Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ni Muislam yupi asieamini kuwa Muhammad ni mtume wa Mwenyezi Mungu? Tofauti kati ya Shia, Ibadhi na Sunni sio kwenye kuamini mitume na kama tofauti yao ndio hiyo weka ushahidi.
Ahmadiyyat wanaamini mtume wa mwisho ni Mohammad, ila wanaamini anaweza kuibuka mwingine parallel naye.

Mfani wao wanaye kiongozi wao Ghulam Ahmad ambaye anajiona kama masihi au mtume wao pia kwa ugomvi wa tafsiri ya aya hiyohiyo inayoonyesha mtume mohammad ni mtume wa mwisho.

Kitendo hiki kilipelekea waislam wenzao kuwaita makafiri na non muslim licha ya kusilimu na kutamka shahada kama wengine, soma kwa umakini nilichandika kabla hujajibu.
 
Inabidi mtume alikuwa kashazaliwa wakati wakiristo wanapewa Injili?

Alichopewa mtume wetu ndicho kilichoandikwa kwenye Quran, na ni moja tu. Sasa huwezi kufananisha na injili za kina matayo, kwa sababu wao hawakuandika alichoshushiwa Yesu sasa. wameandika Injili kwa mujibu wao na isitoshe, muandishi wa hio injili ya mattayo hajulikani. DUH!
Sisi wakrosto tunayo injili. tuko nayo siku zote tangu ilipoandikwa na wanafunxi wa Yesu sio Yesu. Mungu alikuja kuishi kwq wanadamu ktk umbile lao akaleta habari njema, imeandikwa mara nne chini ya 100AD. haijawahi kuharibiwa. ila nyie ndio mnasema hapana injili aliiandika Yesu. mtupe basi, maana siku mtume anapata wahya au anatokewa na jibril mkewe alimpleleka kwa mzee waraqa, mzer huyo alikuwa mkristo akitafsiri Injili kuja kiarabu.

naomba basi hata hiyo? ukwl ni hii unayoikwepa mkuu. kama Yesu aliandika. Thibitisha!!!!!!!!!!!!!!!!

Thibitisha hawakuandika alichoshushiwa Yesu kwa kunilinganishia na alichoshudhiwa.

acha braa braa chief. hatutaki msimamo kwenye evidenceless arguments.
 
Quran ni maneno ya Allah,

"Anae OMBA DUA KWA MWENYEZI MUNGU AWAANGAMIZE WAKRISTO NA WAYAHUDI NI ALLAH [emoji44][emoji106] ndivyo??"

na nimekuletea aya kuwa Muhammad ni mtume wake.

Jibu nlichokuuliza tafadhali 🙂

[emoji121][emoji116]

UMEULIZA NINI? [emoji44]

Allah wanakataa [emoji44] labda ulete Ushahidi walikutana wapi na kumpa utume [emoji12]
IMG_20190704_155923_509.jpeg
IMG_20190704_160614_023.jpeg
 
[QUUOTE="mitale na midimu, post: 31958295, member: 321780"]
Yesu hakuhitaji hayo maana ndiye aliyewaumba Adam na Hawa wakiwa na Baba Yake. Baba Yake Haitaji Kumzaa wotenwapo milele

Huwa nina wasi wasi sana na elimu zenu. Hivi Yesu ndio aliwaumba Adam na Hawa akiwa na baba yake? Wakati huo yeye alikuwa na umri gani?
Kwahiyo unataka kusema kuna Mungu wawili, kwa maana ikiwa mtoto wa ngombe nae ni ngombe? Je viti vya enzi vipo vingapi?[/QUOTE]Viti vya Enzi vipo vingi hata Magufuli anakiti cha enzi
 
Huwa nina wasi wasi sana na elimu zenu. Hivi Yesu ndio aliwaumba Adam na Hawa akiwa na baba yake? Wakati huo yeye alikuwa na umri gani?
Kwahiyo unataka kusema kuna Mungu wawili, kwa maana ikiwa mtoto wa ngombe nae ni ngombe? Je viti vya enzi vipo vingapi?
Viti vya Enzi vipo vingi hata Magufuli anakiti cha enzi[/QUOTE]Sawa, ila majibu yako hayako sahihi kwa mujibu wa mada iliyoongelewa, ningetaka kujua kuhusu kama magufuli pia anacho hicho kiti ningekuuliza direct maana najua ww ndie bashite[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Huwa nina wasi wasi sana na elimu zenu. Hivi Yesu ndio aliwaumba Adam na Hawa akiwa na baba yake? Wakati huo yeye alikuwa na umri gani?
Kwahiyo unataka kusema kuna Mungu wawili, kwa maana ikiwa mtoto wa ngombe nae ni ngombe? Je viti vya enzi vipo vingapi?
Viti vya Enzi vipo vingi hata Magufuli anakiti cha enzi
[/QUOTE]
Ufunuo 5:12 wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka.

13 Na kila kiumbe kilichoko mbinguni na juu ya nchi na chini ya nchi ya juu ya bahari, na vitu vyote vilivyomo ndani yake, nalivisikia, vikisema, Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na yeye Mwana-Kondoo, hata milele na milele.

