Yesu na Issah n watu 2 tifauti..... soma jinsi yesu alivyo zaliwa alafu soma jinsi nabii issa alivyo zaliwa ni tifauti
Hiyo mimi naichukulia kama kuhitilafiana kimitazamo tu lakini kitu kilekile. Kama ambavyo RC huwa wanahitilafiana kifikra, mapokeo, tafsiri, mienendo nk dhidi ya wenzao wa KKKT basi ndivyo Sunni, Shia nk huwa wanatofautiana kifikra, mitazamo, tafsiri, uelewa, upambanuzi.
Dhana hiyo ya tofauti ndani ya dini moja, basi uichukue katika vast spectrum ya mitazamo, tafsiri, mapokeo ya dini kwa dini katika kuabudu, kuita watu majina nk. Kwa mfano: Ibrahim, Musa, Yusufu, Jibril, Isahac, Mariam huitwa Abraham, Moses(Mussa pia), Gabriel, Joseph(Yusufu pia/Yosef), Isac, Mary(Maria), lakini pia mitazamo ya majina ya watu hao ilipokelewa au kutafsiriwa kwa mapokeo tofauti kati ya dini hii dhidi ya ile, dhehebu hili dhidi ya lile nk.
Sent using
Jamii Forums mobile app