Katibu wa Bunge nk) wameshindwa kukana uhusika wao?

Kuna Mtu anajiita W.J. Malecela, anadai kuomba radhi kwa Kapuya na kueleza kwamba amegundua tuhuma hizo ni za uongo.. Swali, yeye anaomba radhi kupitia Jamii forums kama nani? Mbona kwenye post zake kabla ya kuomba radhi hakuna hata moja iliyokuwa inamhukumu Kapuya sasa anaomba radhi kwa niaba ya nani...
kama yeye hakuwahi kumhukumu kapuya kwenye mtandao, na tangu jana hadi sasa kashaandika post 89 kumtetea Kapuya ,kazi hiyo anaifanya kwa maslahi gani?

wapo wengine wengi wa aina ya malecela wanaojaribu kurudisha nyuma utafutaji haki wa mtoto aliyebakwa, ninachosema mimi ni kwamba suala hili ni la kisheria, sheria ichukue mkondo wake na sio propaganda..kama kweli kapuya hahusiki basi sheria hiyohiyo ndiyo itakayompa haki na sio vitisho anavyovitoa kwa wanaharakati wanaotaka haki itendeke kwenye tuhuma hizi.

mimi binafsi niko tayari kuhakikisha suala hili halizimiki bila kufuata mkondo wa kisheria..leo ni kwa huyu mtoto yatima kesho ni kwa mtoto wako....TAFAKARI...CHUKUA HATUA...

- Kaka kama ni kweli msichana alibakwa basi amebakwa na watu wengi sana aliowahi kuwasingizia kesi za kubwakwa hapa mjini, na mimi ni kama wewe mwanzoni nilikurupuka mpaka jana nimepata simu kama 10 za watu mbali mbali waliowahi kutapeliwa kwa njia kama hizi na huyu msichana, wengi hawakujua toka mwanzo kuwa ni huyu msichana mpaka jana picha zake zilipotoka, nakutakia heri na mafanikio ya kusimamia hii kesi ukiiweza please nifahamishe nitakuwa wa kwanza kuja kukuomba radhi kwa kuharibu ukweli wa kesi kama unavyosema.

LE Mutuz
 
Vipi we hukusingiziwa ?
 
Duh mkuu mnateteana sana, nimeona nihoji hapa hapa, inzi mpigie kwenye kidonda,Kazi ipo

- Nasimamia FACTS, sio majungu majungu kwenye kesi ya Lema ninamtetea Lema kwa sababu ninajua some of the FACTS, relax kubalini kwamba mmeshindwa kwa sababu hamna FACTS!!

le mUTUZ
 
- Nasimamia FACTS, sio majungu majungu kwenye kesi ya Lema ninamtetea Lema kwa sababu ninajua some of the FACTS, relax kubalini kwamba mmeshindwa kwa sababu hamna FACTS!!

le mUTUZ

Wewe unamjua kapuya au unamsikia?
 
Mkuu katika maisha yangu sikuwahi kuona mtu hovyo kama W.J. Malecela!! Wapo wapuuzi wengine ila yeye ndo kinara wao. Haingii akilini kwake yeye kusimama eti anaomba radhi kwa Kapuya na kuanza kumtetea. Mpaka jioni hii ameshachangia zaidi ya post 70 kuhusu hili sakata na kuwaona wengine hawafai. Kinachonisikitisha ni pale anaposema kwamba huyo binti ni mtu mzima mwenye watoto/mtoto. Haya maneno alielezwa na Kapuya mwenyewe, hakutaka kumtafuta huyo binti ili asikilize upande wa pili! Ila baada ya kumsikiliza Kapuya aliamua kudraw conclusion kwamba huyo binti ni tapeli na mhuni!! Huu ni uonevu hata kama kweli huyo binti ana watoto, je ni haki kwa Kapuya kumbaka na kumwambukiza virusi???
Duniani huku kwa nini wengine wanaonea wengine wanyonge kisa pesa, tena mayatima waliokosa msaada???....Kapuya akumbuke nae ana uzao, ambapo nao wanaishi humuhumu duniani. Je yeye mtoto wake wa kike akitendewa alichomfanyia mtoto wa mwenzake atafurahi???

