meeku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 569
- 108
View attachment 121916
nimeweka picha mbili. Hiyo moja inaonesha mikono ya huyo mumiani kapuya. Hapo ni kwenye muziki, tena kuna watu wengi halafu hilo shetani angalia lilikoweka mkono. Halafu anakuja msukule na mumiani mwenzake kumtetea kuwa ni mwema. Ni mbwa na wanyama tu ndo wanaweza kufanya kama huyo jamaa anavyoonekana kwenye picha.