Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,184
- 3,421
Umeongea ukweli mtupuHili la Wamachinga lisiangaliwe kwa upande mmoja wa shilingi, ukigeuza mwingine ni kuna MaDon kwa makusudi mazima ya kukwepa kodi wanaleta vijana kutoka vijijini wanawapa bidhaa waingie nazo mitaani kwa mgongo wa MACHINGA huku wao wakinufaika,
Machinga ana uwezo wa kununua hadi mzigo wa Milioni 5 huyo ni Machinga???
Bidhaa zao ni ghali kuliko za dukani, wasiopenda kutembea wanadhani wamenunua kwa rahisi kumbe kapigwa dabo na machinga,
Sipati kusema hiyo kuchafua jiji na lugha chafu,
Naipongeza sana Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mama yetu mpenzi SSH, kufanya maamuzi magumu ni jambo la kuumiza lakini litazoeleka,
Bado hawa Omba Omba wanaowatembeza watoto wadogo kwenye jua kali na wengine kuwanyima haki yao ya kusoma na kuwageuza mtaji, habari zao tunazo wanafadhiliwa na watu jioni wanapeleka hesabu.
Vile vya juu ya mitaro, au sio boss [emoji2][emoji2]Jana Mbezi mwisho walikuwa buzy wanabomoa vya juu ya mitaro.
We jamaa..hivi unadhani kazi ni kuchukua na kuwapa watu kama peremende..kuna utaratibu wa kuajiri pia kulingana na bajeti..ukiwaajiri ushindwe kuwalipa unataka iweje.Kumbe kichwa chako kibovu.
Kuwapanga wamachinga nako NI kuwasaidia?
Kuna wamachinga wangapi wanna elimu kwanini asiwape ajira?
hivi umachinga nayo ni kazi ?
So wanafanya tu sababu ya shida
RC Makalla so far kazi yake nzuri aongeze tu nguvu.Kwa hili la kuhamisha Wamachinga nampongeza sana
Mji ulikuwa kama wanaishi Wanyama na sio binadamu
Utaondoka kwa vilungu vya ugokoSisi huku ulongoni gongolamboto tumegoma hatuondoki nani aende chanika singiziwa
Wewe subiri Makalla atume vijana wake..Sisi huku ulongoni gongolamboto tumegoma hatuondoki nani aende chanika singiziwa
Kufa basi uumfwate yule mbwa aliyezikwa chattleZoezi lisilo na busara hata kidogo kwa machinga
nchi za kiafrika zote zina machinga
Na shida ni kwamba population inaongezeka na vijana ambao wangeendelea kuja mijini kufanya Umachinga wangeongezeka mara dufu..yaani ingezidi kuwa balaa..Mji ulikuwa kama wanaishi Wanyama na sio binadamu
Waongezeke waone kitakachowapata....Polisi ipo kwaajili yao kuwafunza adabuVibaka wakiongezeka hiyo Nia Njema Ina manufaa ya akina nani? Au wewe unapata faida ipi?
Na mji unatakiwa kuwa na mpangilio wa mandhari inayovutia. Sio unakuwa kama madampo. Naipongeza serikali kwa hili.Safi kwa Hili naiunga mkono selikali ya ccm biashara zifanywe .maeneo maalum
Kwenda na gari ilikuwa mtihani, basi hata kupita kwa miguu nayo ilikuwa balaa kubwa![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee...
ilikuwa ukienda mjini yaani unajikuna kichwani upite njia zipi, maana chawa walikuwa full mziki kila kona.........
Pole mkuu, kama umeshajua nia yake, basi tulia tu.Unataka niongee shit tuu nionekane nina dharau. Mambo ya kidharau hussle za watu na mengineyo yatoka wapi. Ndo umama wenyewe huu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mshaondoka barabarani mkuu?Huku kwetu Dom tumepangiwa eneo zuri sana yaani no malalamiko nawapongeza Mh.Mtaka, Mh Shekimweri na mkurugenzi wa jiji