mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,762
uliza maswali ya maana.Hawa mama yake nani?
hawa ni mama ya wanadamu wote. hakuna nyuma yake mtu. yeye na mume wake ndio source ya wanadamu. chanzo chao ni kuumbwa,
Yesu haymo katika hiyo chain kwanza anasema huku alikuja tu alkuwa mbingūni ndio maana kaja nje ya mifumo yetu.
hili tu linatosha umuangalie upya