- Msichana mwanzo alisema anasoma Turiani ambako Mkuu wa Shule anakataa kuwa sio mwanafunzi pale, alipohojiwa tena kakataa kuwa hasomi Turiani, sasa unasema ni makosa yangu kwamba hizi FACTS muhimu za kesi zinagongana na muhusika? please niwacheni nipumzike!!

Nafikiri busara katika hili ndugu yangu unyamaze tu. Ona unavyo shambuliwa, kwa umri wako mambo mengine kama haya achana nayo yanakupunguzia credit. Jambo chafu kama hili haliwezi kukuinua ndugu yangu zaidi unachafuka tu. Angalia na jifunze kwa vijana na wazee wa umri wako wenye heshima zao ndani ya chama na nje ya chama namna wanavyorespond ktk mambo tofauti kama hili. Please take it into consideration. Hata Lusinde mwenyewe halizungumzii kabisa licha ya kuwa ni kilopolopo kwa mambo mengine.
 
- Kwa hiyo unasema ukishambuliwa unatakiwa kunyamaza na sio kutetea hoja yako, ndio busara zako hizo kwani ninashambuliwa wapi mahakamani au kwenye JF aambako kumejaa wapambe tu na sio wapiga kura maana wangekuwa wapiga kura Chadema ingeshashika nchi siku nyingi sana, pole sana FACTS za kesi mnayolilia sana hazipo, sasa unaona matatizo ya Chadema yapo pale pale ingawa hii habari imesaidia sana kupunguza kasi lakini muhimu uchaguzi ufanyike, wachana na mimi nilikuwepo hapa kabla yako I ahve been in this game for too long mkuu tisha wengine sio mimi!!

washing.gif
If you want to please every one you will fail
halafu soma maneno yako mwenyewe!!

Le Mutuz
 
- Polisi wamesema wanasubiri mtu wa kufungua kesi sio Kapuya, soma tena Tanzania Daima la leo!!

Le Mutuz
Kaka i do understand very well what you mean, Mimi sikutaka kusimama kwenye magazeti zaidi, Ninasimama kuangalia msimamo wa Kapuya mwenyewe, Hoja zimemwagika kwenye uwanja na yeye zinamhusu, anasema je?? hapo tu, Hapa japokuwa mimi ni mtu ninayeshabikia siasa sana na sitaki kumkandamiza kabisa Kapuya, Ila maadam limeanikwa basi na yeye aridhishe hisia za watu kwa kusema neno kwa hilo linalomchafua. But until now amekaa kimya kabisa na hao waliosema sijui kama wana mawazo ya kwenda police, Hilo juu yao. For the moment let us face Kapuya personal...Anasema je??
 
Hata sijui una elimu gani na ulisoma wapi, hata huwezi jua hili la Kapuya halina chenga kabisa. Issue hapa sio kubaka tu ila ni kwamba Kapuya kapiga miti mtoto yule? Simu aliokuwa anatumia ni yake?
Sasa hii itafanywa kama ya Ulimboka tu alipokamatwa mkenya ati ndo mtekaji then akahukumiwa sh elfu moja. Kwa Kapuya wameanza kusema eti ile line aligawa kitambo, kwa hio aliekuwa na line ndo mpnz wa huyu binti. Ngoja tusubiri stor hio inakuja.
 
- Kaka kama ni kweli msichana alibakwa basi amebakwa na watu wengi sana aliowahi kuwasingizia kesi za kubwakwa hapa mjini, na mimi ni kama wewe mwanzoni nilikurupuka mpaka jana nimepata simu kama 10 za watu mbali mbali waliowahi kutapeliwa kwa njia kama hizi na huyu msichana, wengi hawakujua toka mwanzo kuwa ni huyu msichana mpaka jana picha zake zilipotoka, nakutakia heri na mafanikio ya kusimamia hii kesi ukiiweza please nifahamishe nitakuwa wa kwanza kuja kukuomba radhi kwa kuharibu ukweli wa kesi kama unavyosema.

LE Mutuz

Hizo Picha na huyo msichana anayeonyeshwa sio mhusika wa hili sakata, huyo ni msichana malaya amelipwa fedha kwa ajili ya kuharibu hili swala, mimi namfahamu mhusika halisi na yuko mafichoni kwa sababu za kiusalama huku wanaharakati wakiendelea kukamilisha utaratibu wa kufungua mashtaka dhidi ya Kapuya...nyie mnatumika vibaya...
 
