Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
UISLAMU UMEANZISHWA NA ROMAN CATHOLIC , ELEWA HILO

Kipind Quran inaandikwa tayari Ukristo ulishakuwepo na Yesu alikuwa anatambulika Ni MUNGU ,

Hiyo time traveling inatokea wapi

Yaan leo nije na Kitabu niseme Wanadhambi wanaomuita Yesu Ni Mungu, useme ni time traveling?

Wakati Biblia ipo miaka mingi kabla ya Quran

NDIO maana TUNASEMA UISLAMU Ni Dhehebu la Roman Catholic
Thibitisha Kauli Yako Kama ni Kweli
 
Yah Ni uchawi ndio maana kina Sharifu majini wanaitumia kuagua hata waganga wa kienyeji wanaitumia ,huwez kukuta Wanatumia Biblia

6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.

Jamani Quran ya makaratasi ni uchawi
Thibitisha Kama Hicho Kitabu Ni Qur'an I
 
Mnapomjadili Issa Bin Marriam, basi mjadilini Issa Bin Marriam.
Wa kwenye Qurani.

Hivi kuna ulazima gani kutumia kitabu kingine kinacho mzungumzia mtu mwingine ?

Mi nadhani Qurani inajitoshereza na Imemwelezea vizuri tu tena kwa mapana
ISAA BIN MARRIAM.
Una akili sana wewe binadamu!
 
Isa ni mtume wa Waislam, Wakristo wana Yesu. Usichanganye Yesu na Isa au Issa. Ni watu wawili tofauti. Hata Waarabu ambao ni Wakristo, hawamwiti Yesu, Issa, bali wanamwita Yesu, Yasu.
Upo sahihi kabisa.
Ndugu zetu Waislamu wanaposikia jina: Isa bin Mariam, akili yao ina click kuwa:
  • Isa siyo Mungu,
  • Isa siyo Mwana wa Mungu,
  • Isa hakusulubiwa,
  • Isa ni nabii tu wa Mungu,
  • Isa alipewa kitabu (tena kimoja) kiitwacho Injil,
  • Isa ni binadamu tu kama wengine, n.k. na n.k.
Ni kwanini akili yao ina click vile? Akili ina click vile kutokana na yale yaliyomo ktk Qur'an yao kuhusu Isa.

So, sifa zote hizi na zile nyinginezo za Isa wa kwenye Qur'an zinafanye asi qualify kuwa Yesu wa kwenye Biblia Takatifu.
Hata wale Wakristo wanaozungumza Kiarabu wanakwepa sana kutumia jina Isa bali wanatumia jina Yasu
au al-sayyid al-Masih.

The Bottom line: Yesu siyo Isa.
 
Issa bin Mariam ndio huyo huyo Yesu sisi waislam tunamkubali kma mjumbe wa Mungu amezaliwa kwa neno la Mungu kupitia Maraika Gabriel kwenda kwa bi Mariam

Tofauti ni maelezo flani flan yako tofauti kati ya Quran na biblia!! Quran imeeleza full story kumuhusu huyu nabii wa Mungu Issa au yesu kwa mfano Quran imeeleza mpka ukoo wa issa au yesu!! Imemtaja mpka babu yake issa/yesu mzaa mama

Pia Quran imeeleza Issa/yesu alipozaliwa ni chini ya shina la mtende baada ya mama mariam kutengwa pia Quran imeeleza mpaka alipotokea mariam mpka alipokufa mariam pia quran imetambua kma Issa/yesu na nabii yohana mbatizaji ni ndugu!

Lakin biblia haikueleza vzuri storry ya yesu mfano sehem yesu alipozaliwa zaidi ya kusema tu alilazwa kwenye zizi la ng'ombe!! Alilazwa co kuzaliwa

IVYO WAISLAM TUNAMFAHAM ISSA ndio Yesu tunhamin alikuwa nabii wa Mungu lakin hatumfati kwa wakati huu!! Poleni
 
Issa siyo Yesu
1. Yesu alizaliwa kwenye holi la ng'ombe wakati Issa alizaliwa chini mtende
2. Yesu alisurubiwa, akafa na siku ya 3 akafufuka wakati Issa hakusurubiwa, hakufa wala kufufuka.
3. Yesu alitumia Biblia. Alipewa kusoma kitabu cha Isaya na alibatizwa wakati Issa alitumia Quran na hakubatizwa.
Kwanini huwa mnang'ang'ania Yesu ni Issa? Siyo kosa lako sbb huwa mnakaririshwa.
Hapo kuzaliwa kwenye holi la ng'ombe co kweli nenda kasome vizuri mzee kasome vizuri hakuzaliwa hapo!!

