Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Sasa mgen si kwamba hujui bibilia uisomayo waandishi wake hamuna uhakika nao. Unajua fikka kuwa unasoma kitabu kilichoandikwa na mwanadamu.

Kwani aya ulioileta ndio unataka kututhibitishia nini sasa katika yote tunayozungumzia?

Kwamba wewe ndio sawa na Ahlu Kitab? Kama wewe ndio sawa naomba utuoneshe Injili aloshushiwa Issa ndio ipi?

Naam wakiristo walikuwepo enzi izo, waliozungumziwa hapo ni wale waliokuwa wakisoma maneno ya Issa ibn Maryam, sio wewe mgen na mitale mnaosoma kile waachotaka mapapa musome na muamini. Nakumbuka hata Mitale alidai waislam wanaamini kuwa Quran na hadithi ni maneno ya Mungu 😀

Soma Luke kwanza ujifundishe kuwa miaka yote mnasoma maandishi ya watu: haina tofauti na hadithi za kwenye Bukhari, wamesikia, wameandika. Kisha mnawadanganya watu maneno ya Mungu 😀 😀 😀

1 Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,


2 kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,


3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,


4 upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.
Aliye elewa Lugha Imani ya WAFUASI WA YESU NI Allah AMBAYE IMEWAAGIZA WAUMINI hivi ref; screenshot[emoji116]sasa wewe kwa vile Hujui KUSOMA tena ni muongo na mzushi unasema kimetiwa mikono [emoji44] kimetiwa mikono lini? Kabla ya muhammad ibn Abd'Allah au baada ya Yeye KUFA? Nisije nikapoteza muda WANGU bure kuchat na aliye pigwa MUHURI! Umebakia wee mgeni mgeni [emoji44] ugeni WANGU sii hoja hiyo!
IMG_20190627_093915_397.jpeg
IMG_20190703_144256_110.jpeg
 
Huna akili ndio maana unafikiri Mungu kuumba kiumbe kilichokosa free will kuwa ni dikteta.

Mungu unaemuabudu wewe ni dhaifu. Hana uwezo wa kuumba kiumbe kisichokuwa na free will. Mungu wetu ameumba kiumbe ambacho hakina free will nao ni Malaika, aliwaumba kwa nuru. Akisha akaumba majini ambao amewapa free will huku wakiwa na nguvu kuzidi binaadamu, halafu akaumba mwanadamu ambae ana free will akiwa dhaifu wa nguvu lakini akiwa mwenye akili kuliko wote. Hawa ndio viumbe wa Allah. Imani ya kuwa malaika aliasi, huo ni uzushi wenu mlolishwa na watu msiowajua wakaandika vitabu nyie mkaviita bibilia.

Unataka niamini Bibilia ilosema dunia iko flat! ovyo kabisa
Hizi akili za kukariri kiarabu eti lugha ya mungu wenu ni shida
 
Adam na Hawa, hawana Baba wala Mama. achilia mbali kuzaliwa, hawa ndio hawakuzaliwa kabisa lakini wamekuja duniani, kwanini basi hawa wasiwe Waungu? Naomba jibu.

Jibu la swali lako, limetumika jina la Mamake kwa sababu hana baba. Halijatumika la mume wake kwa sababu mumewe hajahusiana kabisa na Issa. Huwezi kumpa mtu ubin ambao haumhusu

Hawa ni binadamu na waliumbwa na Mungu kama ni msomaji wa biblia kitabu cha mwanzo “ basi tumuumbe kwa sura na mfano wetu” means Adam na Hawa waliumbwa Mungu na kesi yao ni tofauti na ya Yesu ndo maana tunasema ni wazazi wa kwanza sio miungu wa kwanza
 
Ally Hassan Mwinyi, je hilo Mwinyi ni jina la mama yake?

Kassim Majaliwa

Hamisi Kigwangala

Shehe Issa bin Simba

Ally Mohamed Shein

Sheikh Issa Ponda

Hayo majina ya ubini wao ni majina ya mama zao?
Ahhaahahahahh
 
Huna akili ndio maana unafikiri Mungu kuumba kiumbe kilichokosa free will kuwa ni dikteta.

Mungu unaemuabudu wewe ni dhaifu. Hana uwezo wa kuumba kiumbe kisichokuwa na free will. Mungu wetu ameumba kiumbe ambacho hakina free will nao ni Malaika, aliwaumba kwa nuru. Akisha akaumba majini ambao amewapa free will huku wakiwa na nguvu kuzidi binaadamu, halafu akaumba mwanadamu ambae ana free will akiwa dhaifu wa nguvu lakini akiwa mwenye akili kuliko wote. Hawa ndio viumbe wa Allah. Imani ya kuwa malaika aliasi, huo ni uzushi wenu mlolishwa na watu msiowajua wakaandika vitabu nyie mkaviita bibilia.

Unataka niamini Bibilia ilosema dunia iko flat! ovyo kabisa
Bibikia haisemi na hijawaji kusema dunia iko flati.
Ukiendelea kuhoji utajifunza Mengi.
'' He sits enthroned above the circle of the earth, and its people are like grasshoppers. He stretches out the heavens like a canopy, and spreads them out like a tent to live ' Isaya 40:22

Yesu n Mungu wako mkuu.
Mimi naungana na malaika wote, wazee 24 na wenye uhai wanne na viumbe wote wa Mbinguni Kumuabudu na Kumtukuza Yesu Mungu Mwana.

'' Na kila kiumbe kilicho mbinguni na juu ya dunia na chini ya dunia+ na juu ya bahari, na vitu vyote vilivyo ndani ya hivyo, nikasikia vikisema: “Kwake Yule anayeketi juu ya kile kiti cha ufalme+ na kwa Mwana-Kondoo+ kuwe na baraka na heshima+ na utukufu+ na nguvu milele na milele.” 14 Na wale viumbe hai wanne wakasema: “Amina!” na wale wazee+ wakaanguka chini na kuabudu.+'' Ufunuo 5:13,14


mnadanganywa mkuu. Malaika wanafree will. Mungu haabudiwi na maroboti ambao hawana hiyari viumbe wote wanamtii na kumwabudu Mungu kwa hoyari, Hata wewe ukiingia mbinguni utamuabudu kwa hiyari hutaondolewa free will.


fundisho hilo la malaika kuwa kamammaroboti ni uongo ambao hauna uwezo wa kukanusha ukweli wa zaidi ya miaka 4000 kabla yake
 
Umesema kuwa aya inasema tuwaulize watu wa bibilia, mbona haikuandikwa bibilia? kitabu gani hicho kilichozungumzwa kwenye aya uloileta.

Kuna sehemu nimesema hakukuwa na watu waloshushiwa kitabu na Allah 😀 😀 hapa unajadiliana na mtu mzima sio wale watoto mnaowalisha sumu kwenye seminary sijui mnaziita nini. ONESHA WAPI NIMEKWAMBIA HAKUKUA NA AHLU KITAB.

Nicea imekaa kitako na kcuhagua lipi liwekwe kwenye bibilia na lipi lisiwekwe, sasa wewe unaejua, twambie msingi gani umetumika kuchagua lipi neno la mungu na lipi sio la mungu. Nasubiri jibu
emu
naomba kwanza huo ushahidi wa unachokisema.
Pili unafeli sehemu ndogo tu.
Maandishi ya Bibilia hayakuandikwa nicea kisha yakachujwa kikatoka kitabu kimoja kikasambazwa duniani kama ilivyo kwa quran.
Hadi 100AD injili zote zilikuwa zimeshaandikwa, na kusambazwa sehemu mbalimbali, ikifika mahala watu wanacopy na kutuma tenda kwingine bila kusimamiwa na mkuu flani wa dini. Mavitabu yote ya Uzushi yalikyokataliwa huko nicea yameibuka na kutungwa tu Baada ya Injili kuwa zimeshatapakaa siku nyingi kila kona bila kuzuilika.

hata wangekaa au wasingekaa maandiko ya ukweli yalikuwa yameshafika hadi india mabako walikuwa hawajui mambo ya jicea.
Leo kuna manuscriot hadi za karne ya kwanza zikithibitisha hiki tunachosoma wakristo ndicho kilichosoma na wakristo wa awali kabla hata ya hao nicea uliokaririshwa mkuu.

Quran haina ushahidi popote na wowote wakimaandishi kuthibitisha hicho mnachokisoma ndicho alichoonwshwa mtume, hakuna manuscript yoyote ya miaka ya 600s. Ni jopo lilitoa na kuisambaza (Caliph Uthman) wakati Maandishi ya Bibilia Yalisambazwa kwanza bila control ya mtu yoyote wala kikao chochte. hta siku walipokuja kukaa kuregulate mambo ya kutungwa sio kufuta au kuongeza mambo mapya tayari injili iko hadi vijijini pasipo fikika.
 
Ni vizuri kuwa umekiri unaowabatiza hawajui dini yao. Mana anaejua dini huwezi kumbatiza 😀

Wakiristo wenyewe hawajui dini yao.

Mbona uislam tumesilimisha mapadri wakubwa wakubwa wengi tu 😀

Isitoshe, uislam ndio dini inayokuwa kwa kasi... sasa jiulize kwanini!
kuna mambo najua ukitaka tujifunze kwa kina, tuongeze kina cha huu mjadala utajuta kwa nini uliamini quran.
nakuhakikishia, hatutaki kufika huko maana hatushindani ila ipo siku ukielewa utaona ulipoteza muda mrefu sana kuamini kitabu cha juzi tu ambacho hakina ushahidi wa uwepo wakw, ukadharau vitabu vya kale vyenye ushahidi lukuki wa uwepo wake.
 
Hapa unathibitisha kama wewe huna elimu na unadandia treni kwa mbele maskini.

Aya inasema soma ULIYOfunuliwa na mola wako mlezi. Alhamdulillah kwanza umethibitisha kuiamini Quran. Pili mtume Muhammad s.a.w hajafuniliwa Zbur, taurati wala injili 😀 nlikwambia wewe unabatiza wasiojua dini, anaejua dini kamwe huwezi kumbatiza. Mnatuletea watu wa sinema zenu mnajidai mmesilimisha shehe 😀 Pole. Jifunze tena.

Wapi umeona Muhammad s.a.w amefunuliwa Injil, taurat au Zabur? Wekeni kikao chengine cha Nicea mueke aya kama hio basi na nyinyi.
hujasoma ulichokijibu.
Maneno anayofunuliwa mtume, kwa imani yenu yanahadhi sawa na maneno waliyofunuliwa wakina nabii Musa, Dawood, Hazrat Isa.
Sasa leo Mola anaposema maneno yake hayabadiliki,,leo unambagua eti aliyomfunulia mtume tu hayabadiliki ila anayofunulia manabii mengine hubadilika.

naomba ushahidi wa hii propaganda mkuu. Mtume ameshakuumbua
 
kuna mambo najua ukitaka tujifunze kwa kina, tuongeze kina cha huu mjadala utajuta kwa nini uliamini quran.

Acha kumtisha,na huna uwezo wa kuitia dosari Qur'aan kwanza huijui,pili huisomi.
nakuhakikishia, hatutaki kufika huko maana hatushindani ila ipo siku ukielewa utaona ulipoteza muda mrefu sana kuamini kitabu cha juzi tu ambacho hakina ushahidi wa uwepo wakw,

Hakina ushahidi gani ?
 
Wewe umechanganyikiwa kwa kweli. Kwa sababu unashindwa kutumia akili ipasavyo, lakini ndio ukiristo kikwazo chenu. akili hamzitumii ipasavyo kupima mambo. Kama waraka alikuwa na Injili aloshushiwa Issa, mbona kwenye bibilia hakuna injili aloshushiwa issa, bali kuna Injili ya matayo?
sio waraqa tu hata mtume muhamad alikuwa nayo. Hayo ya Isa kupewa injili mmejitungia nyie, Injili ziko nne nazo zinaelezea Maisha ya Yesu.

Soma 5:46-47.
Mtume anatambua uwepo wa injili wakati wake, na anasema wanayoiamini watahukumiwa kwa hiyo, kama anavyosema surah hiyohiyo wayahudi naomwatahukumiwa kwa taurat yao.

Sasa wewe husiyejua hata vitabu vya dini yako unasema eti ilibadilishwa, walati unayesema alikwambia ilibadilishwa anayo na anawaambia wanaoiamini watahukumiwa kwa hiyo.

kujua unahitaji nikusaidie zaidi niambie.

Ilibadilishwa lini?
na nani?
kwa maslahi ya nani?
kivipi?

najua huwezi, ila angalau ufikili tu nje ya dogma za imani ulizonyweshwa
 
Hii point yako ni weak sana
kama mnashindwa kujibu point weak, mtajibu nini sasa. kuna wenzako naviporo nao nasuburi wajibu hili ili niwahoji kwa kina zaidi wametawanyika mkuu huwa sina masihara nonapoingoa jukwaa la dini. kama huna hoja utaaibika japo kwa upendo.
 
naomba ushahidi wa hii

Kwani Biblia ni kitabu kitukufu ? Je ni kitabu cha mtume gani ?

Halafu hii hoja yako dhaifu ya kutaka upewe "manuscript" ya Qur'aan nikishakujibu mara kibao lakini unaonekana umekaa kubisha bishana na si kujifunza. Nilikwambia hivi sisi tuna sanadi mpaka kufika kwa mtume,na Qur'aan tangu mtume yuko hai maswahaba walikuwa wanaihifadhi vifuani mpaka leo watu wanaihifadhi Qur'aan vifuani na elimu huenda kwa kuridhishana,leo hii mpaka kiama kinasimama hakuna hata wale walio muona Yesu walio hifadhi Injili yote vifuani,Yesu aliondoka na Injili yake.

Ajabu sasa nataka wewe uniambie iko wapi ile Injili aliyokuja nayo Yesu hata kipande cha nusu ukurasa ? Sababu Musa alikuwa na Torati,Daudi alikuwa na Zaburi. Sasa hapa ndipo utakapo kujua dhamiri ya kitabu sio mpaka kiwe cha kushikika mkononi.

Usinieletee habari za kina Luka,Mathayo,John na Marko ambao kati ya wawili hao hawakumdiriki Yesu vipi tuwaamini lwa yale wayasemayo ?
 
sio waraqa tu hata mtume muhamad alikuwa nayo. Hayo ya Isa kupewa injili mmejitungia nyie, Injili ziko nne nazo zinaelezea Maisha ya Yesu.

Ina maana hamna Injili aliyokuja nayo Issa mwenyewe bali mna vitabu vya historia ya Yesu na miujiza yake. Sasa ndio mtuletee ile Injiki ya Yesu mwenyewe.
 
Soma 5:46-47.
Mtume anatambua uwepo wa injili wakati wake, na anasema wanayoiamini watahukumiwa kwa hiyo, kama anavyosema surah hiyohiyo wayahudi naomwatahukumiwa kwa taurat yao.

Mtume lazima aamini hilo bali sisi wafuasi wake tuna amini hilo,ila hapa inazungumziwa Injili aliyo pewa Issa na sio Injili ya Mathayo,Marko,Luka wala John.
 
0
Hili swali liko nje ya mada. Nakujibu lakini uslifanye likawa mada maana huchelewi kubadilisha mada. Hakuna mtume mwingine aliyezaliwa bila baba.


Sasa kama unajua ya kuwa YUSUFU ni baba wa kulea kwanini umeileta hii mada ? Kina nani wanasema ya kuwa YUSUFU ni baba wa Yesu wa kumzaa ?


Sasa unataka tujadili uungu wa YESU bila shaka,maana mjadala wa mada yako umeisha.

Inaonekana hujui hata chanzo maana yake nini ? Ukifasili chanzo wa maana yako wewe,sisi sote na vyote vilivyomo chanzo chetu ni Mola muumba.

Hivi yule aliyempa habari MARIAM juu ya uzao wa YESU anaitwa na alikuja katika umbile gani na wakati huo YESU alikuwa katika umbile gani ?

Sasa usituchezee akili sisi watu wazima na usipoteze muda kadhalika.
Simply this is no sense
 
Tumeambiwa wapi tufanye nao urafiki ?


Hili tamko "Mapepo" huwa mnalitumia nyinyi Wakristo,sasa naomba uniambie "Mapepo" ni kina nani na wana asili gani ?
Mapepo, majini, mashetani, mizimu, mizuka wote hao ni malaika wa waliofukuzwa mbinguni na mkuu wao Lucifer.
Shetani ni Muongo sana amwfanikiwa kudanganya watu waamini kuna mashetani mazuri na maovu, ili awakalie. Ndio maana vijiji au mahala ambapo watu wa imani yako wamejaa ushirikina, kesi za majini ni bandika bandua, maana mnachezea kwenye urimbo wa ibirisi.

UFUNUO 12:7-8 "Kulikuwa na vita mbinguni;
Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka,
yule joka naye akapigananao pamoja na malaika
zake; nao hawakushinda, wala mahali pao
hapakuonekana tena mbinguni"

Malaika wa shetani wenye uwezo wa kujifanya wema tena ndio nashangaa mnawasilimisha.
cha ajabu ahmadiyyat wanakili shahada lakni bado huitwa kafiri kwa sababu bado wanaamini ahamad ni nabii mdogo kwa Mtume ila majini mnayapokea yakikili.
hili ni kosa baya sana mnafanya ndugu zangu. mimi sina maslahi yoyote katika hili ila naandika kwa uchungu maana naona mnang'ang'ania hatari huku njia iko wazi ya kutoka hatarini.

Waliumbwa kwa Moto.
 
Mapepo, majini, mashetani, mizimu, mizuka wote hao ni malaika wa waliofukuzwa mbinguni na mkuu wao Lucifer.

Kwangu mimi hii sio elimu bali ni ujinga na uongo ulio wazi kabisa.

Kabla sijasema yaliyo sahihi,je unaweza kunipa andiko kutoka katika kitabu chenu linalo thibitisha ya kuwa hao ni malaika ?
 
Back
Top Bottom