New Force 2015 - Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!
Le Mutuz
Granted JF sio mahakama ya serikali bali ya mioyoni mwa watu. Please stick kwenye blogu za udaku kama Sintah com, na 'le mutuz' huku hujui usemalo:tape:
 
kazi ya tz daima ni kutoa habari na kwa hilli wamefanya vizuri kazi inbaki kwa polisi na wanhrakati

Kazi ya Tanzania Daima kama gazeti linalobeba misingi na taratibu za utoaji habari kisheria lazima lifuate ethics za utoaji habari. Sheria haziko kwa ajiri ya kuwahukumu wanaotenda makosa bali ziko kwa ajiri ya kuwaongoza watu wasitende makosa. Hata ethics nazo vivyo hivyo.

Huwezi ukawa na gazeti linafanya kazi ya cat and mouse na vyombo vya usimamizi wa taratibu na sheria katika uandishi wa habari zake ukategemea litakuwa ni moja ya taasisi zinazoinufaisha jamii kwa faida ya maendeleo. Kazi ya gazeti pamoja na mambo mengine ni kuandika habari ambayo siyo unbiased, accurate kwa jinsi ilivyopatikana kutoka reliable sources.

Tanzania Daima walipaswa kupata story kutoka sides zote ili kutoa account katika mazuri na mabaya. Kuleta habari yenye mafundo fundo ili kuipa taasisi ya serikali kazi ya kutafuta ukweli ni kuwa irresponsible and bad use of national resources kwa sababu itabidi law enforcement agency waingie gharama ya kuanza kuutafuta ukweli katika habari yao.

Hiki unachokisema ni sawa na kwa vile wameuza gazeti haimaanishi wanawajibika kumtafutia huyu binti wakili. na wanajificha kwa kuhofia maisha yao ni jukumu la polisi kuwalinda ambao nao hawaamiki maana wanaita personal ishu kitu ambacho hata wewe umeona ni serious offence.
Tanzania Daima kutokana na kadhia hii wana duty of care katika maslahi ya huyu dada na hii ni pamoja na kumtafutia msaada wa kisheria.

Tanzania Daima wametuambia huyu ni yatima na hana uwezo wowote lakini katika habari hii, wameweza kutengeneza pesa kwa kuiuza na katika hii, walipaswa kuonyesha a gesture of goodwill kw huyu dada. Hawawezi kuendelea kumkamua ngombe maziwa bila hata kumpa majani ya kula. Dhamira zao lazima ziwashitaki morally.
 
- Kwa hiyo unasema ukishambuliwa unatakiwa kunyamaza na sio kutetea hoja yako, ndio busara zako hizo kwani ninashambuliwa wapi mahakamani au kwenye JF aambako kumejaa wapambe tu na sio wapiga kura maana wangekuwa wapiga kura Chadema ingeshashika nchi siku nyingi sana, pole sana FACTS za kesi mnayolilia sana hazipo, sasa unaona matatizo ya Chadema yapo pale pale ingawa hii habari imesaidia sana kupunguza kasi lakini muhimu uchaguzi ufanyike, wachana na mimi nilikuwepo hapa kabla yako I ahve been in this game for too long mkuu tisha wengine sio mimi!!

halafu soma maneno yako mwenyewe!!

Le Mutuz

Safari ni ndefu, na tukiwa na watu kama nyie..................! Malizia mwenyewe kwenye nafasi uliyoachwa wazi!
 
Tatizo la viongozi wa CCM na watoto wao kama William malecela ni kuamini kwa dhati kwamba Kubaka ni haki yao itokanayo na nafasi zao katika jamii. Kapuya si wa kwanza Kibaka katika lolongo kubwa la wakulu ndani ya CCM 99% yao waonapo vibinti zipu za suruali zao hushindwa kwa uchu wa kiibilisi.
Nongeshangaa sana kama huyu Kitofi William angekuwa upande wa haki
 
New Force 2015 - Nenda Polisi kafungue kesi otherwise ni kupoteza muda bure, polisi wanasema hakuna anayefungua kesi so far ni maneno mengi ya mtaani, kama unaamini unazo FACTS za kesi kwa nini usiende mahakamani JF sio mahakama!!

Le Mutuz

hivi uko mzimat kweli? Utashabikiaje kiasi hiki ilmradi tu ni CCM? Hapana, be yourself now, you are no longer a kid of a CCM father!
 
Back
Top Bottom