7:1 Baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti.Bibikia haisemi na hijawaji kusema dunia iko flati.
Ukiendelea kuhoji utajifunza Mengi.
'' He sits enthroned above the circle of the earth, and its people are like grasshoppers. He stretches out the heavens like a canopy, and spreads them out like a tent to live ' Isaya 40:22
Duara halina pembe nne.
Wewe ungana kumuabudu Mungu ambae sio Mungu, ila ana uungu usiokuwa ungu na lazima amlilie Mungu baba ambae ni yeye mwenyewe 😀Yesu n Mungu wako mkuu.
Mimi naungana na malaika wote, wazee 24 na wenye uhai wanne na viumbe wote wa Mbinguni Kumuabudu na Kumtukuza Yesu Mungu Mwana.
Siwezi kuabudu binaadamu wala mungu anaesulubiwa msalabani.
Malaika hawana free will na ni viumbe visivyokuwa na matamanio kama alokuwa nayo mwanadamu. Ila katika ukiristo, bibilia ilioandikwa na watu mkafundishwa miongoni mwa uongo kuwa malaika waliasi kwa mungu.. subiri nicheke kwa nza 😀 😀 😀 😀 😀 Eti malaika ana aasi kwa mungu. Shida kweli kufata maandishi ya watu yaliowafundisha kuwa mitume wenu ni wazinifu na majambazi na wauaji. Umekuwa brainwashed. hujui kabisa uumbaji.mnadanganywa mkuu. Malaika wanafree will. Mungu haabudiwi na maroboti ambao hawana hiyari viumbe wote wanamtii na kumwabudu Mungu kwa hoyari, Hata wewe ukiingia mbinguni utamuabudu kwa hiyari hutaondolewa free will.