Biblia inasema aliwekwa kwenye holi la ng'ombe co kuzaliwa mzee so kma aliwekwa au kulazwa kwenye holi eneo lipi alizaliwa biblia aikusema

Kingine unasema yesu alisoma biblia iv kweli mzee umefikilia yesu biblia wala haijui yesu anajua Injili biblia ni mpango wa wagiliki uwo yesu hajui kitu kinaitwa biblia kabsaaaa
 
Issa bin Mariam ndio huyo huyo Yesu sisi waislam tunamkubali kma mjumbe wa Mungu amezaliwa kwa neno la Mungu kupitia Maraika Gabriel kwenda kwa bi Mariam
Kijana, angalia sifa za Issa bin Mariam kwenye Qur'an pia angalia sifa za Yesu Kristo kwenye Biblia kisha fanya conclusion kama sifa za huyo Isa bin Mariam ndizo hizo hizo sifa za Yesu Kristo. Kinyume cha hapo, basi utakuwa unalazimisha mambo.
Tofauti ni maelezo flani flan yako tofauti kati ya Quran na biblia!! Quran imeeleza full story kumuhusu huyu nabii wa Mungu Issa au yesu kwa mfano Quran imeeleza mpka ukoo wa issa au yesu!! Imemtaja mpka babu yake issa/yesu mzaa mama
Hizo tofauti flani flani ndizo zinazofanya Yesu Kristo asiwe Isa.
Pia Quran imeeleza Issa/yesu alipozaliwa ni chini ya shina la mtende baada ya mama mariam kutengwa pia Quran imeeleza mpaka alipotokea mariam mpka alipokufa mariam pia quran imetambua kma Issa/yesu na nabii yohana mbatizaji ni ndugu!
Kwa mujibu wa Biblia, Mariam mama yake Yesu, hakuwahi kutengwa.
Huyo Mariam mama yake Isa ndiye aliyetengwa.
Lakin biblia haikueleza vzuri storry ya yesu mfano sehem yesu alipozaliwa zaidi ya kusema tu alilazwa kwenye zizi la ng'ombe!! Alilazwa co kuzaliwa
Hapo hujui chochote kuhusu Biblia.
IVYO WAISLAM TUNAMFAHAM ISSA ndio Yesu tunhamin alikuwa nabii wa Mungu lakin hatumfati kwa wakati huu!! Poleni
Utamwamini vipi yule ambaye humfuati?
 
Tahadhari: huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala wa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.

1. Nimekuwa nikijiuliza kwa nini huyu Nabii kwenye Quran anatambulika kama Issa Bin Mariam. Kwa jina la Mama yake ni si ukoo wa Baba yake kama wengine wote waliosalia.

2. Je wenye Quran wanamwamini katika namna gani? Kuwa ni mtume. Je ni mtume kama Mtume mwingine?

3. Je wasiotumia Quran wanamfaham na wanamkubali kuwa ni mmoja ya manabii?

Naomba tujadiliane kwa utulivu kwa nia ya kujifunza. Mimi naifaham Quran na ninaifahamu Biblia. Kwa kuwa nmekulia katika mazingira yote mawili.
Would Jesus be Jesus if he had not been crucified?
 