14 Na wale wenye uhai wanne wakasema, Amina. Na wale wazee wakaanguka, wakasujudu.

nikiongea mimi ntaaribu.

au msikie Yesu mwenyewe

Yeye ashindaye, nitampa kuketi pamoja nami katika kiti changu cha enzi, kama mimi nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu katika kiti chake cha enzi.
ufunuo 3:21

Baba na Mwana wanatawala milele. lao moja na ndiyo tafsiri ya Mungunmmoja, yasni taaisi itoayo uhai.
 
asanteni wakuu wa changamoto mbalimbali. nimejifunza mengi na ntaendelea kujifunza zaidi.

ninawapa dedication ya kitabu hiki msome. Ila kama ni muislam siasa kali bora usisome kwa kutafuta kubisha maana unaweza kujikuta unapata stroke kwa mafunuo ya Kijana huyu na wananzuoni wabobezi wa mambo haya ya kidini.

kinaitwa: SEEKING ALLAH FINDING JESUS
Mungu awabariki

Zurri
FaizaFoxy
Gavana
chilubi

na wananzuoni wengine, wapenzi wa maarifa mtambuka.
 
Attachments

Hahaha. Nabeel Quraishi.

Kabla sijafungua link yako. Unafahamu alikufa na nini huyo?
 
Hahaha. Nabeel Quraishi.

Kabla sijafungua link yako. Unafahamu alikufa na nini huyo?
kansa ya tumbo.
huwa sijadili watu, najadili mawazo yao.
napinga, nakosoa, naungamkono, narekebisha, naboresha, nakosoka, naelimishwa na mawazo yenye ushahidi sio watu na historia zao.

ubarikiwe mkuu.
 
Huwa nina wasi wasi sana na elimu zenu. Hivi Yesu ndio aliwaumba Adam na Hawa akiwa na baba yake? Wakati huo yeye alikuwa na umri gani?
Kwahiyo unataka kusema kuna Mungu wawili, kwa maana ikiwa mtoto wa ngombe nae ni ngombe? Je viti vya enzi vipo vingapi?
Viti vya Enzi vipo vingi hata Magufuli anakiti cha enzi[/QUOTE]wewe ukiwa na wasiwasi na akili zetu who cares [emoji12] wakati mungu WAKO anatutambua KUWA NI WASOMI NA WACHA MUNGU [emoji123][emoji106][emoji116]
IMG_20190702_084944_387.jpeg
 
Viti vya Enzi vipo vingi hata Magufuli anakiti cha enzi
wewe ukiwa na wasiwasi na akili zetu who cares [emoji12] wakati mungu WAKO anatutambua KUWA NI WASOMI NA WACHA MUNGU [emoji123][emoji106][emoji116]View attachment 1146659
[/QUOTE]

Labda leo utajibu hili swali hutokimbia.

Hivi Mkristo anaitwaje kwa kiarabu ??
 
Vipi kuhusu Nabii Adam ambaye ni binadamu wa kwanza? Hana baba wala mama.
KwaMujbu wa ndugu zetu waislam Yesu ni mtu tu kamaibrahim . ndio tunahoji hapa kama ni mtu kwa nini baba awe mariam? Angalau basu awe issa IBn Yusuf baba mlezi.

Allah anasema baba mzazi ya issa ninani? Kama hana Baba basi sio mtu huyo, mariam ilikuwa ni njia tu
 
: Mkuu naomba aya Injili mnayodai ni ya Yesu iko mbinguni Lawhul Mahfoodh

Allah aliye juu anasema :

70. Je! Hujui kwamba Mwenyezi Mungu anayajua yaliomo mbinguni na katika ardhi? Hakika hayo yamo Kitabuni. Hakika hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi. (al Hajj : 70)

Na uniambie kwa nini muamini injil ambayo iko huko, wakayi enzi za mtume ilikuwepo. Nani kaipeleka na imepelekwa lini kwa manufaa ya nani?

Tuna amini sababu kule ndiko kuna kila kitu,hata tamko la Injili kama kitabu linarejea ya kuwa Injili imeandikwa kule,ni tofauti na kuwa hakuja nacho kama kitabu cha kushikika Yesu.

Hakuna sehemu inayosema zama za mtume kulikuwa na Injili kama Injili bali kulikuwa na wajuzi wa elimu ya vitabu vya kale na walikuwa wanasadikisha yale yaliyosadikishwa na Qur'aan na kukadhibisha yale yaliyokataliwa na Qur'aan katika yale yaliyokuwemo katika vitabu vya kale.
 
2:Mimi nimekuambia Injili ameileta Yesu. Hajaandika wala hajawahi kuandika hata jarida. Ila Alichokileta na Kimeandikwa katika vitabu vinne vya Injili.
Wewe unaamini Alileta injili akaandika kitabu, Nakiomba basi mbona hoja ndogo. Kama huna unasema imeharibiwa nipe hiyo mbovu.

Soma vizuri niliyo yaandika sijasema ya kuwa ameandika kitabu,bali alipewa na Mola wake Injili.
 
asanteni wakuu wa changamoto mbalimbali. nimejifunza mengi na ntaendelea kujifunza zaidi.

ninawapa dedication ya kitabu hiki msome. Ila kama ni muislam siasa kali bora usisome kwa kutafuta kubisha maana unaweza kujikuta unapata stroke kwa mafunuo ya Kijana huyu na wananzuoni wabobezi wa mambo haya ya kidini.

kinaitwa: SEEKING ALLAH FINDING JESUS
Mungu awabariki

Zurri
FaizaFoxy
Gavana
chilubi

na wananzuoni wengine, wapenzi wa maarifa mtambuka.

Ila mkiambiwa msome hamtaki kusoma,hivi Makadiani ni Waislamu ?

Huyu kiasili alikuwa Kadian ndio akaenda katika Ukristo. Miongoni mwa Imani za makadiniani ni kuwa Yesu alikufa na mtume wa mwisho ni muasisi wa Ukadiani aliyeitwa Ahmed Mirza Gulamu.

Sikisomi tena kitabu chako,labda kama kuna kingine unipe nikisome,yaani leta kitabu cha Muislamu aliyetoka kwenye Uislamu kisha ndio uniambie nikisome.

Tuendelee...
 
Back
Top Bottom