- Usinisingie mimi I have nothing to do anything zaidi ya kusoma FACTS za the ishu na kutoa maoni yangu, maoni yangu ni kwamba kesi za ubakaji zinahitaji Credibility zaidi ya msitaki kwa hii credibility ya huyu msichana hakuna kesi hapo, ndio maoni yangu vipi maoni yako baada ya kusoma FACTS za ishu?
- Mnapoteza muda mwingi kunishambulia binafsi tena bila FACTS, naomba nikuulize swali kuniiita gay kwa sababu nin msimamo tofauti na wenu unaamini itasaidia anything? Unafikiri nitabadilika sasa nitaanza kuwa bendera fuyata upepo kwa sababu nikiwa tofauti mtarusha matusi ya nguoni ambayo hamna FACTS?
- Ni wtu kama wewe ndio mmeiviruga hii forums siku hizi pameanza kuwa mahali tu pa kupast time, sio kama enzi zile tulipoanza Serikali ilikuwa inakuja kuchukua muongozo hapa, media nzima ilikuwa inakuja hapa kupata habari mpya, tafuta mjadala wa kwanza kutuweka kwenye ramani ya siasa bongo wa siku Mkurugenzi wa Usalama alipoteuliwa na Rais, nenda usome ule mjadala uone kama kuna matusi, hoja kwa hoja, nendaa uuulize skandal la Richmond ilianzia wapi na kuihsia wapi kama sio hapa JF? I mean maneno yamekuwa mengi substance hamna, niambie kwenye hii post yako unasema nini hasa chaa maana cha mwananchi anayefuatilia hii kesi anatakiwa kubaki nacho kama elimu ya hii ishu?
- I mean mnakosea sana mimi hunijui vizuri maana wanaonijua wanajua sana kwamba huwa sibebi vita bila kutafakari kwanza, nimeziona FACTS zote za hii kesi Jumapili, nikaaamua kusema wazi kwamba hakuna kesi, sasa kama wewe unaamini kesi ipo weka FACTS huna sababu ya kunitafuta mimi, unasema mimi ndio ninazuia kesi isiwepo? Mimi ndio ninazuia wanaharakati wasiende polisi kufungua kesi? please inaeleweka mna hasira ya mamba ya kukosa mlo maana hii ingewatoa sana kisiasa kuficha migogoro yenu, lakini mmekurupuka sasa hata gazeti lenu linanuka kwa aibu, kukubali hamuwezi sasa dawa ni kunitafuta mimi uchawi, poleni sana!!
LE Mutuz