Issa alizaliwa chini ya mtende na mama yake Miriam akiwa kazaa peke yake akasikia sauti kutoka chini ikimwambia achume tende ale na kuzaa kwake hakukuwa na tofauti anavyozaa nyumbu,,ila siku za mwisho atarudi kuivunja misalaba makaburini,,Yahsua ibni Masihi ndie Yesu kristo,,Allah Subhana wataala amemponda issa akisema ,,yeye sio lolote Wala chochote ila amebabaishwa tu
 
Issa atakuja kuoa mke na kupigana na Dejari.
Du nusu niandike Dejani.
Kwa nn kuoa kuwe priority sana kwake? Hebu tupe elimu akirudi atakaa duniani miaka mingapi hadi aanze kupigana na Dejari? Vp inamaana atazaa watoto aanzishe familia? Then what?
 
Kwa nn kuoa kuwe priority sana kwake? Hebu tupe elimu akirudi atakaa duniani miaka mingapi hadi aanze kupigana na Dejari? Vp inamaana atazaa watoto aanzishe familia? Then what?
Ukitaka kufahamu zaidi juu ya issa basi soma qurani.
Anaelezewa vizuri sana humo, pitia na hadithi za mtume muhammadi.

Au unaweza kwenda Maka na Madina sehemu alizo ishi na kukulia, utapata maelezo zaidi kwa ndugu zake wa Kikureshi.
 
Isa ameishi Makkah kumbe!
 
Hapo kuzaliwa kwenye holi la ng'ombe co kweli nenda kasome vizuri mzee kasome vizuri hakuzaliwa hapo!
Pole!
Biblia inasema aliwekwa kwenye holi la ng'ombe co kuzaliwa mzee so kma aliwekwa au kulazwa kwenye holi eneo lipi alizaliwa biblia aikusema
Kingine unasema yesu alisoma biblia iv kweli mzee umefikilia yesu biblia wala haijui yesu anajua Injili biblia ni mpango wa wagiliki uwo yesu hajui kitu kinaitwa biblia kabsaaaa
Nionyeshe wapi nimeandika kuwa Yesu Kristo alisoma Biblia.
 
Umbile la kibinadamu la Bwana Yesu Kristo lina asili ya kiungu na mbinguni, la Issa bin Mariamu lina asili ya kuzimu, japo yote husishwa na uzao usio na asili ya kibinadamu. Mmoja ni alama ya ukombozi dhidi ya mauti na kuzimu, na mwingine huwakilisha alama hiyo.
 
Shehe Farsy katika Qurani yake ya tafsiri ya Kiswahili katumia Jina la Isa.

Mi najiuliza ni kwanini asitumie jina la Yesu ambalo ndio la Kiswahili ?

Waarabu Wakristo wanatumia jina la Yesu wanamwita Yasu.

Mtu anayebisha afungue sasa hivi kwenye YouTube video clips asikilize nyimbo za Waarabu Wakristo wanavyo imba Jina la Yesu kwa kutaja Yasu na sio Isa.

Kwanini wasi imbe Isa ?

Hapa inaonekana jina la Isa sio la Kiarabu wala la Kiswahili. Bali ni la Dini ya Kiislamu pekee.

Kwenye Qurani ya Kiswahili linatumika jina la Isa. Na ni kitabu pekee kinachotumia hilo jina. Kwanini asiandikwe Yesu humo ?
Jina la Yesu haliwezi kutumika kutokana na kwamba huyo Alie nyuma ya Quran anaplan na anajua hatma ya waliouamini uislam,,lakini yeye hatakubali kuonekana at center of anything ila always Yuko pembeni na ni mtaalam wa kujitoa,,, hahusiki,,,,ulivyotaja kitabu Cha Sheikh Farsy najua unasoma vitabu vyao,,,Na hutashangaa wakimuombea Muhammad rehema ili apunguziwe adhabu huko aliko,,,na ndiko wanakoenda,,,Isa ni jina wamepewa maana Linatumika pia kama tafsida ya kupunguza ukali wa jina la Yesu maana Kuna mazingira hasa yenye viumbe vichafu kama majini likitajwa jina la Yesu litaleta tafrani,,kwa hio Isa liko rahisi kwenye mazingira hayo kwa sababu hata maana yake ni wekundu uliochanganyika na weupe,, kwamba inawezekana Isa alikuwa zeruzeru hasa kutokana na mazingira ya shida aliokuwa nayo mama yake alieitwa MIRIAM
 
Back
Top Bottom