mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
Naomba mfano mmoja Wa mtume Wa kiislam au mwananzuoni au swahaba au mke wq Mtume aliyetumia ubin Wa mamaKwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.
Naomba mfano mmoja Wa mtume Wa kiislam au mwananzuoni au swahaba au mke wq Mtume aliyetumia ubin Wa mamaKwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.
Tupe ushahidi kuwa yesu ni munguMtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.
Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?
Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
Ally Hassan Mwinyi, je hilo Mwinyi ni jina la mama yake?Kwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.
Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.
Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?
Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
Ndio nataka kusaidiwaUmesema Yesu baba yake nani?....
Kwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.
Ndio nataka kusaidiwa
Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?Nani amekwambia Yesu baba ake ni Yusufu ? Sasa ndio utuambie Yesu baba ake Yusufu kimalezi au kinasaba ? Na kama kinasaba utupe ushahidi.
Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
Huyu ni Baba Wa kumlea, angalau mmgemuita isa bin Yusufu. Kama Leo tumekubaliana Yesu hana Biological father, Basi tukubaline baba ni Yule aliyekuwa akimuomba na anasema yuko naye siku zote yeye na Baba huyo ni ummoja, uungu una yeye 100% na Yesu sio Kiumbe ni Muumba pamoja Baba yake. Sasa rudi kusoma Yohana Moja uje ubatizweTatizo hueleweki,wewe ndio unathibitisha kuwa Yesu baba ake ni YUSUFU au unataka kujua kwanini sisi tuna muita mwana wa MARIAM ?
Kwahyo tukubaliane hapa ndo ulimwengu mzima utakubali?Huyu ni Baba Wa kumlea, angalau mmgemuita isa bin Yusufu. Kama Leo tumekubaliana Yesu hana Biological father, Basi tukubaline baba ni Yule aliyekuwa akimuomba na anasema yuko naye siku zote yeye na Baba huyo ni ummoja, uungu una yeye 100% na Yesu sio Kiumbe ni Muumba pamoja Baba yake. Sasa rudi kusoma Yohana Moja uje ubatizwe
Na hapa ndo mnaanza kumkubali Roho MtakatifuNani amekwambia Yesu baba ake ni Yusufu ? Sasa ndio utuambie Yesu baba ake Yusufu kimalezi au kinasaba ? Na kama kinasaba utupe ushahidi.
Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
AiseeeKwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.
KwaMujbu wa ndugu zetu waislam Yesu ni mtu tu kamaibrahim . ndio tunahoji hapa kama ni mtu kwa nini baba awe mariam? Angalau basu awe issa IBn Yusuf baba mlezi.Baba yake ni yusuph au mungu?
Mbona mnatuchanganya nyie wakristo.
Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.
Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.
Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu