Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Kwa ushahidi gani??
'' Kwa maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu, bali wanadamu walinena ya Yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na roho mtakatifu.'' 2 Petro 1:21
Mwanadamu Yohana aliyandika yaliyotoka kwa Mungu akiongozwa na rohp.
 
Wayahudi hawana cheo cha u "baba mlezi".

Hayo mnajipachikia tu.

Kwa hiyo Yusuf ali play part kama nani pale....kwani tunaposema baba mlezi maana ake ni baba aliyekulea japo si baba wa kukuzaa sio sasa hiyo kujipachikia inatoka wapi basi tupe neno sahihi linalomfaa Yusufu basi
 
7:1 Baada ya hayo nikawaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za dunia wakishika pepo nne za dunia ili upepo usivume hata kidogo: wala katika nchi, wala baharini, wala kwenye miti.

Duara halina pembe nne.


Wewe ungana kumuabudu Mungu ambae sio Mungu, ila ana uungu usiokuwa ungu na lazima amlilie Mungu baba ambae ni yeye mwenyewe 😀

Siwezi kuabudu binaadamu wala mungu anaesulubiwa msalabani.


Malaika hawana free will na ni viumbe visivyokuwa na matamanio kama alokuwa nayo mwanadamu. Ila katika ukiristo, bibilia ilioandikwa na watu mkafundishwa miongoni mwa uongo kuwa malaika waliasi kwa mungu.. subiri nicheke kwa nza 😀 😀 😀 😀 😀 Eti malaika ana aasi kwa mungu. Shida kweli kufata maandishi ya watu yaliowafundisha kuwa mitume wenu ni wazinifu na majambazi na wauaji. Umekuwa brainwashed. hujui kabisa uumbaji.
1: neno la kiebrania la asili (חוּג) au chûg lililoitwa kwa tafsiri ya kiswahili ncha au kwa kiingereza Circle.
Linamaana Circle, sphere au arch.
Hivyo Bibilia haisemi Dunia ni flat mkuu.
Na hapa bibilia haijakosewa ila ni tafsriri ambayo inatutaka tuzame zaidi kwenye OG ili kutanua uelewa. Ndio maana hata nyie mnatakiwa kwenda kiarabu ili msichangamane.

2: Umekubali Yesu kasurubiwa msalabani au? maana hapa akili inabidi ichaji zaidi maana mnanizunguka na hamueleweki mara hakufa, mara hakwenda msalabani. Kama umekubali Basi umekubali alikufa na kama umekubali alikufa basi umekubali Yuko mbinguni akiabudiwa.

Mkuu malaika unaowaheshimu wanamuabudu Yesu hata sasa hivi unaposoma andiko nimekupa, wewe endelea na ubishi ila nakuomnea uelewe mapema kabla haijawa too late😀. Usimuonee wivu mwana wa Mungu ambaye ni Mungu.

3:Bibilia na musaafu hazijaandikwa na Malaika wala Allah bi watu. Tena quran imeandikwa na watu wachache tu kwa kipindi kifupi sana na ikasambazwa, Ila pamoja na vyote kuandikwa na watu. Ni waandishi wa Bibilia tu wanathibitishwa na bibilia hiyo waliongozwa na roho mtakatifu. Ila kwingine hakuna uthibitisho huo.

Karibu kwa changamoto mkuu.
Unanifurahisha sana unavyokomaa😀😀. Kuhusuhabari za Malaika iamini Bibilia kwingine utapotoka mkuu.
 
1: neno la kiebrania la asili (חוּג) au chûg lililoitwa kwa tafsiri ya kiswahili ncha au kwa kiingereza Circle.
Linamaana Circle, sphere au arch.
Hivyo Bibilia haisemi Dunia ni flat mkuu.
Na hapa bibilia haijakosewa ila ni tafsriri ambayo inatutaka tuzame zaidi kwenye OG ili kutanua uelewa. Ndio maana hata nyie mnatakiwa kwenda kiarabu ili msichangamane.
Usidanganye watu kuwa eti ni tafsiri inayokutaka uzame deep. Ikiwa kwenye Bibilia halisi limetumika neno duara, kwanini wewe utumie neno ncha basi? Ncha na duara wapi na wapi? Huu ni ushahidi kuwa usiamini bibilie iliotafsiriwa!

2: Umekubali Yesu kasurubiwa msalabani au? maana hapa akili inabidi ichaji zaidi maana mnanizunguka na hamueleweki mara hakufa, mara hakwenda msalabani. Kama umekubali Basi umekubali alikufa na kama umekubali alikufa basi umekubali Yuko mbinguni akiabudiwa.
Nyinyi si mnaabudu mungu alosulubiwa msalabani? mnamwita Yesu 😀 Nimekwambia mie siwezi kuabudu Mungu anaesulubiwa. Namaanisha kuwa Mungu hasulubiwa na hakuna mwenye uwezo huo.

Mkuu malaika unaowaheshimu wanamuabudu Yesu hata sasa hivi unaposoma andiko nimekupa, wewe endelea na ubishi ila nakuomnea uelewe mapema kabla haijawa too late😀. Usimuonee wivu mwana wa Mungu ambaye ni Mungu.
Malaika wa kibibilia ndio wanamuabudu Yesu 😀 😀 mana malaika kwenye bibilia hawajielewi kwa nyie. Malaika tunaowajua waislam wanamuabudu Allah alieumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake, hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hakuna mwenye uwezo wa kumsulubu 🙂

3:Bibilia na musaafu hazijaandikwa na Malaika wala Allah bi watu. Tena quran imeandikwa na watu wachache tu kwa kipindi kifupi sana na ikasambazwa, Ila pamoja na vyote kuandikwa na watu. Ni waandishi wa Bibilia tu wanathibitishwa na bibilia hiyo waliongozwa na roho mtakatifu. Ila kwingine hakuna uthibitisho huo.
Unataka turudi nyuma, hapa tayari huna hoja, kwa sababu nimeshakwambia kuwa Quran imekuwa Dictated kwa mtume, na mtume nae ame dictate kwa wafuasi wake, na wafuase wake wameandika na ku dictate kwa wengine. kama kungekuwa na kasoro, basi ingeonekana. Nikakutolea mfano, juzi tu apo uwanja wa taifa, mtoto anasoma Quran, sasa kama wewe umekaa na peni kkuandika anachokisoma, maanake ndio wewe mtungaji wa Quran?

NATAKA KUJUA MSINGI MNAOTUMIA KUCHAKACHUA BIBILIA!!! USIKIMBIE HILI la Quran nishakueleza sana ila wewe hadi hapa umeshindwa... USIOGOPE AIBU, utajifunza mengi tu apa
 

Elfu kumi katowe sadaka.
Mama elfu kumi umekosa, ntatoa sadaka ili Mola akuwezeshe kuleta ninachotaka ambacho hakipo popote duniani.
Hii habari inapingana na valid masimulizi ya Kiislam kuwa manuscriot zote zilichomwa moto na Caliph Uthman kufuta ushahidi kwa Sababu kila mmoja alikuwa anasema lwake. Ikatolewa Version moja ambayo copy saba, copy moja ikabaki maka, nyingine zikasambazwa Egyot, syriea etc.
Hivyo kwa sababu habari inasema Radiometric dating inatoa range na imejaa possibility hao jamaa watakuwa hawajui historia ya quran.

wazungu hao wanapotosha, maneno yao hayaumani na historia na hata mkuu zurri ameshawahi kitoa hapa article ya wananzuoni kithibitisha hilo kuwa manuscripts zote zilikusanywa na kuchimwa moto.
 
Hakuna mahala nliposema kuwa maandihsi yaliyopo kwenye bibilia kuwa yameandikwa kwenye kikako cha Nicea, ushachanganyikiwa au unajaribu kukimbia 😀 😀 nimekwambia mlikaa mkachagua kipi kiwekwe na kipi kisiwekwe kwenye hio 'Bibilia" hakuna nliposema kuwa mmeandika maandishi siku hio. usipotoshe. Niletee msingi mlotumia kuchagua kipi kiwepo na kipi kisiwepo kwenye Bibilia.


Rudi tena usome vipi Quran imedumu mpaka leo kama ilivyoshushwa.

Kwa ufupi tu, Mtume kaletewa aya, akawafundisha masahaba wake, masahaba wake wakawa wanafundisha na wengine. Siku ilokuwa compiled, waliitwa masahaba waliohifadhi Quran, na mmoja mmoja kuanza kusoma na wengine kumsikiliza, penye makosa anakosolewa na wanakubaliana kipi sahihi. hata siku za karibuni mliona pale uwanja wa taifa, mtoto mdogo anasoma akikosea anakosolewa. Sasa nipe msingi wenu wa bibilia mliotumia kuchagua kama hili linatoka kwa mungu na hili halitoki kwakwe, hili tuliache, jhili tulieke.
Asante kwanza kwa kukubali kuwa Bibilia ipo hata kabla ya hiyo nicea.
lkn ilikuwa imesambaa uncontrollably duniani kote wakati huo.
Pia sio kila mwenye Bibilia alihusishwa lkn wote walibaki wanaamini maneno yaleyale.
Huko nicea unakopapenda.
1146446
ka tu kuwa zile inili nne ndizo ambazo zipo tangu karne ya kwanza, na mengine yote ni fabrication. Pia hata wasingekaa hapo, Uthibitisho huo ulishafanyika siku nyingi 200AD kupitia hiyo nimekuwekea attachment Muratonian flagment iliyothibitisha maneno wanayoamini ndiyo yaliyoaminiwa na wakristoawali na injili zile nne ndio zilezile hadi kesho.
Hii haikuhitaji Nicea maana zilikuwepo na ziliaminika siku zote. Wale walikuwa na mambo mengine mengi tu na kupambana na uzushi mwingi wa wakati wao.

Naomba Source ya maelezo ya swahaba.
Sababu ninayojua miongoni mwao ni kuwepo kwa watu kubishana kuhusu walivyovikariri. Kila mtu anasema lake. Leta source mkuu kapa ipo lkn.
 
Jibu lako hili;
View attachment 1146372

By the way, umeniletea maneno ya Mattayo sio maneno ya Mungu. nasubiri ahadi ya Mungu kuilinda Bibilia uilete hapa. Na ili kuthibitisha kuwa Injil ya mattayo haitoki kwa Mungu bali kwa binaadamu;

View attachment 1146379

Mnaweza kukaa kitako mkajadiliana mfute izi aya kuficha aibu ya ujinga wenu 🙂

Qur'an maneno ya Nani?? Tuwekee HUMU Allah anamtuma Muhammad ibn Abd'Allah! acha bla bla zako za kisla kisla [emoji44][emoji12]
 
Unajidai kuwa hutaki kufika huko, kufika wapi 😀? unanchekesha sana, yaani nijutie kuamini kitabu cha Allah, niamini kitabu cha Pauolo na petro? ambacho kila mmoja katia mkono wake. Ingekuwa unataka kujifunza ukweli wa hivi vitabu, saiv ungekuwa ushasilimu, kwa sababu ndani ya bibilia kuna ushahidi wa kutosha kuwa sio kitabu cha mungu bali cha waandishi.

Unaanzaje kuamini kitabu usichojua mwandishi wake? Hebu twende huko tuone nani atajutia
Aproach ya Bibilia tu ni yakuaminika kuliko quran mkuu.
Bibilia, watu waliandika kwa uongozi wa roho mtakatifu wakawatumia wengine, wakakopy na kusambambaza hadi leo hakuna kikao kilochokaa kikausanya bibilia zote kisha kikatoa bibilia Moja kama muongozo.

Ila quran Caliph uthman aliagiza watu walete magome Yote, flagments na manuscriot zote, akachukua na yale ambayo tayari watangulizi wake walikuwa wameanza kuyakusanya wakaka watu kadhaa wakaibuka na Copy moja ya kitabu kizima. Kikaandikwa vikawa saba. Vingije vyote vikachokwa moto na kukifanya hicho kimoja kuwa source.

Swali Unaaaminije kama hajaweka mikono yake, Kwa nini apoteze ushahidi huku akijua kuna mgongano wa wafuasi wengine wanasema mtume alisema hivi wengine vile. Kitabu hicho kilichotolewa na kiongozi sio salama kukiamini kuliko Bibilia ambayo imejaa manuscript za kale mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali tena zinaendana.

Inabidi umuamini Uthmana na rafikizake kwanza kabla hujaamini Quran walioicomioe, Sisi hatuna haja ya kumuamini Jerome, Erasmus, Luther, King James, Tindale au Nani Maana tunaanza Kuamini maneno yaliyokuwepo na yenye ushahidi wake wa kale kwanza kisha tunamuona aliyecopile.
 
Aya inamwambia mtume kuhusu aliyofunuliwa yeye Muhammad s.a.w na sio waliofunuliwa kabla yake. Iko wazi, ila kama kawaida yenu wakiristo, kupindisha maana ili ikidhi matakwa yenu. Wafanyie wakiristo wenzako sio waislam.

Sasa wewe hadi sasa hujaleta aya aliosema kuwa atailinda Injil, hadi tunafika hapa hujawahi kuniletea injil ya issa
Yesu hana injili, hakuwahi kuandika. Nyie na Quran ndio mnasema hayo ndio mlete, sisi tunasema Injili aliyoileta ( Ujumbe wa wokovu kwa wanadamu) imeandikwa na Luka, Marko,bYhana, Mathayo.

Usinilishe aya mzee. wewe ndio unatakiwa ujibu sio mimi. Mimi niulize juu ya hizo ili nikuambie hata mtume ndizo anazozijua na anasema tutahukumiwa kwa hizo.
 
Asante kwanza kwa kukubali kuwa Bibilia ipo hata kabla ya hiyo nicea.
lkn ilikuwa imesambaa uncontrollably duniani kote wakati huo.
Pia sio kila mwenye Bibilia alihusishwa lkn wote walibaki wanaamini maneno yaleyale.
Huko nicea unakopapenda.View attachment 1146446ka tu kuwa zile inili nne ndizo ambazo zipo tangu karne ya kwanza, na mengine yote ni fabrication. Pia hata wasingekaa hapo, Uthibitisho huo ulishafanyika siku nyingi 200AD kupitia hiyo nimekuwekea attachment Muratonian flagment iliyothibitisha maneno wanayoamini ndiyo yaliyoaminiwa na wakristoawali na injili zile nne ndio zilezile hadi kesho.
Hii haikuhitaji Nicea maana zilikuwepo na ziliaminika siku zote. Wale walikuwa na mambo mengine mengi tu na kupambana na uzushi mwingi wa wakati wao.

Naomba Source ya maelezo ya swahaba.
Sababu ninayojua miongoni mwao ni kuwepo kwa watu kubishana kuhusu walivyovikariri. Kila mtu anasema lake. Leta source mkuu kapa ipo lkn.
Ilikuaje Bibilia Zinazidiana idadi ya vitabu, halafu vile vile bado hujatoa maelezo, ni vipi walihakiki kuwa hichi ndicho sahihi na hichi sio sahihi, kwa sababu kuna vitabu pia viliachwa na kutolewa nje na vilikuwepo kabla ya nicea na vilikuwa na wafuasi wakiviamini ivo ivo.

Suala lako la Quran ni jepesi sana, kuna hadithi moja kama ushawahi kuisoma, Omar alimsikiamtu anasoma Quran tofauti na vile ambavyo amefundishwa yeye na mtume na kutaka auliwe. Mtume akamwambia asome ya kwake na jamaa akaambiwa asome ya kwake. Na mtume akawaambia kuwa yote ni sawa. Sasa nikupe elimu kidogo (maana unakuja na hoja nyepesi), Quran imeshuka kwa lafdhi 7. Quran ambayo tunasoma leo ni ile ya lafdhi ya Quraish kabila la mtume.

Sasa kama hujui maana ya lafdhi pia ni hivi, kiarabu cha Oman, sio sawa na kiarabu ha UAE, na sio sawa na kile cha Wasaudi, na sio sawa na kile cha wa yemen, ama wairaq. Huo ni mfano tu. Ila tukisema tusiende mbali, ata apa East Africa huu ushahidi upo wa kutofautiana lafdhi ila maneno yakiwa yanaaminisha kitu kimoja kwenye lafdhi husika.

Mfano wakenya wanamwita bibi "Nyanya" hapa kwetu Visiwani "Nyanya" tunanunua sokoni, na kwa kiswahili chenigne zinaitwa "Tungule" Vyote ni kiswahili na vinaongelea kitu kimoja. Simple kabisa
 
Aproach ya Bibilia tu ni yakuaminika kuliko quran mkuu.
Bibilia, watu waliandika kwa uongozi wa roho mtakatifu wakawatumia wengine, wakakopy na kusambambaza hadi leo hakuna kikao kilochokaa kikausanya bibilia zote kisha kikatoa bibilia Moja kama muongozo.
Ila quran Caliph uthman aliagiza watu walete magome Yote, flagments na manuscriot zote, akachukua na yale ambayo tayari watangulizi wake walikuwa wameanza kuyakusanya wakaka watu kadhaa wakaibuka na Copy moja ya kitabu kizima. Kikaandikwa vikawa saba. Vingije vyote vikachokwa moto na kukifanya hicho kimoja kuwa source. Swali Unaaaminije kama hajaweka mikono yake, Kwa nini apoteze ushahidi huku akijua kuna mgongano wa wafuasi wengine wanasema mtume alisema hivi wengine vile. Kitabu hicho kilichotolewa na kiongozi sio salama kukiamini kuliko Bibilia ambayo imejaa manuscript za kale mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali tena zinaendana. Inabidi umuamini Uthmana na rafikizake kwanza kabla hujaamini Quran walioicomioe, Sisi hatuna haja ya kumuamini Jerome, Erasmus, Luther, King James, Tindale au Nani Maana tunaanza Kuamini maneno yaliyokuwepo na yenye ushahidi wake wa kale kwanza kisha tunamuona aliyecopile.
😀 😀 😀 we jamaa mbishi! yaani nakutolea mifano pia unajifanya kipofu! nimeshakueleza kuwa Quran ukusanywaji wake ulikuaje. Sasa kama kulikuwa na mabadilishano ungetuona na sie tupo kama nyie, mara huyu msahafu anaouamini una sura 3 yule 50. lakini huwezi kukuta hayo kwenye kitabu chenye ukweli. Kitabu chenye shaka ndio utaona mara hichi kimo na hichi hakimo mara huyu kaongeza kitabu huyu kapunguza hakiamini. Hio ni dalili kuwa ni kitabu cha mtu na sio Mungu.

Nikushkuru kwa kuthibitisha kuwa bibilia ni maneno ya watu na sio ya Mungu. Kidogo kidogo utafika in Sha Allah.

Mpaka tulipofikia umekubali kuwa bibilia sio maneno ya mungu bali ni ya watu WALIOJIDAI kuwa wamekuwa inspired by GOD.

Vile vile hapa unatuambia kuwa Bibilia ni sawa na vitabu vyetu vya hadithi, mfano Bukhari na wengine. Maana navyo ni mkusanyiko wa hadithi.
 
Yesu hana injili, hakuwahi kuandika. Nyie na Quran ndio mnasema hayo ndio mlete.
sisi tunasema Injili aliyoileta ( Ujumbe wa wokovu kwa wanadamu) imeandikwa na Luka, Marko,Yhana, Mathayo.
Usinilishe aya mzee. wewe ndio unatakiwa ujibu sio mimi. Mimi niulize juu ya hizo ili nikuambie hata mtume ndizo anazozijua na anasema tutahukumiwa kwa hizo.
😀 😀 😀 Hakuna popst yangu hata moja ulojibu yaliyomo ndani yake zaidi ya kuzunguka. ngoja nikustopishe.

NIONESHE WAPI NIMESEMA YESU KAANDIKA INJIL. NASUBIRI JIBU
 
Ushahidi uko wap kama mtume alikuwa nazo izo injil nne?

Aya uloileta, tafsiri yake ni hii;

5:46
And We sent, following in their footsteps, Jesus, the son of Mary, confirming that which came before him in the Torah; and We gave him the Gospel, in which was guidance and light and confirming that which preceded it of the Torah as guidance and instruction for the righteous.

5:47
And let the People of the Gospel judge by what Allah has revealed therein. And whoever does not judge by what Allah has revealed - then it is those who are the defiantly disobedient.


Hivi hujui hata kutafsiri ewe Muongo? Mfuasi wa kizushi. Hii ndio Quran, ipo kwenye asili yake, ukipotosha tunatizama asili yake, bibilia wewe huna ata asilia yake.

Wacha watu wakuone ulivokuwa Muongo, subiri ukutane na brainwashed christians ndio ulete tafsiri ya kizushi 😀

Allah anasema amempa Injil Issa, sasa hao wa bibilia wamepewa na nani? Akina mattayo na wenzake?
asili ya Bibilia ipo, hilo nalo ulidanganywa mkuu.
Yani unaenda mbele hatua mbili unarudi nyuma hatua mia. hahaha
Mkuu Mtume anashuhudia wakristo walipewa injili.
Mimi nakuambia Injili aliyoioeta Yesu imeandikwa na Mathayo, Luka, Yohana na Marko.

sio jambo la ajabu. Hata ujumbe aliyompa Yeremia uliandikwa na Baraki.
Hata ujumbe unaosadikiwa kupewa Mtume, uliandikwa na watu wengine maana yeye hajui kusoma na kuandika.
sasa kama unanibishia nipe hiyo ya Yesu aliyoandika ambayo mtume anawaambia watu wakikristo watahukumiwa kwayo.
Unasema imepotishwa, naomba iliyopotoshwa maana mwenzako huko ananidanganya sijui naye kama huwa anasoma Al - Tanzil eti iko sijui mbinguni. daa!!!
 
Qur'an maneno ya Nani?? Tuwekee HUMU Allah anamtuma Muhammad ibn Abd'Allah! acha bla bla zako za kisla kisla [emoji44][emoji12]
Quran ni maneno ya Allah, na nimekuletea aya kuwa Muhammad ni mtume wake.

Jibu nlichokuuliza tafadhali 🙂
 
Kama Yesu ni Mungu kwakuwa hakuwa na baba wa kibinadamu, Je Adam ambaye hakuwa na baba wala mama wa kibinadamu utamwitaje?? Acheni kusema msioyajua. Mwenyezi MUNGU huumba apendavyo, vivyo hivyo Yesu ni kiumbe wa Mwenyezi MUNGU na aliumbwa kwa amri yake.
Adamu ni chmichemi ya Binadamu, Alifinyangwa na maelezo yake Yqko wazi.
Ila Yesu anasema Yeye sio wa duniani humu, alikuja kutoka juu mbinguni.
Hivyo mama mariam alikuwa ni kama daraja tu la kumleta na Baba Yake ni Yule ambaye Alimuita mwenyewe Baba. Yaani Mungu Baba
 
Hoja yako ni dhaifu mkuu, hivi hujiulizi kuhusu Adam ambaye kabla yake hakuwepo mwanadamu yeyote? Kuzaliwa kwa Yesu si muujiza kuuzidi wa kuumbwa Adam.

Mwenyezi MUNGU huumba apendavyo, akitaka jambo huliambia kuwa na likawa.
Yesu hakuumnwa.
Yeye ndiye aliyeumba, na Pasipo yeye Hakikufanyika chochote ambacho kilifanyika Yohana 1:1-3.
Ufunuo 5: mwishoninanaabudiwa na viumne wote wa mbinguni yeye pamoja na ababa Yake.
 
asili ya Bibilia ipo, hilo nalo ulidanganywa mkuu.
Yani unaenda mbele hatua mbili unarudi nyuma hatua mia. hahaha
Mkuu Mtume anashuhudia wakristo walipewa injili.
Mimi nakuambia Injili aliyoioeta Yesu imeandikwa na Mathayo, Luka, Yohana na Marko.
Inabidi mtume alikuwa kashazaliwa wakati wakiristo wanapewa Injili?

sio jambo la ajabu. Hata ujumbe aliyompa Yeremia uliandikwa na Baraki.
Hata ujumbe unaosadikiwa kupewa Mtume, uliandikwa na watu wengine maana yeye hajui kusoma na kuandika.
sasa kama unanibishia nipe hiyo ya Yesu aliyoandika ambayo mtume anawaambia watu wakikristo watahukumiwa kwayo.
Unasema imepotishwa, naomba iliyopotoshwa maana mwenzako huko ananidanganya sijui naye kama huwa anasoma Al - Tanzil eti iko sijui mbinguni. daa!!!
Alichopewa mtume wetu ndicho kilichoandikwa kwenye Quran, na ni moja tu. Sasa huwezi kufananisha na injili za kina matayo, kwa sababu wao hawakuandika alichoshushiwa Yesu sasa. wameandika Injili kwa mujibu wao na isitoshe, muandishi wa hio injili ya mattayo hajulikani. DUH!
 
Back
Top Bottom