DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,949
- 18,474
Unafikiri hajashauriwa? Anaamini katika kupiga blaa blaaSiasa hazitakiwi
Ummy atafute wabobezi wa Finance wamsaidie kumpa suluhusho
Video ipo mzeeHamna maneno wala video. Inaelekea amekaatu mbele ya waandishi wa habari anawashangaa au analia. Tutaona mengi
Ila kwangu wanaandika video unavailable. Nisaidie wanamaanisha nini kwa kimakonde chetu na kindengelekoVideo ipo mzee
Ukibonyeza itakupeleka moja kwa moja Yuutyubu kwenda kuiangaliaIla kwangu wanaandika video unavailable. Nisaidie wanamaanisha nini kwa kimakonde chetu na kindengeleko
Hayo maneno simmeyajadili huko ndani? Sasa unalalamika sisi tukusaidie nini?
Ummy Must Go..Hayo maneno simmeyajadili huko ndani? Sasa unalalamika sisi tukusaidie nini?
Mwenyewe haelewi kama kikao alifanya tar 17 au 20 februari.
Nikajua anakuja kueleza jambo Moja katiya haya mawili.
1: Kuweka katazo la waliogomea kitita cha NHIF kwamba lazima wapokee wagonjwa. AU.
2: KUJIUZULU
acha upotoshaji tajiri 🐒CCM wameufilis mfuko. Wamekopa sana michango ya waanachama na hawarudishi pesa kwa wakati, hivyo basi kupelekea Mfuko wa Bima ya Afya kushindwa kulipa huduma mahospitalini kwa wakati.
Hapo CCM hawahusiki ni uzembe wa Ummy tuacha upotoshaji tajiri 🐒